Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,480
- 7,443
NAWAKUMBUSHA WAKRISTO WOTE KUWA MWAMPOSA SIYO MTUME NI KANYANGA LA ROSTAM AZIZI NA CCM TISS NA BAKWATA kazi yake ni kufanikisha mambo ya kuwa brain wash wakristo na kuwapotezea wakati siyo mwamposa tu wapo wengi na sasa hivi kuna mwingine ana andaliwa na CCM NA BAKWATANajiuliza sana tena kwa uchungu mkubwa.
Ni kweli tuhuma alizotoa Polepole ni nzito na zina viashiria vya jinai per se
Mfano tuhuma kuwa CCM mtandao wanahusika na kifo cha hayati JPM
Mfano wa pili Angela Kiziga kukwapua zaidi ya bil 60 bila kusuply sare za polisi.Huku akiwa karibu na wakui wa serikali.
Je, haya nayo mpaka Polepole awepo ndio yafanyiwe kazi?
Tayari wanafanyia kazi na hatua ya kwanza ndo hiyo ya Polepole kutoa maelezo yake kwenye vyombo vya usalama. Hata ungekuwa wewe ni polisi ungetaka kwanza kusikia kwa kina na kumhoji mtoa tuhuma.Najiuliza sana tena kwa uchungu mkubwa.
Ni kweli tuhuma alizotoa Polepole ni nzito na zina viashiria vya jinai per se
Mfano tuhuma kuwa CCM mtandao wanahusika na kifo cha hayati JPM
Mfano wa pili Angela Kiziga kukwapua zaidi ya bil 60 bila kusuply sare za polisi.Huku akiwa karibu na wakui wa serikali.
Je, haya nayo mpaka Polepole awepo ndio yafanyiwe kazi?
Mkuu, unadhani kweli wanatafuta msaada wa Polepole? Wanamtafuta ili wampoteze au wamtengenezee kesi isiyokuwa na dhamana!Najiuliza sana tena kwa uchungu mkubwa.
Ni kweli tuhuma alizotoa Polepole ni nzito na zina viashiria vya jinai per se
Mfano tuhuma kuwa CCM mtandao wanahusika na kifo cha hayati JPM
Mfano wa pili Angela Kiziga kukwapua zaidi ya bil 60 bila kusuply sare za polisi.Huku akiwa karibu na wakui wa serikali.
Je, haya nayo mpaka Polepole awepo ndio yafanyiwe kazi?
Sawa kabisa mkuuNAWAKUMBUSHA WAKRISTO WOTE KUWA MWAMPOSA SIYO MTUME NI KANYANGA LA ROSTAM AZIZI NA CCM TISS NA BAKWATA kazi yake ni kufanikisha mambo ya kuwa brain wash wakristo na kuwapotezea wakati siyo mwamposa tu wapo wengi na sasa hivi kuna mwingine ana andaliwa na CCM NA BAKWATA
Kwenda zako hukoTayari wanafanyia kazi na hatua ya kwanza ndo hiyo ya Polepole kutoa maelezo yake kwenye vyombo vya usalama. Hata ungekuwa wewe ni polisi ungetaka kwanza kusikia kwa kina na kumhoji mtoa tuhuma.
Kwa hiyo tenda ya sare za polisi wanasubiria polepole atoe maelezo unataka uamunishe umma kuwa bila polepole uchunguzi hauwezi kufanyika, acha tabia mbaya😁Tayari wanafanyia kazi na hatua ya kwanza ndo hiyo ya Polepole kutoa maelezo yake kwenye vyombo vya usalama. Hata ungekuwa wewe ni polisi ungetaka kwanza kusikia kwa kina na kumhoji mtoa tuhuma.
Hapo kinachotafutwa wala si tuhuma ila kwa weledi wa Kitanzania anatafutwa Slow slowNajiuliza sana tena kwa uchungu mkubwa.
Ni kweli tuhuma alizotoa Polepole ni nzito na zina viashiria vya jinai per se
Mfano tuhuma kuwa CCM mtandao wanahusika na kifo cha hayati JPM
Mfano wa pili Angela Kiziga kukwapua zaidi ya bil 60 bila kusuply sare za polisi. Huku akiwa karibu na wakuu wa serikali.
Je, haya nayo mpaka Polepole awepo ndio yafanyiwe kazi?