Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
Nakosa la kusema. Hivi hawa watu ambao wanajitokeza sasa na kusema hayo yote walikuwa wapi siku zote hizo tangia JK aingie madarakani mpaka sasa?
Naona hawa pia walikuwa sehemu ya kusebabisha matatizo hayo yote, na sasa sijui wameitilafiana wapi tena mpaka imefikia hatua ya kuanikana hadharani.
Yawezekana ni mbinu pia ya ccm kujipanga kwa 2010.
"MADHAMBI YAO YANAWATAFUNA, WATATAJANA WOTE NA MAKOSA WALIYOTENDA KILA MMOJA" Tutaona na kusikia mengi kuelekea 2010
inaonekana hufuatilii mambo...watu wameanza kupigia kelele udhaifu wa jk tangu siku za kwanza ......hawajaanza leo....
na werevu walijua tangu mwanzo kuwa ni BOMUUU!!