Tuhuma za Askofu Josephat Mwingira zimehanikiza umuhimu wa kuundwa haraka kwa Tume ya Ukweli na Maridhiano ya Taifa

Huu ujinga wa kutaka nchi isimame eti kufanyike maridhiano na misamaha sijui msingiwake ni nini, naona ni mtego uchwara tu.
Mnataka kupata gia ya kuitangazia dunia kwamba kuna tatizo kubwa kiasigani linalo hitaji maridhiano!!!.
Kama huyo mwingira anaona hakutendea haki na anaushahidi kwa anayoyasema siaende mahakamani akadai hakiyake ilichombo husika kidhibitishe madaiyake!!.
Kulalamika lalamika bila stepu ni kuichokoza serikali tu iliakizinguliwa aanze kutia huruma, ama akimbie nchi alafu apate kiki na sababu za kukimbia wauminiwake.
 
Hii tabia itaendelea kujitokeza ,watu kutoa shutuma dhidi ya serikali iliyopita .
Kwa ajili ya kujipatia umaarufu .
Ni siasa zisizokuwa na mantiki Kwa taifa..
Tunatakiwa tuwe na siasa za kusema kwel.
Na sio umalaya wa kisiasa
Kwani aliyosema ni uongo?
 
wapuuzi wakubwa nyie, mnataka kusifiwa pekee lakini kuambiwa ukweli hamtaki
 
Tume ya nini? Yaani badala tuunde tume kwanini nchi yetu ni maskini wakati tunakila kitu
 
Mwingira aache kujikweza na Uganga wake wa Nijeria.
Yaani serikali imshindwe Mwingira mara tatu kweli?
Na kuna watu na akili zao wanamwamini.
Labda kama ni wale mgambo wa "wahuni" waliompiga risasi tundu ili kumchafua JPM.
 
Hizi kodi zetu kila siku mnazitafutia matumizi.....
 
wapuuzi wakubwa nyie, mnataka kusifiwa pekee lakini kuambiwa ukweli hamtaki
Kama ulidhulumiwa nenda mahaka mani taja wahusika walio kudhulumu ama kukutisha weka ushahidi wako sheria ichukue mkondowake, sio kuombaomba tensions nchi nzimaisimame kwa sababu za maneno ya kusikia tumieni akili kidogo.
 
Reactions: Ame
Tumuamini nani? Waziri mkuu? Katika mazingira ambayo serikali ndio waongo wa kwanza tunaweza kumuamini kila mtu na kutoiamini serikali kabisa.
Kwamba rais. Wetu Yupo vizuri anaendelea na shughuli zake?!
 
Kama ulidhulumiwa nenda mahaka mani taja wahusika walio kudhulumu ama kukutisha weka ushahidi wako sheria ichukue mkondowake, sio kuombaomba tensions nchi nzimaisimame kwa sababu za maneno ya kusikia tumieni akili kidogo.
Mahakama hizi hizi za Tanganga yule beki wa Tottenham, na mbege za Rau Madukani?
 
asante sana
 
Mwingira aache kujikweza na Uganga wake wa Nijeria.
Yaani serikali imshindwe Mwingira mara tatu kweli?
Na kuna watu na akili zao wanamwamini.
Labda kama ni wale mgambo wa "wahuni" waliompiga risasi tundu ili kumchafua JPM.
mlimimina risasa kibao kwa Tal,zikamwingia mwilini 16 hata hizo hakuna hata moja ilichana mshipa wa fahamu
 
Hii tabia itaendelea kujitokeza ,watu kutoa shutuma dhidi ya serikali iliyopita .
Kwa ajili ya kujipatia umaarufu .
Ni siasa zisizokuwa na mantiki Kwa taifa..
Tunatakiwa tuwe na siasa za kusema kwel.
Na sio umalaya wa kisiasa
Ndugu binafsi nimekuwepo kipindi chote cha Magufuli na uzee wangu huu. Kwa ubabe wa Magufuli kuna uwezekano mkubwa Mwingira anasema ukweli.
 
Mwingira aliwafanyia watu unyama sana kabla 2015

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwingira aache kujikweza na Uganga wake wa Nijeria.
Yaani serikali imshindwe Mwingira mara tatu kweli?
Na kuna watu na akili zao wanamwamini.
Labda kama ni wale mgambo wa "wahuni" waliompiga risasi tundu ili kumchafua JPM.
Kwa Tabia alokuwanazo Magufuli, kuna uwezekano mkubwa Mwingira anasema ukweli. Kama Tundu lissu alipigwa na mgambo wa wahuni then Magu ndo alikuwa kiongozi wa wahuni mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…