Tuhuma za Askofu Josephat Mwingira zimehanikiza umuhimu wa kuundwa haraka kwa Tume ya Ukweli na Maridhiano ya Taifa

Kama waliumizwa wasiseme? Mbeya kwemyewe wati waloshanvilia msiba.
Hii tabia itaendelea kujitokeza ,watu kutoa shutuma dhidi ya serikali iliyopita .
Kwa ajili ya kujipatia umaarufu .
Ni siasa zisizokuwa na mantiki Kwa taifa..
Tunatakiwa tuwe na siasa za kusema kwel.
Na sio umalaya wa kisias
 
Punguza mihemko.
 
Nchi hii bado Iko na wapuuzi wengi sana! Mwingira kasema lipi geni mpaka watu wataharuki
 
Ubarikiwe pia kwa mawazo haya chanya
 
Hii tabia itaendelea kujitokeza ,watu kutoa shutuma dhidi ya serikali iliyopita .
Kwa ajili ya kujipatia umaarufu .
Ni siasa zisizokuwa na mantiki Kwa taifa..
Tunatakiwa tuwe na siasa za kusema kwel.
Na sio umalaya wa kisiasa
Jenga hoja uonyeshe hekima yako. Why serikali ya magu? Mahakama zipo kama ni uongo si wafungue mashtaka wahusika wakatoe ushahidi badala ya kutoa vitisho visivyokua na miguu ya kusimamia?
 
Siku yakikukuta utakuja na story tofauti na tutaona kama unavyowaona hawa yaliyowakua. Weka akiba ya maneno ndugu.
 
Siku yakikukuta utakuja na story tofauti na tutaona kama unavyowaona hawa yaliyowakua. Weka akiba ya maneno ndugu.

Orodhesha idadi ya watu na majina yahao walio dhulumiwa na udhibitishe kwa ushahidi kwamba walidhulumiwa na mamlaka na mimi nitaungana nawewe kupiga kelele nchi isimame tufanye maridhiano.

Ivi ukisikia neno propaganda unaelewa nini?.
 
Hili ni swali zuri sana. Uthibitisho wa madai ya mwingira uko wapi?
Kuna vitu ametaja ni jukumu LA serekali kufanya uchunguzi hata kabla ya kumuhoji, kataja uharibifu wa Mali, kataja watu kuuwawa, kataja simu ya dereva, kataja bank ya ephata kudhulumiwa, kote huku wajihakiki huyu baba mchungaji anaropoka!?
 
Tume ya nini? Yaani badala tuunde tume kwanini nchi yetu ni maskini wakati tunakila kitu
Hivyo vitu unavyotaka viundiwe tume mzizi wake ni haya malalamiko. Kutokutenda haki ndio chanzo cha rushwa(inayosababisha mikataba mibovu ya raslimali zetu), ubinafsi(unaosababisha kujilimbikizia mali na kutojali maslahi ya taifa) matumizi mabaya ya vyombo vya ulinzi na usalama kwa manufaa ya wachache n.k
Swala la maridhiano na kunia mamoja mioyo yetu ikiwa safi ni lamuhimu sana kwa maendeleo ya nchi. Fikiria kwa makini bila kuruhusu mihemko. Vaa viatu vya wanaoonewa na kunyimwa haki zao kwa maslahi yasio ya taifa. Omba hekima ya mungu unapo-comment mambo yanayogusa mioyo ya watu. Unapoona huna hoja za msingi, kukaa kimya ni hekima na huonyesha ukomavu. Kuongea kwenye jamii ya watu wenye uwezo wa kupembua mambo ukiwa huna hoja za msingi hudhihirisha upumbavu na kiwango kidogo cha uelewa wa mhusika
 
Kwako ni upumbavu kwa kuwa ni mnufaika na mparaganyikoo wakitengenezwa.
 
Orodhesha idadi ya watu na majina yahao walio dhulumiwa na udhibitishe kwa ushahidi kwamba walidhulumiwa na mamlaka na mimi nitaungana nawewe kupiga kelele nchi isimame tufanye maridhiano.

Ivi ukisikia neno propaganda unaelewa nini?.
Mbona unapora majukumu ya mahakama? Hii nchi kila mtu ana mamlaka ndio maana tunasema katiba mpya ni muhimu sana.
 
Mbona unapora majukumu ya mahakama? Hii nchi kila mtu ana mamlaka ndio maana tunasema katiba mpya ni muhimu sana.
Basi nendeni mahakamani mkadhibitishe mlicho dhulumiwa mkishinda ndio mseme tufanye maridhiano tuanze upya.
Acheni kuhalalisha mambo yenu humukwenye mitandao kwa kuamini kila mlopokaji.
 
Basi nendeni mahakamani mkadhibitishe mlicho dhulumiwa mkishinda ndio mseme tufanye maridhiano tuanze upya.
Acheni kuhalalisha mambo yenu humukwenye mitandao kwa kuamini kila mlopokaji.
Nanyi acheni kubwabwaja nendeni mahakamani mkaombe uthibitisho sio vitisho
 
Bila ya Askofu Mwingira kuungwa mkono kikamilifu na vyama vya siasa, madhehebu zingine, wanaharakati na wapenda haki uliyoandika yatawakuta JF

Aungwe mkono baba askofu Mwingira:

Iundwe tume guru ya nini kupoteza hela wakati mama alikuwa kwenye serikali ile ile wanajua yaliyokuwa yanaendelea hata kama hakuwa na uwezo kukemea
....ila badala yake nini kifanyike kwa maoni na mtazamo wako?
 
Hawa Viongozi wa Dini naona sasa wanataka kutumia heshima na hadhi wanayopewa na wananchi wengine wakiwemo viongozi wa kimwili/siasa vibaya. Bwana Yesu alituhadharisha siku za mwisho watakuwepo manabii wa uongo wa kumwaga na watakuja kwa Jina la Yesu.

Hapo kale kulikuwako na kesi ya kuchukuliwa mtu mke na kiwanja ili muhusu moja ya hawa viongozi wa dini ilikamilika kwa maamuzi yepi???!! Nguvu za baal zipo pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…