mtafuta-maisha
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 1,982
- 2,931
Le mutuz uwa hachagui upande uliosahihi bali huchagua team ushindi na ikitokea akakosea kchagua team akigundua hilo huwahi kuomba msamaga na kuhama haraka kama ilivyokuwa kwenye uchaguzi alipohisi yule aliyekuwa Waziri wa mambo ya nje ndiye atakuwa mgombea wa ccm akawa anampigia debe game lilivyochange akahama fasta na kama ilivyokuwa kwa majizzo alivyoona kawekwa ndani akafuta urafiki fasta.Le mutuz yupo upande wa makonda mtt mpendwa wa Rais
Le mutuz huchagua safe side
Hapa ana hakika kuwa diamond ana support ya naibu raisi ila kama magu akimgeuka diamond utasikia le mutuz anasema alikuwa hajatafakari vizuri kumbe diamond alikosea na ataanza kumsema.