Tuhuma za Juliana Shonza na Clouds media kutaka kumuangusha Diamond ni za kweli?

Tuhuma za Juliana Shonza na Clouds media kutaka kumuangusha Diamond ni za kweli?

Kwani ni nyimbo gani za daimondi zimefungiwa na claudisi ili tuunganishe na hizi zilizofungiwa na huyu naibu waziri?
 
Ni lini waliwahi kukaa wakafanya kitu cha maana kuwainua wasanii wao kama wizara? Au wizara ni ya kufungia nyimbo na wasanii tu? Huyo dada kachemsha na pia sio kazi yake kufungia nyimbo ndo mana kuna basata.
 
Hivi huyo bibi Shonza hana kazi nyingine zaidi ya kufungia wasanii? Kuna ujuha mwingi sana unaendelea. Harafu hiyo kazi sio yake. Waziri anapaswa ajikite zaidi kwenye kutunga sera, strategies na guidelines mbalimbali, sio kila siku kwa media kupambana na wakaa uchi kina Giggy Money
 
...huyu malaya Hana muda atafutwa kazi.....maana ameingilia anga za bashite....hao clouds wana bifu na bashite....anapoongelea issue za diamond clouds anamtibua vuzi bashite.....Hana muda huyu malaya tutakua nae mtaani....kwanza kuanza kujibishana na wasanii ni kosa hata kwa mhutu....haponi kwenye hili... Hata mwakyembe amtetee....
 
Yaani katika Uteuzi unaomdhalilisha Magufuli kwamba amekosea basi ni Juliana Shonza!!

Yaani ni hopless,hajielewi...yaani hana uzito wa kua naibu waziri,ukimuona unamdharau sijui kwa nini!!yaani ukikutana nae wala hushtuki kama umekutana na Waziri,mwepesi mnoooo!!!
 
Sio Wizara wala Basata imeshindwa hata kuwapongeza wasanii wetu wameshinda tunzo tano Uganda Diamond platnumz 2,Alikiba 1,Vanessa mdee 1 na Darrasacmg 1 wamekaa kufungia nyimbo what is next Rais angalia hili kumbuka chuki hujengwa watu wasije ihamishia kwenye Maandamano yanayo pangwa.
 
Ni lini waliwahi kukaa wakafanya kitu cha maana kuwainua wasanii wao kama wizara? Au wizara ni ya kufungia nyimbo na wasanii tu? Huyo dada kachemsha na pia sio kazi yake kufungia nyimbo ndo mana kuna basata.
Kabisaa. Ttzo anataka ajulikane kwa kubwabwaja daily kwenye media mradi tu aonekane nae waziri mchapa kazi. Hawa mawaziri inabd wawe wanapewa semina za uongoz mara tu wanapoteuliwa. Huyo dada hana uzoefu wowote wa Uongozi
 
eti anasema ....halafu anayokea mwanamke mmoja hajui umetafuta vipi Pesa kisha anakuja kufngia nyimbo "" na blaaaaah blaaah kibao ...kumbe hoja yake nikwakuwa zilifngiwa na mwanamke ...ila zingefungiwa na mwanaume angekausha....yule Jamaa bhana hana washauri aiseeee
Ukisema ukweli they call u hater
 
Kuwa Ruge au CMG kuna taka moyo. Mtu anaweza anzisha ugomvi akapigwa vibaya na aliyemuanzishia ugomvi ila akitoka happ atadai CMG walitaka kumuua.
Sasa alichokisema diamond kwani alitumwa na CMG na mbona kwenye interview na naibu waziri watangazaji wa XXL walikuwa upande wa wasanii hata kwenye mdaharo na basata
 
Back
Top Bottom