Tuhuma za Juliana Shonza na Clouds media kutaka kumuangusha Diamond ni za kweli?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anajikataa uzee.
Hahah hatakagi mkuu,wkt huo huo anasemaga Mh
Mbowe ni rafiki yake wa tangu ujanani lkn cheki Mbowe ni mtu mzima lkn jamaa bado ye ni le mbebez tu.
 
She used to call me on my cellphone [emoji444][emoji444][emoji444][emoji445][emoji445]
 
Yuko mtu mmoja tu anayeweza kuamua na jambo likatekelezeka...na ninajua wakati ukifika ataamua na kutoa maelekezo na Tanzania haitaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu....Muda huo utafika soon or little later ila ni lazima utafika tu.

Na uyo ni Mangekimambi
 
Big brother ushabiki uwekwe pembeni Diamond alitakiwa kuwa professional na wakili wake angepitia sababu za yeye kufungiwa na ingewezekana wangefanya press conference.
Mimi ni shabiki wake Diamond lakini kwenye hili kateleza sana tena yeye ndio alitakiwa kuwa wa kwanza kwenda BASATA kufatilia jambo lake kama wenzie....kumjibu vile waziri kwakweli tena kwa kejeli na majigambo vile sio jambo jema....
 
Mondi ni kiburi na ana mdomo mchafu aisee, Shonza yupo sahihi..

Hii series haitaisha bure, lazima kuna Mtu atahaaribikiwa..,
Pamoja na ukweli kuwa Naibu ameteleza katika kutimiza Wajibu wake, ila Diamond ameonesha Utovu wa Nidhamu kwenye kadhia hii jambo ambalo si jema kwa afya ya Muziki wake!!!
Huu ndio uchuro yaani kwa kuwa ni waziri yeye katereza tu lakini diamond yeye ameonesha utovu wa nidhamu .. hahaaaa hii mentality haitakutoa mkuu
 
Kufungiwa nyimbo tu hivi,je angepewa kile kifungo cha Roma kutokufanya mziki kabisa?
 
Mimi ni shabiki wake Diamond lakini kwenye hili kateleza sana tena yeye ndio alitakiwa kuwa wa kwanza kwenda BASATA kufatilia jambo lake kama wenzie....kumjibu vile waziri kwakweli tena kwa kejeli na majigambo vile sio jambo jema....
Mlezi wa WCB ni Makonda ujue
 
Wacha nijitsfutie Riziki yangu badala ya kujadili ya mwingine
 
Umeshakaona mkuu?
Ndio nilikaona kipindi kile ile video iliyovujishwa na msichana waliyekuwa naye kwenye mapenzi, kwani wewe hukukiona? Si ilisambaa hadi leo hii neno kibamia linaelekea kupotea sasa ni Kilemutuz!!!! Na yeye mwenyewe akakiri kwamba msichana alimfanyia vibaya!!!!
 
Huu ndio uchuro yaani kwa kuwa ni waziri yeye katereza tu lakini diamond yeye ameonesha utovu wa nidhamu .. hahaaaa hii mentality haitakutoa mkuu
Wewe Baba yako akikuonya kwa Matusi na ww utamrudishia Matusi kwakuwa ndo njia aliyoitumia kukuonya?
Kama hiyo ndo Mentality inayotoa basi hongereni sana Vijana!!!
 
Hili lilikuwa limeniptia. Kuna ukweli hapo?
Kama ndiyo Wizara ilifaa impesapoti kubwa na hasa ya Utalii. cc @ Mhe.Kigwangwala
 
Hahah aisee sawa mkuu
 
Huu ndio uchuro yaani kwa kuwa ni waziri yeye katereza tu lakini diamond yeye ameonesha utovu wa nidhamu .. hahaaaa hii mentality haitakutoa mkuu
Hapa ndipo tunashindwa kutenganisha ushabiki na uhalisia ..umeandika maneno machache lakini ni mazito na yenye mantiki.. Eti kosa la waziri linaitwa kuteleza lakini la Diamond wanaita utovu wa nidhamu!!
 
Wewe Baba yako akikuonya kwa Matusi na ww utamrudishia Matusi kwakuwa ndo njia aliyoitumia kukuonya?
Kama hiyo ndo Mentality inayotoa basi hongereni sana Vijana!!!
Hahaaa kwahio waliokuzidi umri au cheo wana haki ya kukufanyia chochote watakacho..
Kwakweli mimi nachagua kuwa free over huo utumwa kwa kiremba cha heshima na maadili..

Mimi kwangu nitakuheshimu kama unadeserve heshima yangu ukija kwa shari tegemea matokeo ya ulichokipanda..
Huwezi kupanda shari ukavuna lugha nzuri na taba samu... no way
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…