Le mutuz simpendi ila kaongea sawa kabisaa,na hili lilionekana wazi wazi
Kama waziri mhusika alitakiwa kulikwepa hili
Ruge na clouds wanapenda michezo hii sanaa, na kudhihirisha hili walifanya kipindi siku ya uzinduz wa albamu ya wcb hata kama ni sehemu ya kipindi chao,chuki haijifichi.
Naibu wazir bila kusoma mchezo wa clouds naye akatiririka tu and ndo mana matamshi yake clouds waliyabeba kama ajenda na kuweka ktk platform za mitandao yao yote ya social media kwa ua msanii anayepiga sana nje ni diamond, pia wamemuuliza maswali mengi sana yenye kumlenga zaid diamond na si wasaniiii
Jamii si kipofu iangushe jiwe hili kuelekea clouds, Na walivyo wanafiki clouds wanajidai kukaa mbali huku wanachombeza vimaneno vya kuchochea ktk media. Kina bdozen na wenzie.
Ni kawaida yao clouds kwa mtu wanayemchukia kumtafutia mtu ili kumuangushia bifu huku wao wakitazama tu (roho mbaya za kishetani)
Rejea bifu la sugu,jay dee,kina ruby.Wote hawa wakarushiwa bifu kwa upande mwingine. Mfano jide vs mwana fa, ruby vs nandi, sugu vs prof j, wengi sanaaa.
So huu ni ukweli ambao umepelekea hata diamond apate hasira za kusababishiwa na kuongea sheets