fasiliteta
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 2,372
- 4,090
Akili hizi ndo alizotumia mwenzio KUFUNGIAWashauri awatoe wapi wakati anajiona Mfalme...mfalme ana shauriwa[emoji16]
Aliemtuma atafute pesa akafanye video za mil50 nani? Si kwa manufaa yake binafsi na wanae na familia yao au kuna mtu huwa anakula kupitia kutazama video yake.... Tatizo anajikuta mtoa misaada wakati sio
Kutumia vitu simple simple tu kuexamine mambo
HIVI WAJUA KUNA VIJNAA WANGAP WAMEJIAJIR HUKO YOU TUBE NA SOCIAL MEDIA KWA AJILI YA WASANII KAMA HAWA,HIVI WAJUA AJIRA NGAP ZA KUJISHIKIZA ZIPO PEMBENI MWA WASANII KAMA DIAMOND KUANZIA WAPIGA PICHA NA MASCRETARY AMBAO PEMBENI MWAKE KUNA FAMILIA ZAO,UNAJUA NI KWA NAMNA GANI UNAMPUNGUZIA MTU SOKO LAKE NA WALIOWEKEZA KWAKE?
KUNA MENGI SANA,NDO MANA NASEMA AKILI ZA KITOTO KAMA HIZI TUTEGEMEE UPEWE POSITION NA UFANYE MAMBO YA KIPUUZI TU KWA FIKRA NDOGO.MWISHO NIULIZE TU,VIDEO UMEUFUNGIA HAINA MAADILI KWA MUJIBU WAKO NA WENZIO!
AUDIO INA MATUSI??INA MANENO YA KASHFA??WATU WANAFUNGIAGA KILA KITU SABABU ZA KIJINGA
HUJUI KWAMBA VIDEO HAINA NGUVU MBELE YA AUDIO
WASKIZA AUDIO WASISIKIZE KISA WEWE
NIKUULIZE TENA NA UJINGA WENU,HIVI KWELI UNASEMA NYIMBO ISICHEZWE HAYA NCHI ZINGINE??hapo ndipo uwezo wa akili zenu unapoishia
MNATUSUMBUA MAADILI HUKU MNAPIGA NYIMBO ZA KINA RIHANA NA MADONA
sijui mnajitambua au mihemuko ya chuki