Tuhuma za Kutoa Rushwa kwa Wakuu wa shule Wawili wa Halmashauri ya Tabora Wilaya ya Uyui!

Tuhuma za Kutoa Rushwa kwa Wakuu wa shule Wawili wa Halmashauri ya Tabora Wilaya ya Uyui!

NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2019
Posts
9,863
Reaction score
20,806
Habari za kuaminika kutoka Uyui zinasema Mahead master wawili wametoa Laki tano tano kwa Afisa elimu taaluma (jina nalihifadhi) ili wabaki kuwa wakuu wa shule sekondari Kinyume na kiwango cha elimu yao ambayo ni diploma!!!Wakuu hao kwa wakati tofauti wametoa rushwa hiyo ili kubaki madarakani!!

WAKATI wakuu hao wakiachwa kuna Wengine ambao walikuwa na diploma kama wao walishaondolewa na kupewa wenye SHAHADA YA ELIMU!!!Natoa wito kwa TAKUKURU KUWEKA KAMBI OFISI ZA HALMASHAURI HAPO ISIKIZYA KUWAHOJI MAAFISA ELIMU SEKONDARI KUHUSU TUHUMA ZA RUSHWA NA KUWACHUKULIA HATUA WAKUU HAO WA SHULE!!!

Mnyetishaji anasema wakuu hao wana cheo hicho kutokana kutoa Rushwa na Kujipendekeza kwa Afisa Elimu Taaluma na Afisa Elimu Sekondari!!!!!!
 
acha wivu wa kike mwl. na hako ka degree kako cha huko sijui TEKU, uwezo wako ni mdogooooo.
Tulia unyooshwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemridhisha mtoa habari alietaka habari hiyo iwe wazi!yeye hana akaunti humu jamvini tena yupo hapo hapo halmashauri ya uyui!!!
 
Sasa uongozi ni degree?? Hata akivuliwa wew unafaidi nini?? Pambana nawew upate fursa na siyo kumharbia mwenzio... walimu mna tabu kwel..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu wivu sasa hata angekuwa na cheti shida iko wapi? Mbona mnapenda kutia tia huruma nyie walimu.Roho mbaya tu.
 
Sasa uongozi ni degree?? Hata akivuliwa wew unafaidi nini?? Pambana nawew upate fursa na siyo kumharbia mwenzio... walimu mna tabu kwel..

Sent using Jamii Forums mobile app
Muulize Jafo hayo maswali!Halafu TAKUKURU KAZI YAKE NINI??Kwani walioandaa utaratibu ni walimu au TAMISEMI!!!Aliekuambia mi tcha nani???acha kuwashwa!!!UYUI KUNA MADUDU KIBAO!!!
 
Habari za kuaminika kutoka Uyui zinasema Mahead master wawili wametoa Laki tano tano kwa Afisa elimu taaluma (jina nalihifadhi) ili wabaki kuwa wakuu wa shule sekondari Kinyume na kiwango cha elimu yao ambayo ni diploma!!!Wakuu hao kwa wakati tofauti wametoa rushwa hiyo ili kubaki madarakani!!WAKATI wakuu hao wakiachwa kuna Wengine ambao walikuwa na diploma kama wao walishaondolewa na kupewa wenye SHAHADA YA ELIMU!!!Natoa wito kwa TAKUKURU KUWEKA KAMBI OFISI ZA HALMASHAURI HAPO ISIKIZYA KUWAHOJI MAAFISA ELIMU SEKONDARI KUHUSU TUHUMA ZA RUSHWA NA KUWACHUKULIA HATUA WAKUU HAO WA SHULE!!!Mnyetishaji anasema wakuu hao wana cheo hicho kutokana kutoa Rushwa na Kujipendekeza kwa Afisa Elimu Taaluma na Afisa Elimu Sekondari!!!!!!
Kwanini unataka wajojiwe
 
Back
Top Bottom