Huyo mwenyekiti ndie aliamua kumchoma kwa kurekodi mazungumzo yao!!Swali ni nani aliyedukua simu yake. Daah japo mama alifanya kosa kubwa lakin haikuwa sahihi kudukua faragha yake. Hakuna aliye salama alisema Membe. Mama kajimaliza kisiasa cjui anajisikiaje.
Wengine hatuoni hiyo clip kama unaweza kuweka user friendly video.Kuna Video clip inazunguka mitandaoni ikimuonyesha Dkt. M.Mwanjelwa na wajumbe wakipeana hongo.
Kama itathibitishwa itakuwa imemmaliza kabisa kisiasa huyu Mama ikizingatiwa amekuwa Naibu Waziri kwa muda mrefu, Tena kwenye Wizara inayohusika na mapambano dhidi ya rushwa na utawaka Bora.
Naamini maamuzi ya Dodoma yatazingatia Sana haya ikizingatiwa CCM Ni chama Taasisi kubwa, yenye mkono mrefu na yenye Sifa kedekede kwenye mapambano dhidi ya Rushwa.
Pamoja na hayo, naamini TAKUKURU hawatalala, watafanyia kazi TUHUMA hizo ili iwe fundisho.
View attachment 1526552
Ni audio clip, angalia page za mwanzo za thread hiiWengine hatuoni hiyo clip kama unaweza kuweka user friendly video.
Ugonjwa unaitwa KLEPTOMANIAKuna watu ni wevi kwa asili.
Unakuta toka shule ya vidudu yey analalamikiwa kukwiba vya wenzie.
sa wengne wanaenda hivo hadi ukubwani. Na mtu wa ivo hata awe tajiri atakwiba tu akipata upenyo.
Nakumbuka shulen tulikuwa na mtu wa hivo. Si ajabu nauyo atakuwa wa aina hiyo.
Mshana Jr km unaweza kutupa jicho la 3 la asili ya watu wenye tabia hiz mfano Je kuna uezekano mababu nao walikuwa hivo, laana au?