tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Katika kampeni zinazoendelea hivi leo mkoa wa Kigoma, Chama cha ACT wazalendo kikiwa katika ufunguzi wa kampeni hizo limeibuka wimbi la wananchi wakimtuhumu Serukamba kuwa ni anatoa rushwa ili apate kura.
Kelele hizo zilisikika mara baada ya Mambo kupanda jukwaani nakuanza kumnadi Kiza Mayeye ambae ni mgombea ubunge katika jimbo hilo aliwauliza wananchi kama wanawasiwasi na suala la rushwa katika kipindi hiki cha kampeni.