Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Tui la nazi lina protini na mafuta ambayo vitasaidia kope zako kukua na kuwa ngumu zaidi. Matumizi ya mara kwa mara ya tui la yatasaidia ku-nourish na condition kope zako.
Weka tui la nazi katika kibakuli kidogo tu liwe sio jingi,
zamisha pamba ndani yake kisha zitoe na ukamue pamba zako kiasi ili kupunguza lile tui la nazi lililo zidi, fumba macho na weka pamba zako katika kope na uziache kwa dakika 10-15, ondoa pamba kisha anza kumassage jicho lako polepole ili kusaidia mzunguko wa damu na kisha osha jicho lako kwa maji baridi.
Protini iliyopo katika tui la nazi itasaidia kukuza kope zako lakini pia kuzipa mg'ao, unaweza pia kuongezea mafuta ya mnyonyo (castor oil) katika tui la nazi lako na tumia brush ya mascara kupaka mchanganyiko huu katika nyusi zako.