roboka kafwekamo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 821
- 451
Uchunguzi bado unafanyika kwani mpaka hatujaanza hata kifogo tunawasubilia wataalamu watoke masomon arushaMkuu Hivi uchunguzi wa yule alomtolea bastola Nape umefikia wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
- lemutuzsuperbrand_EXTRA STRAIGHT TALK:- Unaporusha rusha maneno ya kichochezi kuhusu kushambuliwa kwa Mh. Tundu Lissu bakisha maneno na tafuta Facts kwanza ....naomba nikukumbushe kwa FACTS .....Mauaji ya Waisilamu Mwembe Chai Mwezi May, Mwaka 1998 Rais alikuwa Magufuli?....Wakati wafuasi wa CUF Pemba wanapigwa mabomu Mwaka 2001 January na kuuliwa wafuasi wao 20 Rais alikuwa Magufuli ....Mwaka 2002 September 2, Muandishi wa Habari Daudi Mwangosi alipouliwa na Bomu Iringa Rais alikuwa Magufuli? ....January 5, 2011 Wananchi 3 waliuawa kwa Risasi za Polisi Arusha kuthibiti maandamano yasiyokuwa na kibali vipi Rais alikuwa Magufuli? ....June 28, 2012 Dr. Ulimboka alitekwa na watu wasiojulikana akiwa Leaders Club anapata supu asubuhi je Rais alikuwa Magufuli? ....Mwezi May, 2013 Muandishi wa Habari maarufu Absalom Kibanda alipotekwa na kupigwa vibaya je Rais alikuwa Magufuli....na June/2008 Makamu wa Mwenyekiti Chadema aliyekuwa anataka kugombea Uenyekiti wa chama hicho na kuishia kufariki kwenye ajali ya ajabu Dodoma Rais alikuwa Magufuli ....October, 2013 Mwigamba alipopigwa mpaka kuzimia kwa kudai mahesabu ya Chadema Rais alikuwa Magufuli? ....please msijaribu kupandikiza chuki baina yetu wananchi tutaendelea kuwakumbusha kuwa hakuna ushahidi so far wa nani anahusika na kupigwa kwa Mh. Tundu Lissu ...wote tunamuombea apone haraka ila tutaendelea kupinga hukumu za bila Facts against Serikali ....kuhusu matibabu kwa utaratibu wa Serikali ili Mbunge akatibiwe nje ya nchi na kulipiwa na Serikali ni lazima ithibitishwe na Matabibu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwamba WAMESHINDWA na jana ni FAMILIA YA LISSU ndiyo iliyodai kutaka Lissu akatibiwe nje na sio Madaktari wa Muhimbili kama utaratibu unavyotaka na sababu walisema wanahofia usalama wake ...now Serikali ya Rais Magufuli haina cha kufanya isipokuwa kuwaruhusu familia yake wafanye wanachotaka ....Thanks tutaendelea kuwekana sawa kwa FACTS kuhusu kinachoendelea na some of us tutaendelea kusimamia Ukweli tu ...kushambuliwa kwa Lissu hakumfanyi anyone kuwa na haki ya kuhukumu wengine bila FACTS Taifa ni letu wote so relax guys ...kama hamna FACTS nyamazeni iachieni Serikali ifanye kazi yake STOP THE MADNESS! - le Mutuz
Wapinzani ni kina nani?Wapinzani uelewa mdogo.
Nataka akachuane na mange mana sio kwakueneza chuki kiasi kile kwa Mr bashite

Maneno ya mfuta viatu vya watawala,jitu zima kazi yake kujikomba.Kazi aliyekua anaifanya zero anifanya huyu bwana sasa

DAB una kazi kweli kweli, kama huyu ni mmojawapo wa washauri wako tusubiri tu jua kuzama saa 1200 mchana. Nimejaribu kusoma kwa kurudirudia ili kutafuta FACTS kama asemavyo yeye lakini nimekutana na matukio yaliyotokea enzi za BWM na JMK, kwa lugha fupi karusha tuhuma kwao. Aliye muelewa naomba nami anieleweshe