Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

Kama walishindwa kumkakata bashite ambae alionekana kwenye CCTV footage,wataweza kumkamata asieonekana!!!!
Acheni kuwaza pumba muda mwingine. Hakuna jeshi la polisi, kuna jeshi la chama tawala tu....
 
  • lemutuzsuperbrand_EXTRA STRAIGHT TALK:- Unaporusha rusha maneno ya kichochezi kuhusu kushambuliwa kwa Mh. Tundu Lissu bakisha maneno na tafuta Facts kwanza ....naomba nikukumbushe kwa FACTS .....Mauaji ya Waisilamu Mwembe Chai Mwezi May, Mwaka 1998 Rais alikuwa Magufuli?....Wakati wafuasi wa CUF Pemba wanapigwa mabomu Mwaka 2001 January na kuuliwa wafuasi wao 20 Rais alikuwa Magufuli ....Mwaka 2002 September 2, Muandishi wa Habari Daudi Mwangosi alipouliwa na Bomu Iringa Rais alikuwa Magufuli? ....January 5, 2011 Wananchi 3 waliuawa kwa Risasi za Polisi Arusha kuthibiti maandamano yasiyokuwa na kibali vipi Rais alikuwa Magufuli? ....June 28, 2012 Dr. Ulimboka alitekwa na watu wasiojulikana akiwa Leaders Club anapata supu asubuhi je Rais alikuwa Magufuli? ....Mwezi May, 2013 Muandishi wa Habari maarufu Absalom Kibanda alipotekwa na kupigwa vibaya je Rais alikuwa Magufuli....na June/2008 Makamu wa Mwenyekiti Chadema aliyekuwa anataka kugombea Uenyekiti wa chama hicho na kuishia kufariki kwenye ajali ya ajabu Dodoma Rais alikuwa Magufuli ....October, 2013 Mwigamba alipopigwa mpaka kuzimia kwa kudai mahesabu ya Chadema Rais alikuwa Magufuli? ....please msijaribu kupandikiza chuki baina yetu wananchi tutaendelea kuwakumbusha kuwa hakuna ushahidi so far wa nani anahusika na kupigwa kwa Mh. Tundu Lissu ...wote tunamuombea apone haraka ila tutaendelea kupinga hukumu za bila Facts against Serikali ....kuhusu matibabu kwa utaratibu wa Serikali ili Mbunge akatibiwe nje ya nchi na kulipiwa na Serikali ni lazima ithibitishwe na Matabibu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwamba WAMESHINDWA na jana ni FAMILIA YA LISSU ndiyo iliyodai kutaka Lissu akatibiwe nje na sio Madaktari wa Muhimbili kama utaratibu unavyotaka na sababu walisema wanahofia usalama wake ...now Serikali ya Rais Magufuli haina cha kufanya isipokuwa kuwaruhusu familia yake wafanye wanachotaka ....Thanks tutaendelea kuwekana sawa kwa FACTS kuhusu kinachoendelea na some of us tutaendelea kusimamia Ukweli tu ...kushambuliwa kwa Lissu hakumfanyi anyone kuwa na haki ya kuhukumu wengine bila FACTS Taifa ni letu wote so relax guys ...kama hamna FACTS nyamazeni iachieni Serikali ifanye kazi yake STOP THE MADNESS! - le Mutuz
 
Hali ni mbaya uko Ccm, wanajitahidi kujinasua kwenye huu uhaini.
 
Unagombana na nani mkuu?? Mbona umekasirika hivyo, kweli watathubutu kukujibu?? Unafoka kama kwamba umezuiwa kuingia ndani kuja kumtoa anayekuudhi mkuu. Poa kidogo basi watu wajaribu kukujibu ila kwa povu hili, sidhani ka unayemshutumu atakujibu. Pole sana. Ila ukisikia kilio cha mbwa huko bondeni ulikotupa jiwe, jua limempata sawia. Je hilo jiwe limekupata au??
 
Haki Ya Mungu bora Mungu akupe akili kuliko mwili mkubwa,Wesere kubwa,Kichwa kubwa lakini akili ya Kibashite.50 Years plus na bado Lembururaz anawaza ana floes za watoto wa Vidudu.Unampa tu aibu Mzee wetu Malecela.Bora angepiga punyeto yaishe.
 
Duuh Watu wasiojulikana tumeanza kuwajua kwa miandiko yao
 
  • lemutuzsuperbrand_EXTRA STRAIGHT TALK:- Unaporusha rusha maneno ya kichochezi kuhusu kushambuliwa kwa Mh. Tundu Lissu bakisha maneno na tafuta Facts kwanza ....naomba nikukumbushe kwa FACTS .....Mauaji ya Waisilamu Mwembe Chai Mwezi May, Mwaka 1998 Rais alikuwa Magufuli?....Wakati wafuasi wa CUF Pemba wanapigwa mabomu Mwaka 2001 January na kuuliwa wafuasi wao 20 Rais alikuwa Magufuli ....Mwaka 2002 September 2, Muandishi wa Habari Daudi Mwangosi alipouliwa na Bomu Iringa Rais alikuwa Magufuli? ....January 5, 2011 Wananchi 3 waliuawa kwa Risasi za Polisi Arusha kuthibiti maandamano yasiyokuwa na kibali vipi Rais alikuwa Magufuli? ....June 28, 2012 Dr. Ulimboka alitekwa na watu wasiojulikana akiwa Leaders Club anapata supu asubuhi je Rais alikuwa Magufuli? ....Mwezi May, 2013 Muandishi wa Habari maarufu Absalom Kibanda alipotekwa na kupigwa vibaya je Rais alikuwa Magufuli....na June/2008 Makamu wa Mwenyekiti Chadema aliyekuwa anataka kugombea Uenyekiti wa chama hicho na kuishia kufariki kwenye ajali ya ajabu Dodoma Rais alikuwa Magufuli ....October, 2013 Mwigamba alipopigwa mpaka kuzimia kwa kudai mahesabu ya Chadema Rais alikuwa Magufuli? ....please msijaribu kupandikiza chuki baina yetu wananchi tutaendelea kuwakumbusha kuwa hakuna ushahidi so far wa nani anahusika na kupigwa kwa Mh. Tundu Lissu ...wote tunamuombea apone haraka ila tutaendelea kupinga hukumu za bila Facts against Serikali ....kuhusu matibabu kwa utaratibu wa Serikali ili Mbunge akatibiwe nje ya nchi na kulipiwa na Serikali ni lazima ithibitishwe na Matabibu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwamba WAMESHINDWA na jana ni FAMILIA YA LISSU ndiyo iliyodai kutaka Lissu akatibiwe nje na sio Madaktari wa Muhimbili kama utaratibu unavyotaka na sababu walisema wanahofia usalama wake ...now Serikali ya Rais Magufuli haina cha kufanya isipokuwa kuwaruhusu familia yake wafanye wanachotaka ....Thanks tutaendelea kuwekana sawa kwa FACTS kuhusu kinachoendelea na some of us tutaendelea kusimamia Ukweli tu ...kushambuliwa kwa Lissu hakumfanyi anyone kuwa na haki ya kuhukumu wengine bila FACTS Taifa ni letu wote so relax guys ...kama hamna FACTS nyamazeni iachieni Serikali ifanye kazi yake STOP THE MADNESS! - le Mutuz
Nataka akachuane na mange mana sio kwakueneza chuki kiasi kile kwa Mr bashite

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maneno ya mfuta viatu vya watawala,jitu zima kazi yake kujikomba.Kazi aliyekua anaifanya zero anifanya huyu bwana sasa
 
DAB una kazi kweli kweli, kama huyu ni mmojawapo wa washauri wako tusubiri tu jua kuzama saa 1200 mchana. Nimejaribu kusoma kwa kurudirudia ili kutafuta FACTS kama asemavyo yeye lakini nimekutana na matukio yaliyotokea enzi za BWM na JMK, kwa lugha fupi karusha tuhuma kwao. Aliye muelewa naomba nami anieleweshe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua vitu vingine ni ujinga tu..

Sasa huyo mjinga anayeorodhesha vitendo vyote vya kihalifu vilivyotokea katika tawala mbalimbali hadi hili la Lissu anataka kumaanisha nini?

Kwamba ni muendelezo tu?
Au unataka kumsafisha aliyepo?

Unajua unapoliona jitu kuubwa unaweza kudhani na akili nazo ni kubwa!
 
Back
Top Bottom