Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

Wewe shoga hatutaki blah blah zako za kijinga. Nenda kwa Bashite mkabidiilishane mawazo but usilete huu upuuzi hapa.
 
Le'mutus,
Ile tabia yako ya kutumika kama brush ya viatu hujaiacha? Hizi ulizoziweka humu sio facts zinazoweza kumwongoza yeyote kufikia suluhisho.
Najua unachokiyafuta kwenye mitandao ya kijamii. Ni sympathy ya wasomaji na members ili angalau ujifariji na hii sintofahamu mlioisababisha.
Kiukweli hatia hii haitakuepukeni kwa jinsi ambavyo mmeifanya. Kumbe unajua kwa kina aina ya silaha, gari kutukubandikwa plate namba na umbali wa mita 40 mliokaa na kuanza kurindimisha risasi? Hebu funguka zaidi basi na ikibidi ujipeleke kwa wanauchunguza japo najua hutaguswa na hatia yoyote wewe na huyo mwanampendwa!
 
Pale unaposubiri SERIKALI ijichunguze,ijihukumu......hakuna asiyesubiri taarifa ya serikali,ila kwa mwenendo wa matukio hivi karibuni ni lazima watu wawe na hisia HASI juu ya serikali. Tusubir wauaji wajitokeze kanisani kama yule wa..........
 
Cha ajabu vijana wa makinikia (Lumumba) ndio wamekuwa polisi, mahakama na magereza!
 

Mkuu kwani jibu si liliisha tolewa ni watu wasiojulikana au kuna lingine tena?
 
Natofautiana na wewe mkuu Le Mutuz.
Heri wewe uwaombe serikali waseme yule jamaa aliyemtolea bastola Nape.
Tuanzie hapo.
 
“Mimi ninaamini kuwa nguvu zile zile za uovu zilizokuwepo tangu awamu zilizotangulia ndizo zinazoendeleza unyama kama huu. Ninamwomba Mungu ampe (Lissu) uponyaji wa haraka”.By Askofu Shoo. Nafikiri umeelewa wewe mtu mzima ovyoo
 
Kwanza nawapa pongezi Chadema na Mh Mbowe kwa uamuzi wa harakana makini wa kumpeleKA MH lissu Nairobi kwa matibabu zaidi . Hali ya Lissu ilikuwa inahitaji matibabu ya dharura sana na utaalamu wa hali ya juu kutokana na majeraha ya risasi . Hospitali ya Dodoma walichofanya ni kustabilize hali ya Mh lissu na matibabu zaidi kufuata . Ndio maana alipofika Nairobi ilibidi apelekwe tena chumba cha upasuaji kwa matibabu zaidi kitu ambacho sio cha kawaida . Katika hali ya Lissu muda ni kitu muhimu sana [POLITRAUMA] , kwani ukichelewa tu hapo ndio unakaribisha complication mbali,
Pili hospitali zetu kila siku utasikia vitu muhimu kama CT scan , MRI scan na Ultrasound machine havifanyi kazi au vimeharibika, kwa hiyo Hospitali maarufu huwa ni muhimu sana kwa matibabu ya lissu na wengineo kutokana na upatikanaji wa vifaa vya kisasa
 
Kwani ni mwema mbele ya jamii? mtu hana huruma na watu wake sijui huwa anazungumzia wanyonge gani
Na hamtafanikiwa kutuaminisha hivi.. Rais wetu tunazidi kumpenda siku hadi siku. Viva Magufuli.
 
Jisemee peke ako usitujumlishe wote bhana ,hata ukimuunga mguu ni wewe bhana
Wewe tuko wengi, muache atuwakilishe. Wananchi wanyonge tunamuunga mkono Rais wetu, mlituonea sana enzi zile. Sasa hamna tena makando kando mnalialia na Magufuli. Magufuli oyeeeeeeeeeeeee..
 
Kwanza nampa pole sana Mh Lisu kwa yaliyomkuta, tuendelee kumwombea.

Ewe Mwalimu, ewe Mhandisi, ewe dereva, ewe Daktari, ewe Mhasibu, ewe Mfanyabiashara, ewe mmiliki wa kampuni ,ewe mfanyakazi au mjasiliamali katika sekta fulani, unaweza kukubali kuingiliwa kwenye kazi zako?

Kila idara ina miiko yake (Terms and Conditions), kwanini watu huwa wanalazimisha Jeshi la Polisi liyafanyie kazi mawazo /umbea wa kila mtu mtaani hasa hawa wanasiasa wanaotafuta kick kupitia matukio muhimu?

Kwenye kazi zako utakubali uendeshwe na mtu ambaye siyo kazi yake na haimuhusu? Kwann wewe unalazimisha Polisi wawakamate watu haraka haraka kutokana na mihemko ya watu mtaani?

Kila kazi ina ethics zake. Wale nao wamesoma, wamefundishwa nidhamu ya kazi, kila kazi ina taratibu zake.

Tuache uzwazwa!

Tusubiri matokeo ya Polisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…