Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

- wanaolalamika ni Viongozi wa zamani na famailia zao maana mirija imefungwa, wananchi wa mtaani hawajawahi kuwa maisha bora zaidi ya waliyonayo sasa msiwasingizie hawana tatizo na Rais.

le Mutuz
Viongozi wote waliopita walikuwa wakijinasibu kwenye vyombo vya habari, majukwaa na matamasha kuwa wao ni viongozi. Huyu wenu kila hotuba yeye anasema kwenye utawala wangu means kwamba sio uongozi bali utawala.

Na ukishakuwa na kiongozi mwenye maono ya kuwatala wananchi wake baada ya kuowaongoza jua huyo hafai na waliomchagua wanajutia maamuzi yao.

Maisha ya sasahivi huwezi linganisha na maisha ya uongozi uliopita. Kila mtu mtaani analia njaa na HUU UJUMBE MFIKISHIE BOSI WAKO " OGOPENI SANA WATU WANAOLIA NJAA MOYONI SIKU WAKIAMUA MTAPATA SANA SHIDA"
 
Mtu yeyote anayeanza kwa wazo la "tuiache serikali" hajui haki zake za msingi za uraia.

Sent from my Kimulimuli
 

- So unasema Rais wa sasa hafai ni bora Rais yupi aliyepita?

le Mutuz
 
Hakuna kazi mbaya duniani hasa kwa mwanaume as long as iwe ya halali na hauvunji sheria yoyote. Ninachozungumzia hapa ni kwa hao walio madarakani kuform hiyo illegal cartel ya kukutumia wewe kama propagandanist wao katika ku object na kutetea issue yoyote waliyoianzisha then ika backfire.

Kikubwa jirekebisheni. Leo na kesho wenzako wameshajiandalia maisha yao na hutawaona mtaani mambo yakiharibika. think big na punguza utoto.
 
huyu mzee anazeeka vibaya....kaa nyumban lea vijukuu.....kutwa kukesha mitandaoni kubishana na wanao.......utakua uliruka stage..... poor le mpu******z

Sent using Jamii Forums mobile app

- Unasema yule mama wa watoto 3 ni mtoto mdogo anayetumiwa kumtukana Rais? Are you serious? Kazi yangu ni Social Media so relax I make money sio longo longo tu!

le Mutuz
 
- So unasema Rais wa sasa hafai ni bora Rais yupi aliyepita?

le Mutuz
Ni heri ya aliyepita kuliko huyu wa sasa. Wewe na wao mnaishia posta tuu au mkienda mikoani mnaishi centre. Mtaani watu wanagrievance kubwa sana kuhusu haya maisha ya sasahivi. Na sikuzote serikali haiendeshwi kibabe mkumbushe bosi wako kuna maisha baada ya huo uongozi.

Kitu kizuri ni kwamba nyinyi kwa nyinyi sasa mnatofautiana. Sikutegemea kama kuna mtu wa karibu sana atatokea na kukerwa na haya unayoyafanya, nimefarijika sana kwa post za jana za kiongozi wa chalinze. Inaonyesha sasa upuuzi mnaoufanya unakaribia kufika tamati.
 

- Kool naomba nikuulize nilipokuwa USA naitetea CCM hapa nilikuwa ninalipwa na nani? Na wewe unalipwa na nani kuishambulia CCM? Unadhani kwa nini anakerwa unaijua sababu? Mimi naijua ni kwa sababu anashirkiana na yule tahila sasa alichukizwa na mimi kumjibu jana, ila umesikia Ikulu jana ule ujumbe

le Mutuz
 


Kazi kwelikweli!
So kuzunguka kote huko shida yako ilikuwa ni hii ?
 

Mkuu hata huko Posta watu wanalalamika tu, tena huko ndio zaidi.
 

Sijaelewa, yani hawa wanaowashwawashwa wanashirikiana na Mange ?
duh!
 

Kwenye shambulio hili wewe unasimama kama ndugu wa mjeruhiwa? ama mtetezi wa wasiojulikana? kwanini nguvu nyingi unazitumia kuonyesha kama wewe unawafahamu wasiojulikana? sasa umeahidi unamsubiri arudi nchini je kuna jambo gani umelipanga dhidi yake? mimi binafsi unanichanganya na majibu yako dhidi ya tundu lissu gunshot attack. Ungejiweka wazi nadhani ungeeleweka zaidi ya ilivyo sasa.
 
Soma na tafuta my previous posts way back. Am totally pro CCM lakini si kwa trend hii. Leo mange yupo USA tunasema na wewe mwenyewe unasema anatumiwa na Upinzani inashindikana vipi wewe ulipokuwa USA kutumika na CCM?
 
- Unasema yule mama wa watoto 3 ni mtoto mdogo anayetumiwa kumtukana Rais? Are you serious? Kazi yangu ni Social Media so relax I make money sio longo longo tu!

le Mutuz

Naendelea kupata picha lakini siamini , Antumiw ana ani huyu kumtukana Raisi? inamaan ani nani huyo anatamani kumtukan |Raisi lakini anshindwa anahamua kumtumia huyu mama ?
 
Very true
 
- wanaolalamika ni Viongozi wa zamani na famailia zao maana mirija imefungwa, wananchi wa mtaani hawajawahi kuwa maisha bora zaidi ya waliyonayo sasa msiwasingizie hawana tatizo na Rais.

le Mutuz

Nimekuelewa sasa, kwahiyo ndio wanamtumia yule mama kumtukana raisi kwa kuw ahawawezi kumtukana wao wenyewe.
Asante sasa nimeeelewa kumbe unaweza kuchonga kinyago kikakutisha wewe mwenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…