Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
Viongozi wote waliopita walikuwa wakijinasibu kwenye vyombo vya habari, majukwaa na matamasha kuwa wao ni viongozi. Huyu wenu kila hotuba yeye anasema kwenye utawala wangu means kwamba sio uongozi bali utawala.- wanaolalamika ni Viongozi wa zamani na famailia zao maana mirija imefungwa, wananchi wa mtaani hawajawahi kuwa maisha bora zaidi ya waliyonayo sasa msiwasingizie hawana tatizo na Rais.
le Mutuz
Na ukishakuwa na kiongozi mwenye maono ya kuwatala wananchi wake baada ya kuowaongoza jua huyo hafai na waliomchagua wanajutia maamuzi yao.
Maisha ya sasahivi huwezi linganisha na maisha ya uongozi uliopita. Kila mtu mtaani analia njaa na HUU UJUMBE MFIKISHIE BOSI WAKO " OGOPENI SANA WATU WANAOLIA NJAA MOYONI SIKU WAKIAMUA MTAPATA SANA SHIDA"