Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

EXTRA STRAIGHT TALK:- Unaporusha rusha maneno ya kichochezi kuhusu kushambuliwa kwa Mh. Tundu Lissu bakisha maneno na tafuta Facts kwanza ....

naomba nikukumbushe kwa FACTS .....Mauaji ya Waisilamu Mwembe Chai Mwezi May, Mwaka 1998 Rais hakuwa Magufuli!....Wakati wafuasi wa CUF Pemba wanapigwa mabomu Mwaka 2001 January na kuuliwa wafuasi wao 20 Rais hakuwa Magufuli ....Mwaka 2002 September 2, Muandishi wa Habari Daudi Mwangosi alipouliwa na Bomu Iringa Rais hakuwa Magufuli! ....January 5, 2011 Wananchi 3 waliuawa kwa Risasi za Polisi Arusha kuthibiti maandamano yasiyokuwa na kibali vipi Rais hakuwa Magufuli! ....June 28, 2012 Dr. Ulimboka alitekwa na watu wasiojulikana akiwa Leaders Club anapata supu asubuhi Rais hakuwa Magufuli! ....Mwezi May, 2013 Muandishi wa Habari maarufu Absalom Kibanda alipotekwa na kupigwa vibaya Rais hakuwa Magufuli....na June/2008 Makamu wa Mwenyekiti Chadema aliyekuwa anataka kugombea Uenyekiti wa chama hicho na kuishia kufariki kwenye ajali ya ajabu Dodoma Rais hakuwa Magufuli ....October, 2013 Mwigamba alipopigwa mpaka kuzimia kwa kudai mahesabu ya Chadema Rais hakuwa Magufuli!


....please msijaribu kupandikiza chuki baina yetu wananchi tutaendelea kuwakumbusha kuwa hakuna ushahidi so far wa nani anahusika na kupigwa kwa Mh. Tundu Lissu ...wote tunamuombea apone haraka ila tutaendelea kupinga hukumu za bila Facts against Serikali ....kuhusu matibabu kwa utaratibu wa Serikali ili Mbunge akatibiwe nje ya nchi na kulipiwa na Serikali ni lazima ithibitishwe na Matabibu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwamba WAMESHINDWA na jana ni FAMILIA YA LISSU ndiyo iliyodai kutaka Lissu akatibiwe nje na sio Madaktari wa Muhimbili kama utaratibu unavyotaka na sababu walisema wanahofia usalama wake ...now Serikali ya Rais Magufuli haina cha kufanya isipokuwa kuwaruhusu familia yake wafanye wanachotaka ....Thanks tutaendelea kuwekana sawa kwa FACTS kuhusu kinachoendelea na some of us tutaendelea kusimamia Ukweli tu ...kushambuliwa kwa Lissu hakumfanyi anyone kuwa na haki ya kuhukumu wengine bila FACTS Taifa ni letu wote so relax guys ...kama hamna FACTS nyamazeni iachieni Serikali ifanye kazi yake STOP THE MADNESS! - le Mutuz
Watu hawamtuhumu maghufuli bali wanatuhumu serikali ya chama cha mapinduzi.
Na kwanini wengine wananyoosha kidole mojakwamoja?wale viongozi waliopita walikuwa waangalufu kwa kauli zao na hisia zao huyu wa sasa ..msimjaribu maana ataqafyokoa wanaoleta fyoko na ata deal nao mitaani qaliokywa wakichonga kwa kinga ya bunge na ..wengine anatamani ingekuwa yeye asinge tia saini kugharamia matibabu nje kwa kuwa hawawapi mikono wapinzani wao wanapokutana katika shughuliza kijamii!
Ukifuata fact hizo urajua mlengwa ni serikali si mkuu wa serikali ila yeye ana mapungufu yake yanayo amplify kusemwa semwa kwake! Talking about facts!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
He is retarded afadhali wamtafutie zoo akae na wanyama walie fanana nae kuliko kuendelea kuwatia aibu malecela na wanae huko walipo.
Yani hili babu lina tatizo upstairs hayuko sawa kabisa,anatamani angekuwa na maisha ambayo hanayo maskini, kutwa kupiga picha double tree ma five star hotel kumbe hana hata nyumba, ndio maana katafuta alternative ya Ku survive mjini inayomuabisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeanza kuamini anachokisema Mage kimambi kuhusu Bashite, yule jamaa aliyekula mulungula Bagamoyo na huyu Le Mutuzi kuwa ni kweli. Mwanaume uliyekamilika huwa kuwa busy mitandaoni unamsema binadamu mwenzio anayeteseka hospital kwa majeraha vile.


Zamani ulikuwa ukijaaliwa mwili mkubwa na kipara na BUSARA nayo inakuwa kubwa kwa zama hizi ni vice versa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeanza kuamini anachokisema Mage kimambi kuhusu Bashite, yule jamaa aliyekula mulungula Bagamoyo na huyu Le Mutuzi kuwa ni kweli. Mwanaume uliyekamilika huwa kuwa busy mitandaoni unamsema binadamu mwenzio anayeteseka hospital kwa majeraha vile.


Zamani ulikuwa ukijaaliwa mwili mkubwa na kipara na BUSARA nayo inakuwa kubwa kwa zama hizi ni vice versa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani anasifa zote za kuliwa
Kutwa kushinda social media, labda ni kwa sababu hana shughuli yoyote ya kumuingizia kipato zaidi ya kupandwa

Alafu anavyojifanyaga hodari Wa kujibizana na wadada utasema analipwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
- hahahahaha kumbe wewe ni gay sasa unadhani kila mtu ni kama wewe? hahahaha watoto ni wakubwa wala hawahitaji anything wapo sawa pole sana ila unaonekana ni gay maana mtoto wa kiume unaongea kama unapika jikoni hahahahahaha

le Mutuz
Sioni kosa mtoto wakiume kupika .unapitia stage inaitwa denial eti watoto wamekua wakubwa hawahitaji anything u just cant accept the fact that u cant raise them bcoz u are mentally unfit and u hate the truth that another man is simply called dad by ur own flesh this simply puts you to the position you are in seek help
 
Ni watu wachache sana watakao kuelewa unamaanisha nini? watanganyika wamekuwa mainvestigator na madetective kichwani mwao na ktk ubongo space ya majibu kuko full wakati space ya facts na maswali kuko empty

Kuna vitu vinatia shaka sana kwa tukio la Lissu na siku zote upelelezi lazima uanzie kwa watu wa karibu wa aliyepata matatizo
Ndugu hata waje nani mbinu na taratibu za investigation zinafanana kuanzia

1 DNA
2 CCTV cameras
3 Finger print
4Ushahidi wa Mazingira
5Ushahidi wa mawasilino

Huku njia za kiuchunguzi ni 6 zilezile si kwamba CIA wakija watakuja na njia zaidi ya hizi
1 immediate action
2 Plan investigation
3 Data collection
4 Data analysis
5 Corrective actions
6 Reporting

Ukiangalia njia karibu zote tayari jeshi la Police linazifanyia kazi toka siku ya kwanza kingne ambacho ujui huko huko kwenye NSA,CIA,FBI yani US ndio nchi ya kwanza kuongoza kwa mauaji ndani ya US na Marekani hakuna kesi zinazochukua muda mrefu kuwa solved kama kesi za mauaji kuanzia mauaji ya Mitaani au homicide rate ya mauaji kwa mwaka ni 16.3% ya vifo vyote vinavyotokea US ni vya mauaji hasa ya silaha za moto yani bunduki pamoja na kuwa na Technologia kubwa vyombo vya Ulinzi na usalama zaidi ya 17 lakini ndio nchi yenye rate kubwa ya mauaji ya kutumia silaha na kesi zake zinachukua muda mrefu sana
Kuanzia mwaka 1968-2011 kumefanyika mauaji zaidi ya 1.4 milion kesi ambazo zimekuwa solved yani wauaji kupatikana na hukumu kutolewa ni chini ya kesi 1.2 milion so bado kesi zaid ya laki mbili bado si solved hiyo ni mwaka 1968-2011 kumbuka ktk nchi zenye vurugu na mauaji ya silaha SA na USA zinaongoza

Mwaka 2010 68% of all homicides in the US were committed by firearms
Lakini kesi nyingi za mauaji zinategemea sana laboratory kusolve kuanzia DNA mpaka Finger print ambapo FBI wana
system ya Combined DNA Index System ( CODIS ) ambayo raia wote wa US DNA zao zinakuwapo so wanakuwa wanafanya matching na DNA ya kwenye Crime scene pia bado aitoshi kumfungulia mtu kesi kwani mtu anaweza kuua na kupadikiza DNA ya mtu mwingine kwenye Crime scene je DNA za raia wote wa Tanganyika zipo kwenye data base?? na katika uchunguzi watu wa kwanza kuchunguzwa juu ya swala hili ni Chadema wenyewe kwani kanuni ya uchunguzi inaanzia kwa watu wa karibu wa aliyepata matatizo je chadema wako tayari kuchunguzwa wao kwanza? pili wako tayari kupokea majibu ya uchunguzi utakapokamilika je ikitokea Chadema kuna mtu amehusika je wapo tayari kukubali je wanachama wa chadema wapo tayri pia kukubali matokeo ya uchunguzi huo??
sisi wenyewe tatizo letu lipo kwenye reporting. facts zote zitapatikana kwenye pasi ya mwisho ndo tabu, wanabutua juuuuuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My man...hapa unatwanga maji kwenye kinu tu.

Hutoweza kabisa ku reason na hawa watu.

Wao tayari wanaamini wanachoamini. Wameshalewa chuki na siasa.

Wameshahitimisha na wanamjua aliyetaka kumuua Lisu.

They are stuck on stupid. And that absolutely renders it impossible to reason with them.
hivi wewe siku hizi umerogwa? naona una mabadiliko makubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
- umekosea kuna mmoja hapo sio hahahahahaa unarukia usiyoyajua sasa na hayahusu kabisa hahahahaha mtoe kwanza tuongee

le Mutuz
Hahahah mkuu umelaaniwa ww na mama yako mzazi

Emu tueleze how on earth wold a Phd holder and intwrnational figure kama huyu awe na bifu na mtoto haramu tena le vidorez[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yani anasifa zote za kuliwa
Kutwa kushinda social media, labda ni kwa sababu hana shughuli yoyote ya kumuingizia kipato zaidi ya kupandwa

Alafu anavyojifanyaga hodari Wa kujibizana na wadada utasema analipwa

Sent using Jamii Forums mobile app
kulelewa watoto na mwanaume mwingine hakuja wahi kumuacha kiumbe salama inasikitisha sasa watoto wake wakisoma alicho andika mange na facts zoote za wale madada utaanzaje kumuita baba huyu jamaaa ni kituko nna uhakika halali bila kujisuta ndo maana anaachia vitoto vimchezee he has nothing left to loose
 
1505235981282.png
 
kulelewa watoto na mwanaume mwingine hakuja wahi kumuacha kiumbe salama inasikitisha sasa watoto wake wakisoma alicho andika mange na facts zoote za wale madada utaanzaje kumuita baba huyu jamaaa ni kituko nna uhakika halali bila kujisuta ndo maana anaachia vitoto vimchezee he has nothing left to loose
Tehe tehe tehe ni hasara kubwa kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom