Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

Wewe Le Mburulaz, na Kama serikali ndo inahusika tumwachie nani?
 
Waliitaka kumua Tundu ni maadui zake kisiasa. Hili ni suaka la siasa sio ujambazi.
Amekuwa akifatwa na watu fulani wa state amelitamka hili. Uchunguzi si kwa polisi hawa walio lewa ulevi wa kiccm.
Sio kwa hawa hata dua wanapiga watu
Sio hawa ukivaa fulana ya get well Lissu wanakukamata
Sio kwa hawa kuchangia damu tu kama ishara ya upendo kwa mtu wao ni nongwa....sijui unaongea vyombo gani ? Hivi vya umma vimepoteza uhalali huo....labda waje Scortland yard...
 
Kwa hiyo our current no 1 si anaongoza serikali inayoundwa na chama kile kile (CCM) ambacho hizo facts zako matukio hayo yalitokea?or yashafagiliwa chini ya zuria kwa hiyo mpangaji mpya ni msafi ?maadamu uchafu upo chini ya zuria !elewa kuna familia ambazo zilipoteza wapendwa wao,bread winners wao,na ni haki yao kujua nini kiliwakuta wapendwa wao na hadi leo serikali ya ccm haijatoa taarifa yeyote ,but we don't care because me and u we are part of the selected ones ambao tunafurahia pie ya taifa,waliouliwa sio ndugu au rafiki zetu,isipokuwa our number one kwa sasa ni msafi maisha yaendelee,kumbuka history itakuja kutuhukumu.
 

- Sijakuelewa kuwa namba one wa sasa anahusika na kifo cha Chacha Wangwe au Dr. Mwekyembe kuwekewa sumu au kuuliwa kwa Mtikila au what?

le Mutuz
 
- kijiua baada ya kubakwa na Wanaume 10 kwa sababu ya kupenda wake za watu unasema ni ushujaa? Please

le Mutuz
Hayo yote uliyotaja, ulimboka, kibanda, wangwe mpaka leo si serekali wala polisi waliotupa majibu ya nn kilitokea halafu tuendelee kuamini serekali na polisi?? Upuuzi mtupu
 
- Sijakuelewa kuwa namba one wa sasa anahusika na kifo cha Chacha Wangwe au Dr. Mwekyembe kuwekewa sumu au kuuliwa kwa Mtikila au what?

le Mutuz
hapa ndipo lilipo tatizo.hiki kikombe cha maovu yote kinaishia kwenye mlango wa serikali,na nani ni msimamizi wa serikali ni rais wetu na chama gani kinachounda serikali ni ccm,huwezi kutenganisha haya mambo na ,,vile vile mafanikio yaliyofikiwa ni serikali inayoundwa na ccm,hiyo mifano yote upo right ni serikali iliyoundwa na ccm ingekuwa imeshatupa majibu yote hayo,elewa katiba inamuelekeza our number 1kuwa ndio mlinzi mkuu wa watanzania wote na hata ambao wako ndani ya mipaka yetu.ni haki yetu tupate majibu na hasa wenye ndugu ambao wameathiriwa moja kwa moja kwa matukio hayo mkuu.
 
sorry na kuhusu Mtikila kwangu ile ni car accident sio kuuliwa may be u know better please tuelezee kuwa haikuwa ajali bali aliuliwa.
 
Hayo yote uliyotaja, ulimboka, kibanda, wangwe mpaka leo si serekali wala polisi waliotupa majibu ya nn kilitokea halafu tuendelee kuamini serekali na polisi?? Upuuzi mtupu

- Sasa mbona hamjaandamana kujua matokeo ya nani alimuua Chacha Wangwe au?

le Mutuz
 

- Sasa kama una ushahidi wote huu kwa nini usiupeleke Polisi au the Haque maana inaeonekana unayajua vizuri na yote na wahusika, duh!

le Mutuz
 
- Sasa kama una ushahidi wote huu kwa nini usiupeleke Polisi au the Haque maana inaeonekana unayajua vizuri na yote na wahusika, duh!

le Mutuz
hahaa

tenderfoot, unripe, juvenile, babyish, immature

lipi linakufaa sana[emoji41]
 
Kwa mfano tuuh, labda serikali ikiwa inahusika itasema ni yenyewe inayohusika???

Ebu jiongeze, angalau akili yako iendane na mwili..! Mwili jumba akili kipisi kweli ndugu Lembembezi..??
Sio akili iendane na mwili akili iendane na umri wake basi
 
nasikia huyu mzee sio riziki. sasa sijui ni kweli au ni wabaya wake tu wanamchafua.

- hahahahaa mlevi hudhani wengine wote ni kama yeye so unatuambia jinsia yako ili iwe nini mkuu sana? hahahahaha kumbe ndio mambo yako hayo? duh! hahahaha

le Mutuz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…