Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

Lakini pia serikali ilisema kuwa, 'kwenye hili la madini, ni vita. Yule atakayekwenda tofauti na sisi ni msaliti, adhabu anayostahili inajulikana, askari wanajua'.

Huyu Malecela atuambie maana ya hiyo kauli.
Kama unakiri alienda tofauti sasa unategemea nini ? Kwanini uwe kinyume na Nchi?
 
we mwenyewe unatuchanganya tu na hizo the so called 'FACTS' zako. waachie polisi watende kazi zao sio kutumixmix namna hivi
Mimi naomba unijibu maswali haya-
Kama serikali inasaini mikataba mibovu, na Lissu anapiga kelele kwamba mikataba hii ni mibovu na itaingiza taifa katika hasara, msaliti ni yeye anayesema au maofisa wa serikali waliosaini mikataba hiyo?

Msaliti ni yeye au rais anayetaka kumnyamazisha ili nchi isisikie sauti yake ya kinabii?

Kama viongozi wetu wamevunja mikataba; uamuzi wa viongozi wetu ukasababisha tushitakiwe, tukashindwa katika mahakama za usuluhishi; msaliti ni Lissu anayesema tumeshitakiwa na tumeshindwa?

Kama tunadaiwa na makampuni ya nje, yakakamata ndege yetu, Lissu akasema ndege yetu imekamatwa kwa sababu ya uamuzi mbovu wa viongozi wetu, na akasema watakaolipa fedha hizo si viongozi bali ni wananchi maskini; msaliti ni yeye au hao waliosababisha madhira hayo?

Kama rais anatoa amri zinazopoka uhuru wa wananchi kufikiri, kujieleza na kukusanyika – kinyume cha katiba – na Lissu anajitokeza kusema huu ni udikteta uchwara; inatosha kumuita msaliti?

Na katika mazingira ya “ugomvi” tunaoshuhudia mfululizo kati ya serikali na Lissu, na kwa kuzingatia matamko mabaya ya viongozi wakuu wa serikali dhidi yake; na sasa amepigwa risasi mchana kweupe, tutarajie nani awe mtuhumiwa wa kwanza dhidi ya Lissu?
 
Evidence or FACTs
 
bandiko langu sioni linahusiana vipi na maswali yako kiongozi
 
wameshindwa kutuambia aliyemtolea Nape bastola, kumuhukumu aliyevamia studio kwa antipas ndio waje na jibu
 
- hahahahahaha Mama yangu alishatangulia kwenye haki na maisha yake hayakuhusu yanamuhusu Mungu wake, hahahaha umenivunja sana mbavu hahahahah sema lingine hili wala halina nguvu kama ulivyotegemea hahahahaha

le Mutuz
alitangulia sawa ila kabla ya kutangulia kwake hujawahi kuonesha kujali uwepo wa mama zaidi ya kuendelea kupost wanawake wa watu,na huyo mange unayejinasibu kushindana naye hamfanan kuanzia ujengaji hoja mpaka kuungwa mkono,kitu pekee ulichompita ni uwezo wa shati lako kufunika vits na kugawa tigo yenye pumbapumba
 

- Ingekuwa kweli unayoyasema usingetumia nguvu yote hiyo na mapovu kuyasema hayo, ni kwa sababu unajua hapa ni ukuta ndio maana hahahahaha chezeeni wajinga sio mimi!

le Mutuz
 
Wewe mzee mwenye mwili mkubwa lakini akili kisoda hebu naomba tu ujibu hili swali dogo la msingi kabisa; Kama imeshindikana kwa polisi kumkamata na kumshtaki yule mhuni mmoja aliyemtolea Nape bastola hadharani mchana mbele ya makamera ya waandishi wa habari itawezekana vipi kwa polisi hao hao kuwakamata na kuwashtaki wahuni hao kadhaa waliomjeruhi Lissu ambao hakuna aliyeona sura zao kwa uhakika??
 
- Ingekuwa kweli unayoyasema usingetumia nguvu yote hiyo na mapovu kuyasema hayo, ni kwa sababu unajua hapa ni ukuta ndio maana hahahahaha chezeeni wajinga sio mimi!

le Mutuz
nguvu gani imetumika?mama anaumwa hujawah mpost even once afu unatak kushawish umma kuwa haujalaaniwa,kwa umri wako hukutakiww kuwa hivyo,kitu cha kushangaza ni kwamba kila ovu lazima ulitetee tu,kuanzia bashite vyeti,bashite magari,bashite roma mpka bashite lissu.Kwann unatumia nguvu sana mkuu.Mpaka ridhiwani aliongea vile ujue ulikua umekera sana,na kuonesha hueshimik hata kwa hao unaowatetea akuna anayekukumbuka kwenye post yoyote and you will never get it.
 


Wana jf aliyeleta maoni haya hajielewi
ifahamike kuwa kazi ya seriali nikulinda Raia wake wasishambuliwe na maadui.sasa atuambie kwa nini kibanda,saanane,kubenea na wengine uliowataja kama akina Ulimboka walipatwa mateso makali badala ya serikali hiihii ya ccm kulivalia njuga,ikajitia pamba masikioni na kuunda tume au kujiapiza kuwa haitakosa kuwakamata waliohusika kutesa na kuumiza watu wale.Hivi kweli kama BEN angekuwa mtoto wa kigogo au ndg yake serikali ingepotezea kama ilivyopotezea walioumizwa na kudai kuwa watu wasiojulikana?,Nchi zetu za Afrika zimekumbwa na jaribio kubwa ambapo watawala huamini kuwa ili chama chao kidumu kutawala nikuhakikisha inavunja sheria,au inahakikisha mamlaka yanayohusu uchaguzi yanakosa meno au vyombo vya dola viinageuka kuwa makada.
hatuwezi kupiga hatua za maendeleo kwa falsafa hii,mwaka 1961 tulipopata uhuru tulikuwa tunakabiliwa na changamoto ya umeme kutoweza kusaidia uendeshaji wa mitambo yetu hadi 2017 nchi bado inaumeme wa kubahatisha ,wanaosema na kukosoa wanapewa carrot ad sticks
 

- Aliyekuambia Serikali imeshindwa ni nani? Ni nani aliyeomba akamatwe?

le Mutuz
 
Wewe unaweza kumshitaki mke wako kwa kukuzalia mtoto???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…