Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

Sasa naamini Albadiri imeanza kufanya kazi..wehu kama huyu mleta mada wanazidi kuongezeka humu jf
 
We malechela nenda kawasaidie polisi kuwajuza unayojua kuhusu tukio la Lissu..nahisi unayajua A-Z
 
nasikia unafirwaa ya kweli HAYO? lemutuz
 
Vipi jeshi la polisi imeshatoa mrejesho wa hatua waliyofikia katika uchunguzi wao (feedback) kuhusu "assassination attemp kwa Lissu"?
Ule uchunguzi wa hutuma za kigaidi inayowahusu waislamu,masheikh na UAMSHO bado polisi hawajamaliza uchunguzi? Ni miaka mingapi imeyeyuka tokea wamesekwa lupango wale watuhumiwa?

Mtuhumiwa anaweza kujichunguza?
 
- Ungejiuliza baba yako anajisikiaje kuwa na mtoto kama wewe mwanaume unayehangaika na maisha ya wanaume usiowajua kwenye mitandao na majina ya bandia? hahahahahaha jiangalie kwanza kuhusu baba yako na wewe kichwa koroma hahahaha

le Mutuz
[emoji3][emoji3]eti Mwanaume, Mwanaume madochi
 
Mambo yako ww William sometimes huwa najiuliza hizo akili zako umerithi wap mbona unakuwa ni mpuuzi sana
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] mzee wa kupigwa [emoji533] huwez kuwa na point yoyote .
 
Eh! Ama kweli nimeamini kumbe matusi yote unayotukanwa na kina Mange yanakustahili...
Yani polisi huwa wanaombwa kukamata wahalifu wakati ni kazi yao??!!
[emoji23] [emoji23] nasikia wanampiga mashine kama wale wengine tu.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] hata itakuwa sio kwel aiseee huyu jamaa kaharibiwa sana reputation yake hadi aibu utu uzima ule 52 years unapata skendo za hivyo dah aibu
 
Chadema wenyewe kwani kanuni ya uchunguzi inaanzia kwa watu wa karibu wa aliyepata matatizo je chadema wako tayari kuchunguzwa wao kwanza?
mhalifu unamuuliza kama anakubali kama cdm wamehusika fikisha mahakamani tu lkn isiwe scapegoat
 
Huyu jamaa mwili wake hauendani na akili zake... Nikimuona ni kama nimeona kubwa jinga
 
Kweli we hujui kusoma dalili. Kwa hiyo matamshi ya Rais kuwashughulikia wanaoropoka, kutishia media, Bashite kwenda studio na wasiojulikana, Nape kutolewa Bastola. Unaona bado tuiachie Serikali. Wallahi umerogwa. Au nawe haujulikani....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…