Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

Hapo mwisho umemalizia vizuri eti tuwe watulivu tusubirie uchunguzi sio! Sasa nisaidie kunielewesha eti uchunguzi wa prof mwaikusa, sengondo mvungi, kubenea, kibanda , Benn saanane, miili ya ruvu, mabomu soweto, wakili wa kujitegemea aliepotea, Alfonce mawazo, kutekwa roma, aliemtishia Nape bastola hadharani, waliotaja na Lissu kuwa wanamfuatilia na mengineyo kama hayo tulisubili majibu ya polisi wakishachunguza, sote tunajua ya kwamba hakuna majibu yaliotoka polisi kwa uchunguzi wao hata ya uongo tu, tena leo we unasema tusubili uchunguzi wa polisi kweli? Au hadi ikutokee kwako au familia yako ndio utatumia akili yako uliopewa na mungu? Sawa bana dunia tunapita.
 
Naongezea Mh chacha wangwe alipokufa kwa ajari isiyoeleweka rais hakuwa magufuri, Mh Lisuu kwenda Kenya nikutafta faziri za madaktari wahuko kwa kuwa magufuri alitaka kupereka madoctor250

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo unaetaka ahame nchi utahama nae ili uwe mkewe mi nianze kujipanga tuhame nchi ya laana hii tukaishi pasipojulikana?
 
Mbona mnatumia Nguvu kubwa kuitetea Serikali na suala hili la Lissu kuna nini nyuma maana mnatumia nguvu kubwa mpaka wajinga watastukia
 
FACT;
TUNDU LISSU alikwisha waambia Sirro na yule wa TISS tena hadharani kuwa kuna "vijamaa" vyao vinamfuatilia kila mahali Kwa gari alilowapa namba zake
Je walichukua hatua gani?
Aliripot kituo gan?
Na alifungua report book file?
Aliita media na kusema anamwabia sirro na RPC wa dar kuwa vijana wanaowatuma kumfutilia amewakaba maeneo ya osterbay (parish) sasa hapo police waanze kufuatilia nin na hakuna malalamiko officially!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni watu wachache sana watakao kuelewa unamaanisha nini? watanganyika wamekuwa mainvestigator na madetective kichwani mwao na ktk ubongo space ya majibu kuko full wakati space ya facts na maswali kuko empty

kwamba maandamano yanahitaji kibaki cha polisi ?
Katiba ya wapi hiyo ?
 
Wanatumia kodi yangu kujitafuta!!!wakati huku hatuna
maji huu ndio ujinga kiwango cha run way ya chato airport
 
Clouds ilivamiwa hakuwa Magufuli..nakukumbusha tu
 
Kuna namna official ya kuripoti uhalifu?
 
Tangu lini umekuwa msemaji wa serikali we mburula? Ulivyo mjinga hata hujui kama kuna polisi alifikishwa kortini baada ya shinikizo kubwa kuhusiana na kifo cha Mwangosi lakini Kamuhanda alipandishwa cheo. Na ulivyo mbugila mbugila hata hujui kwamba kuna "chizi alikamatwa " kwa Gwajima eti alienda kufanya toba kwa aliyofanya kwa akina Ulimboka!

Iko hivi, approach za kijinga ambazo unawazunga nazo mbugila mbugila hazina nafasi kipindi hiki. zimepitwa na muda! Na akili yako imeishapitwa na muda, pumzika acha wenye akili za kisasa wafanye kazi!
 
Dah!! Kweli wakati huo hakuwa yeye, ila sasa ndie..

Mh!! Hivi hiki chama kiliwahi kuwa chema!!!!!!?
 
Serikali itoe nini nayo ndio mhusika mkuu ? Bashite alitumia policcm kama ma house boy wake na bunduki za walipoa kodi kama zake na serikali ilimpongeza vilevile,kwa hili la Lisu ndo itafanya nini serikali yako hiyo ? Msidhani komedi zenu zina faa kila mahali,kuna wakati zina kwama.komedi mwisho amboni.kwenda zenu huko na serikali yenu ya kiuaji.kila mtu mbaya kila mtu alipwe kisasi,kila mtu adui,hiyo ni serikali ni genge la wapigaji? Serikali itakua hiyo inayomaliza wapinzani !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni watu wachache sana watakao kuelewa unamaanisha nini? watanganyika wamekuwa mainvestigator na madetective kichwani mwao na ktk ubongo space ya majibu kuko full wakati space ya facts na maswali kuko empty
na bado hapa mbona trailer tu,tuende hivihivi maana hali hii inawasaidia wengine kuamka usingizini mpaka tuwe na uelewa kama wakenya maana kusema ukweli katika nchi za afrika mashariki wabongo tumelala sana,na nyie ambao bado mmelala endeleeni kulala maana KENGE hasikii mpaka DAMU zitoke masikioni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…