Blue Bahari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,851
- 2,171
Poa
Utu ni mwema.
Utu ni mwema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo, si kazi ya polisi kukaa ofisini kusubiri watu waje kuripoti matukio ya uhalifu. Na kwa kukusaidia, kazi ya polisi ni kutafuta wahalifu. Mtu akisikika, kokote kule, analalamika kuwa kuna uhalifu mahali fulani ni kazi ya polisi kufuatilia. Maana yake ni kwamba, unaweza kuzungumza kuwepo kwa uhalifu kwako bila kwenda kuripoti na kama polisi wakisikia hawatakiwi kukusubiri ukaripoti kwao, wanachopaswa kufanya ni kukufuata na kupata maelezo yako in details wakiona yanakidhi vigezo vya kuestablish criminal offence wanaenda kufungua jalada na kuanza uchunguzi. Upo?Hivi ukitishiwa na wahalifu halafu uitishe press conference na medias. Bila kutoa taarifa kwenye vyombo husika..unataka police waje kwako wakuulize aliyekutisha ni nan??
Sent using Jamii Forums mobile app
EXTRA STRAIGHT TALK:- Unaporusha rusha maneno ya kichochezi kuhusu kushambuliwa kwa Mh. Tundu Lissu bakisha maneno na tafuta Facts kwanza ....
naomba nikukumbushe kwa FACTS .....Mauaji ya Waisilamu Mwembe Chai Mwezi May, Mwaka 1998 Rais hakuwa Magufuli!....Wakati wafuasi wa CUF Pemba wanapigwa mabomu Mwaka 2001 January na kuuliwa wafuasi wao 20 Rais hakuwa Magufuli ....Mwaka 2002 September 2, Muandishi wa Habari Daudi Mwangosi alipouliwa na Bomu Iringa Rais hakuwa Magufuli! ....January 5, 2011 Wananchi 3 waliuawa kwa Risasi za Polisi Arusha kuthibiti maandamano yasiyokuwa na kibali vipi Rais hakuwa Magufuli! ....June 28, 2012 Dr. Ulimboka alitekwa na watu wasiojulikana akiwa Leaders Club anapata supu asubuhi Rais hakuwa Magufuli! ....Mwezi May, 2013 Muandishi wa Habari maarufu Absalom Kibanda alipotekwa na kupigwa vibaya Rais hakuwa Magufuli....na June/2008 Makamu wa Mwenyekiti Chadema aliyekuwa anataka kugombea Uenyekiti wa chama hicho na kuishia kufariki kwenye ajali ya ajabu Dodoma Rais hakuwa Magufuli ....October, 2013 Mwigamba alipopigwa mpaka kuzimia kwa kudai mahesabu ya Chadema Rais hakuwa Magufuli!
....please msijaribu kupandikiza chuki baina yetu wananchi tutaendelea kuwakumbusha kuwa hakuna ushahidi so far wa nani anahusika na kupigwa kwa Mh. Tundu Lissu ...wote tunamuombea apone haraka ila tutaendelea kupinga hukumu za bila Facts against Serikali ....kuhusu matibabu kwa utaratibu wa Serikali ili Mbunge akatibiwe nje ya nchi na kulipiwa na Serikali ni lazima ithibitishwe na Matabibu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwamba WAMESHINDWA na jana ni FAMILIA YA LISSU ndiyo iliyodai kutaka Lissu akatibiwe nje na sio Madaktari wa Muhimbili kama utaratibu unavyotaka na sababu walisema wanahofia usalama wake ...now Serikali ya Rais Magufuli haina cha kufanya isipokuwa kuwaruhusu familia yake wafanye wanachotaka ....Thanks tutaendelea kuwekana sawa kwa FACTS kuhusu kinachoendelea na some of us tutaendelea kusimamia Ukweli tu ...kushambuliwa kwa Lissu hakumfanyi anyone kuwa na haki ya kuhukumu wengine bila FACTS Taifa ni letu wote so relax guys ...kama hamna FACTS nyamazeni iachieni Serikali ifanye kazi yake STOP THE MADNESS! - le Mutuz
Wewe ndiyo umepanga na kuratibu tukio zima, wamekulipa tshs ngapi? Wakiletwa FBI au Scotland Yard hapa mtuhumiwa wa kwanza utakuwa wewe kwani watasoma Mwandishi yako watapata tafasiri kuwa wewe ndiyo mpanga njama zote, sasa uneanza kujikosha lakini Tambua watanzania si wajinga wanakujua Tabia zako zote na kila unachofanya wanakujua hata ukiwahadaa watanzania vipi ni vigumu kuchomoka kwenye njama za kutaka kumuua Tundu Lisu. Ujue mungu hapendi njama zako ndiyo maana kaamua kukuumbua kwa njia hii japo wewe ulidhani utawahadaa wananchi wakielewe, kila mmoja ni shushu kwa sasa na wengi wanakuchunguza nyendo zako le mutuz ndiyo maana kwa hili la Lisu utanasa tu.EXTRA STRAIGHT TALK:- Unaporusha rusha maneno ya kichochezi kuhusu kushambuliwa kwa Mh. Tundu Lissu bakisha maneno na tafuta Facts kwanza ....
naomba nikukumbushe kwa FACTS .....Mauaji ya Waisilamu Mwembe Chai Mwezi May, Mwaka 1998 Rais hakuwa Magufuli!....Wakati wafuasi wa CUF Pemba wanapigwa mabomu Mwaka 2001 January na kuuliwa wafuasi wao 20 Rais hakuwa Magufuli ....Mwaka 2002 September 2, Muandishi wa Habari Daudi Mwangosi alipouliwa na Bomu Iringa Rais hakuwa Magufuli! ....January 5, 2011 Wananchi 3 waliuawa kwa Risasi za Polisi Arusha kuthibiti maandamano yasiyokuwa na kibali vipi Rais hakuwa Magufuli! ....June 28, 2012 Dr. Ulimboka alitekwa na watu wasiojulikana akiwa Leaders Club anapata supu asubuhi Rais hakuwa Magufuli! ....Mwezi May, 2013 Muandishi wa Habari maarufu Absalom Kibanda alipotekwa na kupigwa vibaya Rais hakuwa Magufuli....na June/2008 Makamu wa Mwenyekiti Chadema aliyekuwa anataka kugombea Uenyekiti wa chama hicho na kuishia kufariki kwenye ajali ya ajabu Dodoma Rais hakuwa Magufuli ....October, 2013 Mwigamba alipopigwa mpaka kuzimia kwa kudai mahesabu ya Chadema Rais hakuwa Magufuli!
....please msijaribu kupandikiza chuki baina yetu wananchi tutaendelea kuwakumbusha kuwa hakuna ushahidi so far wa nani anahusika na kupigwa kwa Mh. Tundu Lissu ...wote tunamuombea apone haraka ila tutaendelea kupinga hukumu za bila Facts against Serikali ....kuhusu matibabu kwa utaratibu wa Serikali ili Mbunge akatibiwe nje ya nchi na kulipiwa na Serikali ni lazima ithibitishwe na Matabibu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwamba WAMESHINDWA na jana ni FAMILIA YA LISSU ndiyo iliyodai kutaka Lissu akatibiwe nje na sio Madaktari wa Muhimbili kama utaratibu unavyotaka na sababu walisema wanahofia usalama wake ...now Serikali ya Rais Magufuli haina cha kufanya isipokuwa kuwaruhusu familia yake wafanye wanachotaka ....Thanks tutaendelea kuwekana sawa kwa FACTS kuhusu kinachoendelea na some of us tutaendelea kusimamia Ukweli tu ...kushambuliwa kwa Lissu hakumfanyi anyone kuwa na haki ya kuhukumu wengine bila FACTS Taifa ni letu wote so relax guys ...kama hamna FACTS nyamazeni iachieni Serikali ifanye kazi yake STOP THE MADNESS! - le Mutuz
We were all in US and neighbours but we differ in many ways. Kama ulifundishwa vyako na sisi wengine tulifundishwa kivyetu. We have all saved the country in many countries we know politics of all governments and how they can twist to rule the world. Usitufanye wote wajinga. FBI, Metro polisi wa UK na nchi nyingine huwa wanatoa riporti na kuomba waliokuwa karibu kusaidia na hata huwa wanakwenda nyumba hadi nyumba kuulizia kama watu waliona chochote. Je, matukio yote haya ya tangu ulivyotaja polisi imepiga hodi kwa nani? remember in US there is a saying never volunteer for information unless you have been asked to. Polisi wetu wanatutaka eti watu wajitokeze kusema wakati wenyewe wanalipwa kutafuta ukweli?- Well Mamen the Americans taught me to demand the reasonable truth beyond the doubt, ndio maana hatutawapa free pass si unaona walivyo panic na hii doze, tutaendelea kuwapa doze tu hata kama wanajifanya hawaelewi na kumbuka hawa wana njia zao za kukubali ukweli huwa wanatukana sana ujue wanakubali the truth
le Mutuz
Le mutuz na boss wake wanajua A-Z juu ya Lisu ujue Le mutuz hana kazi zaidi ya kufanya njama na upanbe kuzunguka usiku na mchana kwenye Bar, club, mahotelini na vibinti vitoto vidogo kwa pesa za kupewa na Boss wake Bashite nina imani huko alipo kama anepitia michango ya JF atakuwa kazimia ama pressure ipo juu kwani hakutarajia majibu haya.Le Mutuz
Hoja ya kuichia serikali haina mashiko unakumbuka wakati Mkapa alipoingia madarakani aliyekuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa (RIP) (nimesahau jina lake) aliuwawa na Polisi pale Maili Sita kule Moshi akidhaniwa ni jambazi wakati dereva wake alikuwa Askari wa usalama wa Taifa wale Askari walihukumiwa kufungwa na baada ya muda mfupi waliachiwa kwa msamaha wa Rais! Nape alitishiwa na vijana kutoka Special Branch siku hizi mnasema sijui idara/ kitengo mchana kweupe na TV zikamwonyesha na mpaka leo taarifa haujatolewa na hawakukamatwa badala yake Mangu IGP alitolewa kafara . The GoT has lost the credibility and focus and can't be trusted kwani hao vijana hawatakamatwa! Kwanza those aren't professionals ila ni kikundi cha Special Branch chini ya presidential guard na nadhani hata Kapilimba au Siro hawafahamu! That squad can kill anybody and any time kwa staili ya Kagame. Hii ni hatari wabunge na viongozi wote watch out uwe Waziri uwe Nani that squad will assassinate you with impunity! Hii inafanywa makusudu to instil fear and everyone is vulnerable. Nyie mnaochekekea Leo kesho mtalia! Kuiachia Serikali it's just like adding petrol to fire. These guys are already on the move and will strike anytime and anywhere. Kama you think it's a joke then angalia suala la Clouds those guys walitishiwa kwa mtutu na embargo against Bashite iko wapi? Kama Siro is asking for official reporting yaani kufungua RB why do they fall on somebody aliyeandika mawazo kwenye mtandao je RB iko wapi? Police ukipata hata tetesi hata kama ni fake news you have be proactive ! Kwa uhasama uliopo kati ya Mapolisi na the civil society under this rule of impunity ni kitu kigumu mtu kutoa taarifa kwani you aren't assured of your safety. Hatuna witness protection Act hatuna Sera wala sheria? Tuendelee kusema hapa kazi tu siku yakikufika ni wewe na familia yako! IMMMA Advocates jengo limepigwa defensive bombs karibu na Sea-lender Police station and a few metres from the Military Head. Quarters. Tuombe msaada kutoka nje kufanya upelelezi just for partiality Kama kweli the State is not behind using the Special Branch established kinyume cha Katiba!!!!
Yuko mtu aliagiza Lissu ashughulikiwe kwa kutolewa nje ya bunge, na akitolewa huko ndani ya bunge aje amshughulikie nje ya bunge, huyu anaanzaje kukwepa uovu huu?!EXTRA STRAIGHT TALK:- Unaporusha rusha maneno ya kichochezi kuhusu kushambuliwa kwa Mh. Tundu Lissu bakisha maneno na tafuta Facts kwanza ....
naomba nikukumbushe kwa FACTS .....Mauaji ya Waisilamu Mwembe Chai Mwezi May, Mwaka 1998 Rais hakuwa Magufuli!....Wakati wafuasi wa CUF Pemba wanapigwa mabomu Mwaka 2001 January na kuuliwa wafuasi wao 20 Rais hakuwa Magufuli ....Mwaka 2002 September 2, Muandishi wa Habari Daudi Mwangosi alipouliwa na Bomu Iringa Rais hakuwa Magufuli! ....January 5, 2011 Wananchi 3 waliuawa kwa Risasi za Polisi Arusha kuthibiti maandamano yasiyokuwa na kibali vipi Rais hakuwa Magufuli! ....June 28, 2012 Dr. Ulimboka alitekwa na watu wasiojulikana akiwa Leaders Club anapata supu asubuhi Rais hakuwa Magufuli! ....Mwezi May, 2013 Muandishi wa Habari maarufu Absalom Kibanda alipotekwa na kupigwa vibaya Rais hakuwa Magufuli....na June/2008 Makamu wa Mwenyekiti Chadema aliyekuwa anataka kugombea Uenyekiti wa chama hicho na kuishia kufariki kwenye ajali ya ajabu Dodoma Rais hakuwa Magufuli ....October, 2013 Mwigamba alipopigwa mpaka kuzimia kwa kudai mahesabu ya Chadema Rais hakuwa Magufuli!
....please msijaribu kupandikiza chuki baina yetu wananchi tutaendelea kuwakumbusha kuwa hakuna ushahidi so far wa nani anahusika na kupigwa kwa Mh. Tundu Lissu ...wote tunamuombea apone haraka ila tutaendelea kupinga hukumu za bila Facts against Serikali ....kuhusu matibabu kwa utaratibu wa Serikali ili Mbunge akatibiwe nje ya nchi na kulipiwa na Serikali ni lazima ithibitishwe na Matabibu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwamba WAMESHINDWA na jana ni FAMILIA YA LISSU ndiyo iliyodai kutaka Lissu akatibiwe nje na sio Madaktari wa Muhimbili kama utaratibu unavyotaka na sababu walisema wanahofia usalama wake ...now Serikali ya Rais Magufuli haina cha kufanya isipokuwa kuwaruhusu familia yake wafanye wanachotaka ....Thanks tutaendelea kuwekana sawa kwa FACTS kuhusu kinachoendelea na some of us tutaendelea kusimamia Ukweli tu ...kushambuliwa kwa Lissu hakumfanyi anyone kuwa na haki ya kuhukumu wengine bila FACTS Taifa ni letu wote so relax guys ...kama hamna FACTS nyamazeni iachieni Serikali ifanye kazi yake STOP THE MADNESS! - le Mutuz
Le mutuz kaanza kujikanyaga kanyaga sana, dhambi aliyotenda lazima ataumbuka tu kitendo cha kupanga njama mbaya kwa mtu ambaye ni mtetezi wa wengi lazima Mungu atafunua kila kitu.We were all in US and neighbours but we differ in many ways. Kama ulifundishwa vyako na sisi wengine tulifundishwa kivyetu. We have all saved the country in many countries we know politics of all governments and how they can twist to rule the world. Usitufanye wote wajinga. FBI, Metro polisi wa UK na nchi nyingine huwa wanatoa riporti na kuomba waliokuwa karibu kusaidia na hata huwa wanakwenda nyumba hadi nyumba kuulizia kama watu waliona chochote. Je, matukio yote haya ya tangu ulivyotaja polisi imepiga hodi kwa nani? remember in US there is a saying never volunteer for information unless you have been asked to. Polisi wetu wanatutaka eti watu wajitokeze kusema wakati wenyewe wanalipwa kutafuta ukweli?
Le mutuz akamatwe mara moja kwani mpaka sasa inaelekea yy ndiyo mtuhumiwa namba moja.Yuko mtu aliagiza Lissu ashughulikiwe kwa kutolewa nje ya bunge, na akitolewa huko ndani ya bunge aje amshughulikie nje ya bunge, huyu anaanzaje kukwepa uovu huu?!
Tunajilinda raia wenyewe polisi ukienda ni formalities tu. Maana hata ukiibiwa ni jukumu lako kumtafuta mwizi polisi mnaenda kwaajili ya paper work tu na pia kufika lazima uwe na hela ya stationery hela ya mafuta kama unajua muhalifu yuko wapi na huu unauita ni ulinzi watu inabidi waweke ultimate security siyo kwa kulinda meli lakini usalama. Na nyumba nyingi za kuishi watu wa kawaida eti siku hizi wameweka cctv camera kisa polisi hawa walindiHivi usalama wako nani anaulinda hadi unakuwa huru kuandika humu jamvini? Usitukane mkunga uzazi ungalipo
polisi wakisikia kuna kikao cha chadema hata kama kipo mlimani Kilimanjaro kule juu juu kabsa watafika haraka sana kuwakamata kuwasachi kuwapora simu zao kuwabambikia kesi kuwakomoa na ubaya wote, na hata wakipewa taarifa ya tukio la ujambazi pindi wakiwa njiani kwenda kuwakamata chadema wanalipuuza mpaka wafike kukamata chadema kwanza, kwa kifupi polisiccm wao mda mwingi wanawaza kuwateketaza chadema mda woteNdiyo, si kazi ya polisi kukaa ofisini kusubiri watu waje kuripoti matukio ya uhalifu. Na kwa kukusaidia, kazi ya polisi ni kutafuta wahalifu. Mtu akisikika, kokote kule, analalamika kuwa kuna uhalifu mahali fulani ni kazi ya polisi kufuatilia. Maana yake ni kwamba, unaweza kuzungumza kuwepo kwa uhalifu kwako bila kwenda kuripoti na kama polisi wakisikia hawatakiwi kukusubiri ukaripoti kwao, wanachopaswa kufanya ni kukufuata na kupata maelezo yako in details wakiona yanakidhi vigezo vya kuestablish criminal offence wanaenda kufungua jalada na kuanza uchunguzi. Upo?
Pengi wewe ndio ulikuwa umeshika gun, maana mandiko yako yanaukakasi.....- Well Mamen the Americans taught me to demand the reasonable truth beyond the doubt, ndio maana hatutawapa free pass si unaona walivyo panic na hii doze, tutaendelea kuwapa doze tu hata kama wanajifanya hawaelewi na kumbuka hawa wana njia zao za kukubali ukweli huwa wanatukana sana ujue wanakubali the truth
le Mutuz
Pengi wewe ndio ulikuwa umeshika gun, maana mandiko yako yanaukakasi.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mlitaka aripoti kituo gani?kwani mnapomkamata kwa kutoa lugha za uchochezi huwa amekuwa ameripoti kituo gani?alipowalalamikia wale jamaa na kuwataja live baadhi ya maboss kuwa ndio wanaowatuma kumfutilia na akatoa namba ya gari inayotumika,ni kwanini hamkumkamata na kumuhoji ili aeleze vizuri kama mnavyomkamata na kumuhoji kwenye mambo mengine?.Aliripot kituo gan?
Na alifungua report book file?
Aliita media na kusema anamwabia sirro na RPC wa dar kuwa vijana wanaowatuma kumfutilia amewakaba maeneo ya osterbay (parish) sasa hapo police waanze kufuatilia nin na hakuna malalamiko officially!!??
Sent using Jamii Forums mobile app