Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Le madale Le madile LE MADOLEZ 😛😛😛😛🙂
Hahaaaaah kubwa jinga lililolegea marinda...ili mtu agundue uharamia uliofanywa na bashite bhasi we kubwa jinga ndo huwa unaongoza kikosi cha kutetea uharamia....haaaaaah team no marinda mnaweweseka baada ya kushindwa kuua mamaaaae....mtalaaniwa hadi mnaingia kaburini- hahahahahaha VIVA MAGUFULI! hahahahaha VIVA TANZANIA .....Kanyaga twende! mtaisoma tu namba mpaka mwisho!
le Mutuz
Hahaaaaah kubwa jinga lililolegea marinda...ili mtu agundue uharamia uliofanywa na bashite bhasi we kubwa jinga ndo huwa unaongoza kikosi cha kutetea uharamia....haaaaaah team no marinda mnaweweseka baada ya kushindwa kuua mamaaaae....mtalaaniwa hadi mnaingia kaburini
Bwabwa usie na marinda asiyekujua nani....kubwa jingaaaaa- Kumbe huna marinda mbona hujauliwa hahahahahahahahaha pole sana!
le Mutuz
Mkuu ni kweli kabisa,tunaomfahamu huyu bwabwa vizuri kuna mengi tunayajua kuhusu yeye kuliko hata mangele mutuz hivi yale anayoongea mange ni kweli ama ni fitna tu anakuchafua?
Amezidiwa kweli mpaka ameblock commént katika post zake,Mange anahoja za msingi na pia sijaona mahali popote ndugu lemutuz akikanusha swala hili.le mutuz hivi yale anayoongea mange ni kweli ama ni fitna tu anakuchafua?
mwacheni aajibu mwenyeweMkuu ni kweli kabisa,tunaomfahamu huyu bwabwa vizuri kuna mengi tunayajua kuhusu yeye kuliko hata mange
Amezidiwa kweli mpaka ameblock commént katika post zake,Mange anahoja za msingi na pia sijaona mahali popote ndugu lemutuz akikanusha swala hili.
Mkuu ni kweli kabisa,tunaomfahamu huyu bwabwa vizuri kuna mengi tunayajua kuhusu yeye kuliko hata mange
le mutuz hivi yale anayoongea mange ni kweli ama ni fitna tu anakuchafua?
Madness is when authorities are weak in securityEXTRA STRAIGHT TALK:- Unaporusha rusha maneno ya kichochezi kuhusu kushambuliwa kwa Mh. Tundu Lissu bakisha maneno na tafuta Facts kwanza ....
naomba nikukumbushe kwa FACTS .....Mauaji ya Waisilamu Mwembe Chai Mwezi May, Mwaka 1998 Rais hakuwa Magufuli!....Wakati wafuasi wa CUF Pemba wanapigwa mabomu Mwaka 2001 January na kuuliwa wafuasi wao 20 Rais hakuwa Magufuli ....Mwaka 2002 September 2, Muandishi wa Habari Daudi Mwangosi alipouliwa na Bomu Iringa Rais hakuwa Magufuli! ....January 5, 2011 Wananchi 3 waliuawa kwa Risasi za Polisi Arusha kuthibiti maandamano yasiyokuwa na kibali vipi Rais hakuwa Magufuli! ....June 28, 2012 Dr. Ulimboka alitekwa na watu wasiojulikana akiwa Leaders Club anapata supu asubuhi Rais hakuwa Magufuli! ....Mwezi May, 2013 Muandishi wa Habari maarufu Absalom Kibanda alipotekwa na kupigwa vibaya Rais hakuwa Magufuli....na June/2008 Makamu wa Mwenyekiti Chadema aliyekuwa anataka kugombea Uenyekiti wa chama hicho na kuishia kufariki kwenye ajali ya ajabu Dodoma Rais hakuwa Magufuli ....October, 2013 Mwigamba alipopigwa mpaka kuzimia kwa kudai mahesabu ya Chadema Rais hakuwa Magufuli!
....please msijaribu kupandikiza chuki baina yetu wananchi tutaendelea kuwakumbusha kuwa hakuna ushahidi so far wa nani anahusika na kupigwa kwa Mh. Tundu Lissu ...wote tunamuombea apone haraka ila tutaendelea kupinga hukumu za bila Facts against Serikali ....kuhusu matibabu kwa utaratibu wa Serikali ili Mbunge akatibiwe nje ya nchi na kulipiwa na Serikali ni lazima ithibitishwe na Matabibu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwamba WAMESHINDWA na jana ni FAMILIA YA LISSU ndiyo iliyodai kutaka Lissu akatibiwe nje na sio Madaktari wa Muhimbili kama utaratibu unavyotaka na sababu walisema wanahofia usalama wake ...now Serikali ya Rais Magufuli haina cha kufanya isipokuwa kuwaruhusu familia yake wafanye wanachotaka ....Thanks tutaendelea kuwekana sawa kwa FACTS kuhusu kinachoendelea na some of us tutaendelea kusimamia Ukweli tu ...kushambuliwa kwa Lissu hakumfanyi anyone kuwa na haki ya kuhukumu wengine bila FACTS Taifa ni letu wote so relax guys ...kama hamna FACTS nyamazeni iachieni Serikali ifanye kazi yake STOP THE MADNESS! - le Mutuz
Madness is when authorities are weak in security
VIVA kwa watu wachache ambao neema inawaangukia kwa kuwa karibu na uongozi. Wananchi wa kawaida wanahaha mtaani. Hakuna anayeisoma namba zaidi ya hao ambao waliwaamini na kuwapa nchi, wanajuta sasahivi kwa kuiweka CCM madarakani.- hahahahahaha VIVA MAGUFULI! hahahahaha VIVA TANZANIA .....Kanyaga twende! mtaisoma tu namba mpaka mwisho!
le Mutuz