Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

Jamaa huna akili kabisa wewe vitu unavyovifanya na heshima aliyonayo mzee wako haviendani leo umekua mkia kwa rc, hauna creativity yoyote ingawa una jina kubwa, kazi kuandaa mambo ambayo yatakugharimu katika sekta yako ya habari,
Kama umeamua kuwekeza kwenye sekta hii, nakushauri achana kabisa na mambo ya siasa

Sent using Jamii Forums mobile app

- duh kwa nini huo ushauri usiutumie kwa maisha yako maana my life is working, nenda USA uliza Fox News wapo upaande gani wa siasa mbona wanafanya biashara? pole sana ila keep ushauri wako wa ujinga nonsense!

le Mutuz
 
Dira ishapotea. Image iliyojengwa na uongozi uliopita imeshapotea kwa uzembe na uzuz wa watu wachache ambao wanalazimisha wanaonekane kama viongozi wazuri kumbe pumba tupu.

Ukishaona serikali au watu wa karibu na serikali wanatafuta watu kama huyu alienzisha hii thread kufanya damage control na kuwasafisha kwa blunder waliyofanya jua wamefikia mwisho katika uwezo wao wa kufikiri.

Muelekeo wa serikali umepotea, ubabe haufai na mnawapa picha nzuri watanzania wenye akili kujua ni jinsi gani Mlivyokosa weledi na sifa za kiuongozi

- Serikali is doing just fine swali ni kama you are doing fine, inaelekea huwa unatumwa kuja hapa kufanya damage control sasa unadhani wote ni kama wewe pole sana nimeandika hisia zangu na nenda toka siku JF inaanzishwa huwaa naandika hisia zangu hapa,

le Mutuz
 
EXTRA STRAIGHT TALK:- Unaporusha rusha maneno ya kichochezi kuhusu kushambuliwa kwa Mh. Tundu Lissu bakisha maneno na tafuta Facts kwanza ....

naomba nikukumbushe kwa FACTS .....Mauaji ya Waisilamu Mwembe Chai Mwezi May, Mwaka 1998 Rais hakuwa Magufuli!....Wakati wafuasi wa CUF Pemba wanapigwa mabomu Mwaka 2001 January na kuuliwa wafuasi wao 20 Rais hakuwa Magufuli ....Mwaka 2002 September 2, Muandishi wa Habari Daudi Mwangosi alipouliwa na Bomu Iringa Rais hakuwa Magufuli! ....January 5, 2011 Wananchi 3 waliuawa kwa Risasi za Polisi Arusha kuthibiti maandamano yasiyokuwa na kibali vipi Rais hakuwa Magufuli! ....June 28, 2012 Dr. Ulimboka alitekwa na watu wasiojulikana akiwa Leaders Club anapata supu asubuhi Rais hakuwa Magufuli! ....Mwezi May, 2013 Muandishi wa Habari maarufu Absalom Kibanda alipotekwa na kupigwa vibaya Rais hakuwa Magufuli....na June/2008 Makamu wa Mwenyekiti Chadema aliyekuwa anataka kugombea Uenyekiti wa chama hicho na kuishia kufariki kwenye ajali ya ajabu Dodoma Rais hakuwa Magufuli ....October, 2013 Mwigamba alipopigwa mpaka kuzimia kwa kudai mahesabu ya Chadema Rais hakuwa Magufuli!


....please msijaribu kupandikiza chuki baina yetu wananchi tutaendelea kuwakumbusha kuwa hakuna ushahidi so far wa nani anahusika na kupigwa kwa Mh. Tundu Lissu ...wote tunamuombea apone haraka ila tutaendelea kupinga hukumu za bila Facts against Serikali ....kuhusu matibabu kwa utaratibu wa Serikali ili Mbunge akatibiwe nje ya nchi na kulipiwa na Serikali ni lazima ithibitishwe na Matabibu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwamba WAMESHINDWA na jana ni FAMILIA YA LISSU ndiyo iliyodai kutaka Lissu akatibiwe nje na sio Madaktari wa Muhimbili kama utaratibu unavyotaka na sababu walisema wanahofia usalama wake ...now Serikali ya Rais Magufuli haina cha kufanya isipokuwa kuwaruhusu familia yake wafanye wanachotaka ....Thanks tutaendelea kuwekana sawa kwa FACTS kuhusu kinachoendelea na some of us tutaendelea kusimamia Ukweli tu ...kushambuliwa kwa Lissu hakumfanyi anyone kuwa na haki ya kuhukumu wengine bila FACTS Taifa ni letu wote so relax guys ...kama hamna FACTS nyamazeni iachieni Serikali ifanye kazi yake STOP THE MADNESS! - le Mutuz

Only in Tanzania ambapo mtuhumiwa anapewa jukumu la kujichunguza na kutoa majibu!
 
VIVA kwa watu wachache ambao neema inawaangukia kwa kuwa karibu na uongozi. Wananchi wa kawaida wanahaha mtaani. Hakuna anayeisoma namba zaidi ya hao ambao waliwaamini na kuwapa nchi, wanajuta sasahivi kwa kuiweka CCM madarakani.

- wanaolalamika ni Viongozi wa zamani na famailia zao maana mirija imefungwa, wananchi wa mtaani hawajawahi kuwa maisha bora zaidi ya waliyonayo sasa msiwasingizie hawana tatizo na Rais.

le Mutuz
 
- Sema Chadema ndio wanahangaika sana mbona hujiulizi hilo?

le Mutuz
Leo hii najua hata mapenzi uliyokuwa nayo kwa chama cha baba yamepungua baada ya mwenyekiti kugusa familia yenu sema utafanyaje wakati umeshakunywa maji ya bendera ya kijani!
 
Leo hii najua hata mapenzi uliyokuwa nayo kwa chama cha baba yamepungua baada ya mwenyekiti kugusa familia yenu sema utafanyaje wakati umeshakunywa maji ya bendera ya kijani!

- hapana never! ninajua ukweli wa yote ndio maana sina wasi wasi kabisa maana nilikuwa wa kwanza kujua ukweli na kuifahamisha familia yangu ya kilichotokea so tafuta lingine labda!, naipenda CCM na I support the President 100%

le Mutuz
 
Humu kunanuka mavi tu sijui nimefuata nini

Wapi Mange
 
- hapana never! ninajua ukweli wa yote ndio maana sina wasi wasi kabisa maana nilikuwa wa kwanza kujua ukweli na kuifahamisha familia yangu ya kilichotokea so tafuta lingine labda!, naipenda CCM na I support the President 100%

le Mutuz
Kwa kuwa walao ninyi mmelelewa na chama na kwamba hamna dhambi isipokuwa ile ya asili ya kuzaliwa ndani ya ccm, basi mkipata fursa mwambieni Ngosha yeye ni baba na kwamba nyumba haiendeshwi hivyo! Wanaomshauri ni waganga njaa tu wanamwingiza shimoni!
 
Back
Top Bottom