Hany
JF-Expert Member
- Apr 2, 2014
- 432
- 257
Mmh busara ni muhimu mno, baba yake kajaje hapa ? Umeulizwa kashfa zako wewe au za baba yake Mange ? Acheni kuhusisha wazazi na mambo yenu ya hovyo. ..wazazi ni pepo .- anajichekesha na kujitekenya anataka kuhamisha ukweli kutoka marehemu baba yake ambaye walimfanyia anayoyasema, kwangu anapiga ukuta anajua sana hahahahaha
le Mutuz
Sent using Jamii Forums mobile app