Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
Nyani NgabuMy man...hapa unatwanga maji kwenye kinu tu.
Hutoweza kabisa ku reason na hawa watu.
Wao tayari wanaamini wanachoamini. Wameshalewa chuki na siasa.
Wameshahitimisha na wanamjua aliyetaka kumuua Lisu.
They are stuck on stupid. And that absolutely renders it impossible to reason with them.
Hivi umemsoma anachokiongea?
CDM na wafuasi wake wameituhumus erekali na hasa bashite na kikosi chake, Yeye anakanusha sio kweli na anaweka ukwlei anao ujua yeye kuw ahiyo ni inside job au tukio alijatokea kabisa, maana nimeona anahoji hata matundu ya risasi kuw asio kweli pengine jama wamelipiga gari misumari mana matundu ya SMG hayawi vile.
swali kwako sasa:
Ni haki kwake kutoa huku , lakini wakitoa wana CDM na wengine ni kosa kwa fikra zako?