Tuifahamu historia ya NINJA aka Samurai

Tuifahamu historia ya NINJA aka Samurai

Emok Jr

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2018
Posts
1,094
Reaction score
800
Wakuu natumai mko wazima wa afya!

Leo nimeleta mada hii ili tuweze kujua historia ya hii jamii ya maninja.

Maninja ni moja ya jamii zilizokuwa hatari sana miaka hiyo...

Sasa wakuu aka GREAT THINKERS naombeni mnifahamishe historia ya hawa maninja
1.Hawa ninja asili yao ni wapi?
2.Maujuzi yao ya mapigano walitoa wapi?
3.Maninja wapo mpaka karne hii?
4.kama hawapo walipotelea wapi?
5. Mahasimu wao wakubwa walikuwa ni nani?

Wakuu anayejua karibu uwanja ni wako utugawie madini hapa!

Cc The blod plantair Malcom Lumumba Infantry Soldier Mshana jr Gudume invisible

Jf members wote karibuni mnipe history ya ninjas

Mods naomba huu Uzi ujitegemee.
 
Karibuni nawasubiri wakuu ...
 
Duh kumbe unataka tukufunulie nondo dah sisi tukajua wewe umezipata ndio unatuletea bwna
 
1.ASILI YAO
Hawa maninja walianzishwa tangu karne ya 15 kama wapelelezi au spy agent waliokuwa wanajulikana kama SHINOBI.Hii haikuanzishwa Japan tu bali walikuwepo dunia nzima.
Maninja walikuwa ni wakulima wa mashamba huko Japan

hokusai_sketches_ninja.jpg

2.MAUJUZI
Inasemekana maninja walikuwa wanapewa mafuno kama Guerilla yaani wanajeshi wa msituni

3.JE WAPO MPAKA KARNE HII?
Jibu ni ndiyo.Wapo pande zote duniani na wanatambuana kwa code zao na hakuna hata mtu
handgestures-610x900.jpg

mmoja anayeweza kumtambua ninja popote pale isipokuwa wao wenyewe wanatambuana.
Ninja ujiua mwenyewe endapo atashindwa kutimiza kazi aliyotumwa na viongozi wake.Kupitia kitabu kinachoitwa BANSENKUSHAI kinaeleza mpaka kufikia mwaka 1676 Japan kulikuwa na maninja kati ya 400-600 waliokuwa wametapaka nchi humo.

4.WALIPOTELEA WAPI?
Mwaka 1600 baada ya kurejea kwa amani hasa nchi ya Japan na visiwa vyake habari za maninja zilianza kupotea kabisa nchi humo ila ukweli ni kwamba maninja wapo mpaka leo hii karibu na pande zote za dunia.

5.MAHASIMU WAO
Inasemekana Ninja na Samurai hawakai zizi moja.Lakini ukweli ni kwamba Ninja ni mwanajeshi katika jeshi la Masamurai Samurai ni baadhi ya maninja ambao wamefundishwa kupitia mafunzo yanayojulikana kama NINJUTSU

Kwa maelezo zaidi tafuta kitabu kinaitwa ART OF WAR kimeandikwa na SUN TZU utajifunza vitu vingi kuhusu hawa Ninja na Samurai
 
Shukrani mkuu.
 
Back
Top Bottom