Tuifahamu historia ya NINJA aka Samurai

Tuifahamu historia ya NINJA aka Samurai

Asante kwa uchanganuzi wako mkuu

1.ASILI YAO
Hawa maninja walianzishwa tangu karne ya 15 kama wapelelezi au spy agent waliokuwa wanajulikana kama SHINOBI.Hii haikuanzishwa Japan tu bali walikuwepo dunia nzima.
Maninja walikuwa ni wakulima wa mashamba huko Japan

hokusai_sketches_ninja.jpg

2.MAUJUZI
Inasemekana maninja walikuwa wanapewa mafuno kama Guerilla yaani wanajeshi wa msituni

3.JE WAPO MPAKA KARNE HII?
Jibu ni ndiyo.Wapo pande zote duniani na wanatambuana kwa code zao na hakuna hata mtu
handgestures-610x900.jpg

mmoja anayeweza kumtambua ninja popote pale isipokuwa wao wenyewe wanatambuana.
Ninja ujiua mwenyewe endapo atashindwa kutimiza kazi aliyotumwa na viongozi wake.Kupitia kitabu kinachoitwa BANSENKUSHAI kinaeleza mpaka kufikia mwaka 1676 Japan kulikuwa na maninja kati ya 400-600 waliokuwa wametapaka nchi humo.

4.WALIPOTELEA WAPI?
Mwaka 1600 baada ya kurejea kwa amani hasa nchi ya Japan na visiwa vyake habari za maninja zilianza kupotea kabisa nchi humo ila ukweli ni kwamba maninja wapo mpaka leo hii karibu na pande zote za dunia.

5.MAHASIMU WAO
Inasemekana Ninja na Samurai hawakai zizi moja.Lakini ukweli ni kwamba Ninja ni mwanajeshi katika jeshi la Masamurai Samurai ni baadhi ya maninja ambao wamefundishwa kupitia mafunzo yanayojulikana kama NINJUTSU

Kwa maelezo zaidi tafuta kitabu kinaitwa ART OF WAR kimeandikwa na SUN TZU utajifunza vitu vingi kuhusu hawa Ninja na Samurai
 
Kipindi nasoma tulikuwa na mazoezi nje ya shule kitaa. Kulikuwa na Ninja, Karate, Kungfu, Judo na wengine.
Ninja alikuwa anatufundisha kupanda ukuta na sehemu hatari, anakwambia unaweza panda ghorofa lakini usiamini kwamba halina sehemu za kushika amini mwili wako unaproduce force ya kukukulift parallel na ukuta!. Ninja ni Imani!.
Ukimfikiria Ninja unaweza hisi ni kiumbe asiyepigika kumbe hata karate master anaweza mpiga!.
Nilikimbia mazoezi kila baada ya wiki 3 kuna duara unatakiwa pambana!. piga adui yako kwa nguvu zote sehemu zote za mwili kasoro kichwa na sehemu za siri!. Sasa zile deflect zake unashuhudia mkono umedeflect teke mpaka umelia paah!.
Nikaona ya nini tabu, kwani nataka itwa Master Palantir!?..
(mada yako nitachangia kesho mkuu)
 
W

Shukran mkuu
 
Mkuu nakurekebisha naona ume copy n paste ni kuwa samurai sio ninja bali samurai ni mtu aliyejifunza njia ya upanga (way of the sword) kijapani huita kenjutsu na zamani hizo karne kama ya 15 hivi walikuwa wanatumika kama millitary soldiers .pia kingine ninkuwa samurai ni jina linalotumika kumtambulisha mtu yeyote aliyejifunza njia y upanga na akawa anamilikiwa either way na jeshi au na tajiri fulani .na ronin ni jina linalotumika kumtambulisha mtu yeyote aliyejifunza njia ya upanga na akawa hamilikiwi na mtu yeyote bali yeye ni free.
Tuje kwa ninja. Ninja ni mtu yeyote aliyejifunza kitu wanaita NINJUTSU na ninjutsu si technique ya mapigano bali ninmkusanyiko wa mafunzo meengi ya kimapigano mfano
-kenjustu(njia ya upanga )
-taijutsu(njia ya mapigano ya bila silaha mfano wa mapigano hayo yalikuwa yametokana kwenye yale ya kichina)
-bo jutsu (mapigano ya kutumia staff(sijajua kiswahili chake halisi ila naeza kuita bakora[emoji1] ))

Na kuna technique nyengine nyingii sanaaaa ambazo mpaka uzimalize unatakiwa kuchukua muda mreefu sana na ndiyo maaana walikuwa wanaaanza mafunzo kuanzia wakiwa wadogo kama miaka mi 5 hivi mpaka wafike 20 au 25 wanakuwa full SHINNOBIS (NINJA).
Na japan kipindi heko walikuwa wanapatikana sana kwenye vijiji vya IGA na KOGA jaribu kufuatilia historia ya vijiji hivyo hapo.
 
Mkuu kingine nachotaka wewe ujue ni kuwa ninja Walikuwa wanapatikana japan pekeeeee na sio dunia nzina kama ulivyosema hapo juu kwa kuwa maana ya ninja ni yule mtu liyekamili kwenye mafunzo ya NINJUTSU.sasa ukiangalia mwanzo wa ninjutsu ni JAPAN .na swali la kuwa kama wapo mpaka leo nikuwa yap! Wapo ila wachache mno hukoo japan kwani wengi wao waliuwawa enzi ya utawala wa TOKUGAWA IYEASU chini ya usaidizi wa HANZO HATORI (huyu alikuwa samurai jasiri sana) Abapo chini ya utawala wa iyeasu ndipo japan ya sasa imepatikana
 
Asante kwa lecture nzur!
 
Kipindi nasoma tulikuwa na mazoezi nje ya shule kitaa. Kulikuwa na Ninja, Karate, Kungfu, Judo na wengine.
Ninja alikuwa anatufundisha kupanda ukuta na sehemu hatari, anakwambia unaweza panda ghorofa lakini usiamini kwamba halina sehemu za kushika amini mwili wako unaproduce force ya kukukulift parallel na ukuta!. Ninja ni Imani!.
Ukimfikiria Ninja unaweza hisi ni kiumbe asiyepigika kumbe hata karate master anaweza mpiga!.
Nilikimbia mazoezi kila baada ya wiki 3 kuna duara unatakiwa pambana!. piga adui yako kwa nguvu zote sehemu zote za mwili kasoro kichwa na sehemu za siri!. Sasa zile deflect zake unashuhudia mkono umedeflect teke mpaka umelia paah!.
Nikaona ya nini tabu, kwani nataka itwa Master Palantir!?..
(mada yako nitachangia kesho mkuu)
Mkuu tanzania hakuna ninja mkuu bali huyo ni mwanasarakasi na amejifunza tu karate [emoji1] [emoji1] [emoji1] kingine ni kuwa kupigana kila wiki(sparing) ni nzuri kwa kukujenga wewe kuwa imara na kushika mafunzo uliyofundishwa.
 
Kulikuwa na mwalimu wa karate pia!. But sikujishughulisha sana baada ya kuona ulingo umekuwa mgumu na hakuna kataa ukichaguliwa kuingia kati!.
 
Mkuu tanzania hakuna ninja mkuu bali huyo ni mwanasarakasi na amejifunza tu karate [emoji1] [emoji1] [emoji1] kingine ni kuwa kupigana kila wiki(sparing) ni nzuri kwa kukujenga wewe kuwa imara na kushika mafunzo uliyofundishwa.
Na Je ni kweli kua Ninja akifinya finya vidole unatokea moshi mzito then anakua amebadilika na kuvaa nguo za Kininja? au acting tu ile?
Kama anakua amevaa, hua zinatoka wapi hizo Nguo?
 
Labda ni uchawi
 
Mkuu zile ni actings tu ni kutokana na watu wengi kukosa info nyingi juu ya ninja . Hivyo kupelekea kuwa potrait kama hivyo ila si kweli .
 
Mkuu kingine nachotaka wewe ujue ni kuwa ninja Walikuwa wanapatikana japan pekeeeee na sio dunia nzina kama ulivyosema hapo juu kwa kuwa maana ya ninja ni yule mtu liyekamili kwenye mafunzo ya NINJUTSU.sasa ukiangalia mwanzo wa ninjutsu ni JAPAN .na swali la kuwa kama wapo mpaka leo nikuwa yap! Wapo ila wachache mno hukoo japan kwani wengi wao waliuwawa enzi ya utawala wa TOKUGAWA IYEASU chini ya usaidizi wa HANZO HATORI (huyu alikuwa samurai jasiri sana) Abapo chini ya utawala wa iyeasu ndipo japan ya sasa imepatikana
Sasa kwa nini huyu mtawala aliwauwa hawa ninjas wengi???
 
Jua kuwa TOKUGAWA IEYASU yeye alikuwa kiongozi(DAIMYO) na alitaka sana kuiunganisha japan na kusimamisha vita visivyo na ulazima na kutengeneza taifa moja lenye amani bila mgawanyiko .
-NGOJA KWANZA NIKUPE FEEDBACK KIDOGO -
ni kuwa kipindi cha SENGOKU (sengoku era) kipindi hichi ni kipindi ambacho japan ilikuwa kwenye kipindi cha vita vingi mno kutokana na nchi hiyo kugawanyika katika province (mikoa) mingi mingi ambayo kila province ilikuwa inakaliwa na Kiongozi wake mkubwa ambaye aliitwa kwa kijapan (DAIMYO) na kila daimyo alimiliki jeshi lake kubwa (wanajeshi wenye vyeo vikubwa waliitwa SAMURAI) na alikuwa na influence katika jamii yake husika bali yote haya yalikuwa ndani ya nchi moja. Sasa kwa kuwa walikuwa hawapendani ilibidi kila daimyo atumie njia yake husika ili kuwadondosha daimyo wengine na ili yey awe more powerfull ndipo NINJA walikuwa wakitumika kwenye kufanya mauaji ya daimyo wengine .
-TURUDI KWNYE MADA-
Sasa kwa kuwa tokugawa ieyasu alikuwa na mawazo tofauti na wenzake alitaka kuangamiza umwagaji damu uliokuwa unasababishwa na hao assasins(ninjas) na hivyo alituma jeshi kubwa la samurai kwenda kufanya uvamizi wa kushtukiza katika vijiji viwili (IGA na KOGA) vilivyokuwa vinakaliwa na maninja(namaaanisha ndani ya kijiji hicho kila mtu ni ninja) na kufanikiwa kuwaangamiza kwa kiasi kikubwa mno wachache walifanikiwa kukimbia na mpaka sasa hawajulikani walipo.
so alivyofanikiwa kwa kuwa alikuwa ni myu mwenye utajiri mkubwa kuliko daimyo wengine na alikuwa na wafuasi na samurai wengi ikabidi wengine wakubali kuungana ndipo JAPAN ya LEO IKATENGENEZEKA.
 
Nakubaliana na wewe
 
Duh hiki kitu nilikuwa sikijui ngoja nitapekue na mimi
 
Back
Top Bottom