Tuige hii desturi ya wachaga

Wanasema mchaga n mbahili ila la hasha!! Anabana bajeti ili kila sector pajitosheleze!! Nashukur kwa kuwa mchaga
 
Na tuna mkakati wa kujitenga na hili li nchi la wavivu TZ tuunde norhern state ya wachapakazi,werevu,wasioendekeza majungu!
 
Wachaga ni kabila la maana sana katika nchi hii. Ni watu wenye inda tu wanaoweza kupinga ukweli huu.
 
Mkuu, rudia tena kusoma uzi huu--inaonekana bado hujapata MAUDHUI yake vizuri.

Uzi nimeuelewa kwamba jamii zingine ziige desturi nzuri toka kwa wachagga, kama kabila. Hiyo nasapoti, sana tu. Comment uliyoninukuu ni kwa wale wanaojisifia kabila (e.g. I am proud to be chagga... etc.) ilhali kimsingi hakuna anaechagua azaliwe wapi au kwa wazazi/nchi gani.

Kama ni lazima, basi ona ufahari ama jisifie kwa yale uliyofanya kwa uwezo/uamuzi wako (e.g. I am a proud scientist, businessman, doctor, technologist, philosopher, painter, radio presenter, bongo fleva artiste, TV celebrity, number 1 student in maths, etc, etc.). Kabila ni utambulisho tu kama jina. Maendeleo ni jitihada binafsi. Pamoja?
 
katika mikoa ambayo bado haijapata uhuru na Arusha ni mmojawapo, itakuweje wazawa hawana ardhi ila wazungu wanamiliki maekali makubwa, basi mjikomboe ndio maana mmezagaa zagaa mikoa ya watu mkikaba na kuvuta bangi na madawa.
 
mkuu mbona ujazungumzia kuua waume zako kama alivyofaa ufoo saro
 
Usinitishe mimi nimekaa Arusha mwaka 21 huu nafahamu dili zote za wachaga hawana kitu zaidi ya ujambazi na njia haramu za kupata pesa
hata hiyo ukiiga kama utafanikiwa bila kukatwa mikono na kuchomwa moto bado sio mbaya...
 

mkuu, your arguement is still vague. kwani kuna tatizo gani mtu kuwa proud kwa kabila lake? wewe ni kabila gani? bila shaka wewe ni mhaya. basi nawe sema : 'IAM PROUD TO BE A HAYA'. kwani hata ukisema 'IAM PROUD TO BE A TANGANYIKAN' ni dhambi kwa kuwa hukuchagua kuzaliwa Tanganyika?
 

hata mi sioni tatizo la mtu kuji proud na kabila lake wala hamna mtu anaye zuia wala sheria inayokataza lazma mtu ajivunie identity yake au kwa vile mtu kasema am proud to be a Chaga labda ndo imekuwa nogwa hayo ya scientific cjui nini ni badae
 
wanawake wa kichaga hawawezagi game!! i'm so proud to marry a woman from Tanga,yaan ni full rubudani kitandani!!!
 
Mkuu mimi nimekopi na kupesti na sasa nakula pensheni!!
 
Hongera mtoa hoja pia mjinga ww uliyesema wachaga wezi ndio mnaokesha vijiweni mkibishana nani tajiri wakati zipo fursa za kufikia huo utajiri wa mwenzako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…