Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maskini kweli wachagga uwajui,tunaishi nao hapa sakina,nadhani wanaongoza kwa ulevi,wanakunya pombe mpaka wanatia kichefuchefu,mtoto anafundishwa kunya pombe akiwa na miaka 3 tu.pia wana tamaa,akikucheki unazo atakutafutia mbinu za kukunyanganya chochote ulichonacho.wapeleleze vizuri utawajua vyema.
acha uongo we hayaland penye mazuri tukubali walikunyang'anya nini na kwanini watu hawashtaki hamna binadamu asiye na tamaa sema zinatofautiana sasa mwingne anywe pombe uckie kichefuchefu huo si upuzi harusi sio yako wavaa shela si majanga haya ulivo muongo hamna mtu anayefundisha mtoto kunywa pombe umeandka kichuki na ki feelings kuliko uhalisia wa mambo wale nao ni binadamu acha wivu we mhaya haujeng iga mazuri mabaya uache
aaaaaah kumbe na wewe binti sayuni ni toto la kichagaz.
Mwaka jana nilibahatika kwenda Arusha kikazi ambako nililazimika kukaa kwa muda wa majuma mawili. Kuna mambo ya maana nimejifunza kutoka kwa kabila la wachaga, ambayo kama watanzania tukiyatilia maanani, yanaweza kutuletea maendeleo kwa haraka.
Katika pitapita zangu sikuwahi kuwaona wachaga wakiwa wamekaa kwenye vijiwe au vikundi vya kupiga sogakila mtu yupo serious na kazi au shughuli inayomuingizia kipato. Kuna baa moja maarufu ambayo nilipenda kwenda kula chakula ambako pia nilijifunza jambo kuhusu kabila hili. Sikuweza kuwakuta wachaga wakilewa ovyo kama watu wa makabila mengine. Mchaga akitoka kazini hupitia baa na kunywa bia zake 2 au 3 na kisha huondoka kwenda nyumbani kujipumzisha ili kesho awahi kazini kwake kuchapa kazi bila kuathiriwa na mninginio (hangover) wa ulevi. Wachaga huwa hawakeshi kwenye mabaa wakilewa chakali. Hawana utamaduni huo hata kidogo.
Aidha, wachaga ni watu ambao wanaheshimu sana kazi. Kazi wanayoiweza na ambayo imewapa sifa sana ni biashara. Sote ni mashahidi jinsi ambavyo watu wa kabila hili wametapakaa nchi nzima wakifanya shuguli za biashara kuanzaia ya duka (Dukani kwa Mangi) hadi biashara kubwa kabisa. Hakuna mtaa katika nchi hii ambako utakosa duka la Mangi. Nadhani mazingira ya mikoa wanayotoka (Arusha & Kilimanjaro) inachangia sana kuwafanya wawe wajasiriamali na watafuta mali/utajiri. Katika mikoa hii, hakuna ardhi ya kutosha kuendesha shughuli za kilimo. Hivyo, inawalazimu kuwa wajasiriamali moja kwa moja tangu wakiwa na umri mdogo.
Wazazi wa kichaga huwarithisha watoto wao ELIMU badala ya ARDHI (ambayo hawana). Mzazi akishamsomesha mwanae hadi akahitimu chuo au kozi fulani, ndio nitolee. Usitegemee kwamba atakupa urithi mwingine zaidi ya huo hata kama ana utajiri wa kutishasahau kabisa! Hili nalo linasaidia kuwafanya watoto wa kichaga wasome kwa bidii na kufaulu vizuri. Ushahidi wa hili ni kwenye matokeo ya mitihani ya kitaifa. Mara nyingi mikoa ya Arusha na Kilimanjaro hufanya vizur wewe huwajui
Maskini kweli wachagga uwajui,tunaishi nao hapa sakina,nadhani wanaongoza kwa ulevi,wanakunya pombe mpaka wanatia kichefuchefu,mtoto anafundishwa kunya pombe akiwa na miaka 3 tu.pia wana tamaa,akikucheki unazo atakutafutia mbinu za kukunyanganya chochote ulichonacho.wapeleleze vizuri utawajua vyema.
Mshaanza kuwa kama wahaya na nyie misifa tu mbuzi nyie.
Kwa kuwafanya wenzao ndondocha na ramani za wizi au?Nakuuliza miley arifu!Maana tuongee ukweli asilimia 70% wa njia ya utafutaji mali wanayo itumia ni .......sio ya halali arifu asee.
Njia za ujambazi
Ni wateja wa kubwa wa ushirikina
Dah!Ngoja nka chanje zangu gomba niingie job arifu hapa ni blezman from ungalelooooo
Rombo mbali sana SPANISH CP hapohapo town nenda maeneo ya mtaa wa rau madukani, old moshi na maeneo ya kcmc asee yani wanafanya matairo watoto wao /ndugu zao asee laivu kuna duka fullani ukienda hapohao mtaa wa old moshi dah! duka limejaa halafu pembeni kuna dogo ni tahira jinsi anavyoongea anatia huruma yani. Haya sasa pita maeneo ya primary ukitokea huu upande wa chuo cha ushirika kuna nyumba moja kali kinoma na huwa hapo ndani naona kuna kitu cha verosa na escudo. Asee kuna kuna dogo yani akiiongea ni mate i mean maudenda yanamtoka yani ameshafanywa mali aka ndondocha du yani nilishangaa ikabidi nimuulize mshkaji fulani koz mi nlikuwa bado ni mgeni nlikuwa ndo pale chuoni mwaka wa kwanza akaniambia yaani watu wengi humu unaowaona na mageti magari makali na manyumba humo ndani mna matahira therefore nakubali hawa jamaa ndio wateja wakubwa wwa waganga/uchawi so cheza nao mbali coz mbele ya pesa hawana huruma arifu.
Kwa kuwafanya wenzao ndondocha na ramani za wizi au?Nakuuliza miley arifu!Maana tuongee ukweli asilimia 70% wa njia ya utafutaji mali wanayo itumia ni .......sio ya halali arifu asee.
Njia za ujambazi
Ni wateja wa kubwa wa ushirikina
Dah!Ngoja nka chanje zangu gomba niingie job arifu hapa ni blezman from ungalelooooo