Tuige hii desturi ya wachaga

Tuige hii desturi ya wachaga

wala sishangai kumbe haya maneno ya mlevi,.


Ora acha mambo ya mperampera arifu! Ulevi umenipa wewe na hyo embasy unayo vuta nayo pia ni ulevi si ndio?Nakuuliza wewe ndanda mpauko.Unajua faida ya gomba wewe acha za kizombi arifu.:majani7::majani7::majani7:
 
Wachaga 2po juu hakuna xhmu nch hii utamkoxa mchaga

Mtu yeyote atakayekataa ukweli huu, basi huyo ana WIVU WA KIKE. Hili suala la uchapakazi wa wachaga nimelifanyia utafiti kwa muda mrefu na kugundua kwamba wachaga ni kabila la wapenda maendeleo na hawapendi ugoigoi hata kidogo.
 
Binafsi nimekaa nao pia nimesoma nao katika shule na hata chuoni tunao, wanapenda sana masomo ya sayansi na biashara, arts ukiwaambia wengi wao watakushangaa

Ukweli huu utabaki hata km tutabishana humu, ndio wafanyabiashara wakubwa hapa nchini wanaoshindana na makampuni na maduka makubwa yavwahindi

Ni wanywaji wazuri wa bia na nyama choma, ila mtoto lazima asome shule za maana km private na seminari

Niwashindaji wa hoja katika kusaka haki na kweli, wanavhasira sana pale wanapohisi wanaonewa.

Wakiazimia kufanya jambo hawakati tamaa mpaka walitimize

Urithi kwa watoto waobsio pesa hata km wazazi wanazo badsla yake wanawasomesha kwa gharama yoyote.

Mchaga atauza maji hapa mjini, Christmas akirudi kwao lazima ajenge nyumba nakuvaa vizuri.

Wanapenda sana kushirikiana ktk maendeleo, pia ndugu kwa ndugu wanashikana mikono sana.
 
Mimi sio MCHAGA lakini hawa jamaa nawakubali kwa uchapakazi wao. Sijawahi kukutana na mchaga zoba, mlevi, mvuta bangi au mzururaji....wachaga wote wapo makini katika kujiletea maendeleo...hawana muda wa majungu, uzakubimbi au u-loafer. Ukiona mtu anasifiwa, mpongeze kwa juhudi zake badala ya kumbeza na kumfanyia wivu wa kike! Likewise, ukiona mtu anawabeza au kuwachukia wachaga, muogope kama ukoma!
 
Last edited:
Andiko reeefu kumbe pumba tupu,
wewe wachaga huwajui unawasikia tu.
Wachaga ni wezi
wachaga majambazi
wachaga washirikina,hayo mabiashara yao ni uchawi mtupu.

NENDA kule kwao Romba kila nyumba kuna mtoto taahira ndani.

Wachagga nawajua vizuri, baadhi nimekuwa nao katika mahusiano ya kimapenzi kwa muda mrefu wengine nimeishi nao kama ndugu.

Maneno niliyoyapigia mstari kwenye post yako ni kweli tupu!
 
iyinga acha kutudanganya juzi tumezika mtoto wa shayo alikufa kwa uizi wa simu pamoja na kukwapua pochi wananchi wenye hasira kali walimuwahi na kuummaliza, kuhusu uizi wachaga huwa hawachagui wanaiba mpaka mayai

Tehe tehe tehe mpaka mayai aa!
 
I am a proud chagga..wouldn't trade it for anything...ote Mae ..nikundi moshi lanye
 
Wewe acha upimbi huo!
Wachaga hawana akili zozote za maisha ni ushirikina tu nakwambia nenda Rombo kahesabu idadi ya matahira kule. Utashangaa
Kama wanaushirikina na wanamaendeleo ni afadhali kuliko kwenu mnaogopa hata kujenga nyumba ya bati kisa mtalogana!
Fanya kazi, timiza malengo utafanikiwa kama wao.
 
Andiko reeefu kumbe pumba tupu,
wewe wachaga huwajui unawasikia tu.
Wachaga ni wezi
wachaga majambazi
wachaga washirikina,hayo mabiashara yao ni uchawi mtupu.
NENDA kule kwao Romba kila nyumba kuna mtoto taahira ndani.
na wewe kua mshirikina tuuone umwamba wako
 
Acha kuponda bila mpango, huwajui wachaga kaa kimya. Kwa kifupi wachaga ni watafutaji na hawana mchezo katika kusaka noti. Hii imesababisha miingiliano mkubwa, wapo wanaoolewa na wachaga ili waendelee na wachaga wanaowa makabola mengine makubwa ili speed yamaendeleo ikue. Nitakupa mifano michache. Rais ben ameoa mchaga, rais wa zanziber ameowa mchaga, mtt wa rais mwiny ameolewa na mchaga, wakurugenzi wa tanesco wawili MD wametoka kilimanjaro, mkuu wa udsm mkandala ameoa marangu. Hiyo ni michache sana. Unataka kuniambia mbowe, mengi, ndesapesa, mramba, mtei na wengine matajir wana mandondocha? Heko chagga tuko juu! Chamechenyi mbee!
chamecha mbe!
 
Pale Moshi mjini kulikua na duka mwenye duka aliwapa masharti wauzaji wake kwamba isizidi saa tatu usiku duka liwe limefungwa,na ni marufuku kufungua hata kukiwa na mteja wa bilion wasifungue.
Sasa siku moja vijana walifunga duka wakasahau ufunguo wa nyumbani dukani ikawabidi warudi kufungua na ilishafika kama saa tatu na Nusu usiku.
Walipofungua tu walichokishuhudia dukani ni balaa.
Walimkuta mama wa yule tajiri wao ambae alikufa kama miaka 7 nyuma yupo zezeta dukani.
Kilichotokea baada ya hapo jamaa alifilisika mpaka chupi.
WACHAGA? Nyie waoneni hivyo hivyo tu.
story za kufikirika pole kwa kuzaliwa mdigo
 
Wangekuwa wamesoma wasingejazana kwenye mitaa ya jiji la dsm, wakitung'arishia mokasini zetu,hawana lolote msiwape promo bure,sijaona mhaya ambaye anasifika kwa kusoma akifanya kazi hiyo.
 
Michaga karibu yote
1.MIJIZI
2.MIJAMBAZI
3.MITAPELI
4.MICHAWI
5.MIBABAISHAJI
6.MIPENDA SIFA
7.MIBAGUZI
8.MILEVI
9.MIPENDA MADARAKA.
10.MIPENDA RUSHWA
pole sana mdau kuzaliwa uchagani raha sana aisee ukitaka kujua uzuri wa wachaga subiri december nenda kule migombani uone......yani kama wazungu wanapoenda vacation......ushauri wangu kua mpole waangalie wachaga wanayofanya alafu iga mifano toka kwao
 
Mwaka jana nilibahatika kwenda Arusha kikazi ambako nililazimika kukaa kwa muda wa majuma mawili. Kuna mambo ya maana nimejifunza kutoka kwa kabila la wachaga, ambayo kama watanzania tukiyatilia maanani, yanaweza kutuletea maendeleo kwa haraka.

Katika pitapita zangu sikuwahi kuwaona wachaga wakiwa wamekaa kwenye vijiwe au vikundi vya kupiga soga—kila mtu yupo serious na kazi au shughuli inayomuingizia kipato. Kuna baa moja maarufu ambayo nilipenda kwenda kula chakula ambako pia nilijifunza jambo kuhusu kabila hili. Sikuweza kuwakuta wachaga wakilewa ovyo kama watu wa makabila mengine. Mchaga akitoka kazini hupitia baa na kunywa bia zake 2 au 3 na kisha huondoka kwenda nyumbani kujipumzisha ili kesho awahi kazini kwake kuchapa kazi bila kuathiriwa na mning’inio (hangover) wa ulevi. Wachaga huwa hawakeshi kwenye mabaa wakilewa chakali. Hawana utamaduni huo hata kidogo.

Aidha, wachaga ni watu ambao wanaheshimu sana kazi. Kazi wanayoiweza na ambayo imewapa sifa sana ni biashara. Sote ni mashahidi jinsi ambavyo watu wa kabila hili wametapakaa nchi nzima wakifanya shuguli za biashara kuanzaia ya duka (Dukani kwa Mangi) hadi biashara kubwa kabisa. Hakuna mtaa katika nchi hii ambako utakosa duka la Mangi. Nadhani mazingira ya mikoa wanayotoka (Arusha & Kilimanjaro) inachangia sana kuwafanya wawe wajasiriamali na watafuta mali/utajiri. Katika mikoa hii, hakuna ardhi ya kutosha kuendesha shughuli za kilimo. Hivyo, inawalazimu kuwa wajasiriamali moja kwa moja tangu wakiwa na umri mdogo.

Wazazi wa kichaga huwarithisha watoto wao ELIMU badala ya ARDHI (ambayo hawana). Mzazi akishamsomesha mwanae hadi akahitimu chuo au kozi fulani, ndio nitolee. Usitegemee kwamba atakupa urithi mwingine zaidi ya huo hata kama ana utajiri wa kutisha—sahau kabisa! Hili nalo linasaidia kuwafanya watoto wa kichaga wasome kwa bidii na kufaulu vizuri. Ushahidi wa hili ni kwenye matokeo ya mitihani ya kitaifa. Mara nyingi mikoa ya Arusha na Kilimanjaro hufanya vizuri kila mwaka. Ndio maana wachaga wengi hushiikilia nafasi za juu serikalini na katika sekta muhimu hapa nchini. Sio kwamba wanapendelewa au kupendeleana kikabila bali inatokana na juhudi zao za kusaka elimu na maendeleao kwa bidii zao zote.

Ikiwa kila mtanzania akiiga utamaduni huu wa wachaga ni wazi kwamba nchi hii itapata maendeleo haraka kuliko tunavyotarajia. Kwa bahati mbaya makabila mengine wanaweza sana kujikweza na kujisifu (Wahaya), kukatana mapanga na kupigana vita (Wakurya), kucheza ngoma na bao (Wakwere, Wadengereko na Wakwere na baadhi ya makbila ya pwani), kujinyonga (watani zangu Wahehe), kula chamaki nchanga na (watani zangu Wamakonde na Wahehe), n.k.

Utamaduni huu wa maendeleo kutoka kwa watani zangu wachaga nimeupenda sana na ningeomba kila mtanganyika mpenda maendeleo auige.

Nawasilisha.
:yield:
wako bize kwa ulevi nao sio kwao arusha kwao moshi
 
Kinachonifurahisha kwa wachanga kama una pesa na nafuu ya maisha unaweza kuwamaliza wake wa jamaa zako wote kwa kuwapiga ndonga na bado ukawa unasifiwa.
 
Back
Top Bottom