Tuige mfano huu wa Kenya

Tuige mfano huu wa Kenya

Unajua me nimeona mfano hai Jana Yule mama mkenya aliyejitoa muhanga mbele ya MAGU kuwa anadhulumiwa haki yake.
Ni mwanamke gani Mtz anaweza kujitoa muhanga vile ijapokua kuwa kuna kinamama wengi wamedhulumiwa haki zao na hawajui pi pa kuenda kudaihakizao.
Hi I ndio shida ya watanzania wengi huwa wakidhulumiwa wanaishia kusema NAMUACHIA MOLA

Nani kakwambia yule mama mkenya wewe
 
Back
Top Bottom