oneflash
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 814
- 600
Wewe ndio mtoa maelezo tujuze zaidi.🤣Jamaa kajiua; au vipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndio mtoa maelezo tujuze zaidi.🤣Jamaa kajiua; au vipi?
Wewe ndio mtoa maelezo tujuze zaidi.🤣Jamaa kajiua; au vipi?
Subiri nitakujuza zaidi. Kaa hapo hapo.Wewe ndio mtoa maelezo tujuze zaidi.🤣
Mimi nachapa kazi sijakaa. Ni hela napiga, endelea kuniburudisha mradi siku iingie!🤸🤸Subiri nitakujuza zaidi. Kaa hapo hapo.
Endelea kuburudika tu.Mimi nachapa kazi sijakaa. Ni hela napiga, endelea kuniburudisha mradi siku iingie!🤸🤸
Kabisaa!Endelea kuburudika tu.
Hata mimi mwenyewe naona Serikali yetu ni dhaifu na nyonge inaruhusu ujinga mwingi sana, watu kama Zito Kabwe, Tundu Lisu & Co. wangekuwa Kenya sasa hivi wangeshafilisiwa na kufungiliwa mbali zamani sana, Wakenya ni Mafia huyo Ruto ni Makamu wa Raisi kama mama Samia, lkn yuko upande wa pili sasa wanakula naye sahani moja dadadeki, hapa tunacheka na Nyani, watu wanatusaliti kama nchi mpaka ndege yetu inashikwa na tunawajua lkn bado tunawachekea tena na kuwalipa mishahara, kwa nini tusiwalipue?
Katiba bora ni ile inayotoa ulinzi na haki kwa raia yake, sio nchi yenye kuongoza kwa police killings na brutallity Africa bado inadhani ipo na katiba nzuri, katiba gani hiyo vingozi na serikali wanauwa na kupoteza watu kila siku lakini hakuna anayekamatwa badala yake ni maneno matupu, unakumbuka habari ya Jacob Juma?Bado hujaelezea uhusiano wa katiba na kunyamazishwa kimafia. Nasubiri!..
Ukiinua panga kumkata mwenzako ama uchomoe bunduki na ufyatulie mwenzako risasi katiba itazuia nini hapo?.Katiba bora ni ile inayotoa ulinzi na haki kwa raia yake, sio nchi yenye kuongoza kwa police killings na brutallity Africa bado inadhani ipo na katiba nzuri, katiba gani hiyo vingozi na serikali wanauwa na kupoteza watu kila siku lakini hakuna anayekamatwa badala yake ni maneno matupu, unakumbuka habari ya Jacob Juma?
Bongo hakuna mpinzani mwenye ushawishi kama alionao odinga huko kwenu. Wenye ushawishi huo kama Lowasa, magufuli, slaa etc wote wapo ccm.Hapa najaribu kuwaza
- Raila angekua hiyo Bongo na aapishwe kuwa rais, yaani huyo Mbowe aapishwe, ikiwa hata kikao cha wanasiasa wa upinzani ni hatari, yaani kukusanyika watano tu kibano.
Ukiinua panga kumkata mwenzako ama uchomoe bunduki na ufyatulie mwenzako risasi katiba itazuia nini hapo?.
[/QUOT
Nchi yoyote yenye katiba bora ni ile ambayo ina mifumo ya kuhakikisha hayo hayatokei, na yakitokea basi kuna mifumo mizuri ya kiusalama na kisheria ya kuwakamata wahusika na kuwashughulikia haraka sana na kuhakikisha kwamba hayo matukio hayatokei tena. Lini kwa mara ya mwisho umesikia tukio la ujambazi wa kutumia silaha Tanzania?, Lini kwa mara ya mwisho umesikia tukio la watu kupigwa risasi na watu wasiojulikana Tanzania?, vipi kuhusu ajali za barabarani tulizokua tunazisikia zikiua maelfu ya watanzania kila mwaka?. Hayo mambo tunakaribia kuyasahau kutokana na mifumo mizuri iliyopo kutokana na kuwepo kwa katiba bora inayojali wananchi sio inayolinda na kujali wanasiasa pekee kama ilivyo Kenya
Sio kupenda kwake. [emoji38]Hujutambui Wewe. Unamaanisha katiba yenyu inazuia hadi ajali?Vipi nchi zilizoendelea kama marekani na kila kuchapo ni mitutu ya bunduki. Inamaanisha Tanzania iko na katiba poa kuwazidi?
Wewe hujitambui, Miguna Miguna ni wa nchi gani, unamkumbuka Anyang Ny'ong? Wakenya pamoja na ukanjanya wao linapokuja suala la haki zao wapo vizuri sana.Hata mimi mwenyewe naona Serikali yetu ni dhaifu na nyonge inaruhusu ujinga mwingi sana, watu kama Zito Kabwe, Tundu Lisu & Co. wangekuwa Kenya sasa hivi wangeshafilisiwa na kufungiliwa mbali zamani sana, Wakenya ni Mafia huyo Ruto ni Makamu wa Raisi kama mama Samia, lkn yuko upande wa pili sasa wanakula naye sahani moja dadadeki, hapa tunacheka na Nyani, watu wanatusaliti kama nchi mpaka ndege yetu inashikwa na tunawajua lkn bado tunawachekea tena na kuwalipa mishahara, kwa nini tusiwalipue?