Tuige mfano toka Kenya


Hapa najaribu kuwaza
- Raila angekua hiyo Bongo na aapishwe kuwa rais, yaani huyo Mbowe aapishwe, ikiwa hata kikao cha wanasiasa wa upinzani ni hatari, yaani kukusanyika watano tu kibano.
 
Bado hujaelezea uhusiano wa katiba na kunyamazishwa kimafia. Nasubiri!..
Katiba bora ni ile inayotoa ulinzi na haki kwa raia yake, sio nchi yenye kuongoza kwa police killings na brutallity Africa bado inadhani ipo na katiba nzuri, katiba gani hiyo vingozi na serikali wanauwa na kupoteza watu kila siku lakini hakuna anayekamatwa badala yake ni maneno matupu, unakumbuka habari ya Jacob Juma?
 
Ukiinua panga kumkata mwenzako ama uchomoe bunduki na ufyatulie mwenzako risasi katiba itazuia nini hapo?.
 
Hapa najaribu kuwaza
- Raila angekua hiyo Bongo na aapishwe kuwa rais, yaani huyo Mbowe aapishwe, ikiwa hata kikao cha wanasiasa wa upinzani ni hatari, yaani kukusanyika watano tu kibano.
Bongo hakuna mpinzani mwenye ushawishi kama alionao odinga huko kwenu. Wenye ushawishi huo kama Lowasa, magufuli, slaa etc wote wapo ccm.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
 

Hujutambui Wewe. Unamaanisha katiba yenyu inazuia hadi ajali?🤣. Vipi nchi zilizoendelea kama marekani na kila kuchapo ni mitutu ya bunduki. Inamaanisha Tanzania iko na katiba poa kuwazidi?
 
Hujutambui Wewe. Unamaanisha katiba yenyu inazuia hadi ajali?Vipi nchi zilizoendelea kama marekani na kila kuchapo ni mitutu ya bunduki. Inamaanisha Tanzania iko na katiba poa kuwazidi?
Sio kupenda kwake. [emoji38]
 
Wewe hujitambui, Miguna Miguna ni wa nchi gani, unamkumbuka Anyang Ny'ong? Wakenya pamoja na ukanjanya wao linapokuja suala la haki zao wapo vizuri sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…