Tuijadili kauli ya Senzo

alichoongea ni ukweli by the way tujadili kipi sasa kauli yake? kocha wa Yanga? Watanzania kukaa kimya? au TFF kutosema kitu?
 
Kwa hiyo Eymael alivyowaita manyani , uneducated, mnabweka kama mbwa alimaanisha mashabiki wa yanga sio watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…