Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Manara ni watanzania kwanini hakumtaja Manara kama alikuwa amemlenga yeyeMatusi yanakusaidia nini Senzo hakuwaita Yanga mavuvuzela ila manara ndiye aliyeitwa vuvuzela.
Kwa hiyo Eymael alivyowaita manyani , uneducated, mnabweka kama mbwa alimaanisha mashabiki wa yanga sio watanzaniaAden Rage alipowaita mbumbumbu kweli hakukosea mijitu gani isioelewa mada inayozungumzwa mwandishi alimwulize Senzo nini cimment yake kuhusu Manara kuishambulia Yanga mara kwa mara Senzo akajibu kwa kumfananisha Manara na vuvuzela nyie wamatopeni mnageuza eti akuwaambia wanayanga kuwa ni mavuvuzela acha kupotosha