Tuijadili sheria za CAF, Wydad akishinda mechi zote, Simba akidraw moja

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Wakuu hii ni document kwenye website ya CAF imefafanua, hebu tuijadili hii sheria.

Wydad amebakiza mechi 2 akishinda zote anakuwa na points 9
Simba amebakiza mechi mbili, akishinda 1 na draw moja atakuwa na points 9 pia.

Sasa tuangalie sheria inasemaje hii document nimetoa kwenye website ya CAF kuhusu group stage.

Nilivyoelewa mimi points zikilingana wataangalia idadi ya magoli waliyofunga,yakilingana wataangalia timu ambayo haijaruhusu magoli mengi, wakilingana pia ndo wataangalia goli mwenye magoli mengi hizo timu zilipokutana au timu yenye goli bora kwenye hizo mechi.

Naomba tusaidiane kutafsiri hii sheria hapa chini.





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulienii...
Yani mna shida nyiee..🤣🤣😞
 
Kama ikitokea Simba akatoa draw na Asec na akamfunga Jwaneng hata 1-0 tu, Wydad itabidi amfunge Jwaneng goli 5-0 ili alingane magoli na Simba....Wydad hii inaweza?
Hata ikitokea hivyo, head to head na simba bado inamweka pembeni!
 
Kila la heri "wananchi" kesho!! Mlitutakia mabaya sisi tunawatakia mema!!

CC Nalia Ngwena, Laban og, Chizi maarifa, et al!!
 
Unajadili kitu kinchojulikana points zikilingana H2H ndio inaamua kwanza mashindano yote ya CAF na uzingatie goli la ugenini kwenye H2H,kama H2H mko sawa Goal difference,mkilingana Goal scored ,mkilingana Goal conceded,mkilingana idadi ya kadi inaamua (nidhamu).
 
Simba atamaliza akiwa na pwenti 8.. Wydad pwenti 9 Kwaiyo hata usisumbuke kuangalia kanuni maana hamtafungana points
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…