Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Hata akiifunga Jwaneng 10-0 kanuni zinaibeba Simba kama wakilingana point. Maombi ya Wydad ni kwamba ASEC aifunge Simba, asiipe sare au ushindiKama ikitokea Simba akatoa draw na Asec na akamfunga Jwaneng hata 1-0 tu, Wydad itabidi amfunge Jwaneng goli 5-0 ili alingane magoli na Simba....Wydad hii inaweza?