Hata akiifunga Jwaneng 10-0 kanuni zinaibeba Simba kama wakilingana point. Maombi ya Wydad ni kwamba ASEC aifunge Simba, asiipe sare au ushindiKama ikitokea Simba akatoa draw na Asec na akamfunga Jwaneng hata 1-0 tu, Wydad itabidi amfunge Jwaneng goli 5-0 ili alingane magoli na Simba....Wydad hii inaweza?
Unatamani iwe hivyoSimba atamaliza akiwa na pwenti 8.. Wydad pwenti 9 Kwaiyo hata usisumbuke kuangalia kanuni maana hamtafungana points
Huyo mwana Lunyasi mwenzetu damu damu...Mashabiki wa yanga mbona mnateseka halafu wenye timu tupo tumetulia tu.
Wydad hata ashinde goli kumi kumi kwa kila mechi zilizobaki haitamsaidia kitu kama Simba atafikisha Points 9 kwenye kundiKwahiyo Wydad hata aipige timu nyingine magoli mengi na tukalingana points hakuna madhara
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio swala la kutamani huo ndo uhalisiaUnatamani iwe hivyo
Robo si stori tena kwa 5imba maana mara nne mmesimama hapo..!! Na kuna mshindano mlianzia robo na mkaishia hapo hapo robo
Simba kashaizoea robo, akiishia robo anajiona amefeli, huku kuna timu inasali usiku na mchana ndoto zake ni kufika robo....... Kweli hatufananiRobo si stori tena kwa 5imba maana mara nne mmesimama hapo..!! Na kuna mshindano mlianzia robo na mkaishia hapo hapo robo
Yeah,Kwahiyo Wydad hata aipige timu nyingine magoli mengi na tukalingana points hakuna madhara
Sent using Jamii Forums mobile app