Tuijadili Simba Sc kiundani, maoni, mapendekezo, na changamoto zilizopo kuelekea msimu mpya

Mac Alpho

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2019
Posts
13,953
Reaction score
27,825
Uzi huu ni maalum kwaajili ya kuichambua team yetu ya Simba Sc kwa kuzungumzia mendeleo yaliyopo, changamoto zilizopo na nini kifanyike ili ipige hatua. Kelele na maneno yasiyo na mantiki havina nafasi, badala yake yanatakiwa mawazo chanya ya wana Simba Sc pamoja na wale wapenda mpira.

Tujadili yote yanayotakiwa kuzingatiwa na kufanyika ili kuhakikisha team yetu Simba Sc inafanya vizuri kwenye mashindano ya ligi ya ndani pamoja na yale ya kimataifa.

Maoni na mapendekezo juu ya uongozi, benchi la ufundi, swala la usajili wa wachezaji ambao wanaweza kutusaidia na mfumo mzuri wa kuwapata, miundo mbinu ya team, mfumo wa kuibua na kulea vipaji vya wachezaji wazawa, na mengine mengi ambayo yanaweza kusaidia.

Maoni na mapendekezo yangu yataambatana na comments za wadau mbalimbali hapo chini.
 
Attachments

  • rage.jpg
    rage.jpg
    18.9 KB · Views: 2
Kwa upande wangu nadhani Iendele na Umoja.

1. SIMBA KUKIWA NA UMOJA NA FEDHA KUFIKA FAINALI NI DAKIKA TU.
kukitokea marumbano ndio tunafungwa hata Mechi na Raja kutokana na makundi ya uchaguzi.

2.Nadhani Benchi la Ufundi liendelee kuaminiwa na lipewe Muda wa MIAKA mi tatu Hadi mi nne kufika Fainali ya CAF CL.

3. KUNA HAJA YA KUFANYA MABORESHO KWA WACHEZAJI
I. Agustin Okrah.
II. Ismail Sawadogo.
III. Mohamed Qottara.
IV Pape Sackho.
V. Peter Banda.
VI. (Onyango)
VII. (Kanute)🤣.

Mahitaji ya Simba msimu ujao
Ni nafasi
Golikipa No 2
Beki wa kushoto mzawa no3
Beki wa kati Mmoja, 5
Viungo wa ukabaji 2 No 6,8.
Mshambuliaji mmoja 9.
Wings 1.11.

WACHEZAJI wa ndani wafuatao waachwe au wapewe uongozi.
John Boko, Erasto nyoni., Jonas mkude, Gadiel mbaga, mwinuke, kapama watupishe.

5. MOHAMED DEWJI APUNGUZE UBAHILI.
AACHE KUSUSA SUSA.

KILA LAKHERI SIMBA KWENYE SUPER CUP.

NGUVU MOYA.
 
50thebe .

IFIKE MAHALA UKUE. UANAUME USIWE WA BURE.

VIONGOZI WALIKUWA WANAKUJA KUJIFUNZA HAPA JAMII FORUM.
alichokiandika mwamba na ulichokifanya wewe ni UPUMAAMBAVU ULIOKUBUHU.
JAMII FORUM IMEVAMJWA NA WAJINGA SASA.

Be positive
 
Mimi ni mwananchi lakini hapa nitatoa maneno ya kiungwana Kwa watani zangu Simba.
Kwanza kabisa nipende kuipongeza Simba Kwa hatua kubwa ambayo imefikia ndani ya miaka mitano iliyopita.
Jambo kubwa ambalo linaimeng'enya Simba ni VIONGOZI wanaleta siasa katika mpira na katika mpira hakutakiwi siasa kuchanganywa.
Jambo jingine linaloitafuna Simba ni scouting mbovu ya wachezaji ambao wanasajiliwa na mwisho wa siku kuonekana mzigo.
 
Kwa upande wangu nadhani Iendele na Umoja.

1. SIMBA KUKIWA NA UMOJA NA FEDHA KUFIKA FAINALI NI DAKIKA TU.
kukitokea marumbano ndio tunafungwa hata Mechi na Raja kutokana na makundi ya uchaguzi.

2.Nadhani Benchi la Ufundi liendelee kuaminiwa na lipewe Muda wa MIAKA mi tatu Hadi mi nne kufika Fainali ya CAF CL.

3. KUNA HAJA YA KUFANYA MABORESHO KWA WACHEZAJI
I. Agustin Okrah.
II. Ismail Sawadogo.
III. Mohamed Qottara.
IV Pape Sackho.
V. Peter Banda.
VI. (Onyango)
VII. (Kanute)[emoji1787].

Mahitaji ya Simba msimu ujao
Ni nafasi
Golikipa No 2
Beki wa kushoto mzawa no3
Beki wa kati Mmoja, 5
Viungo wa ukabaji 2 No 6,8.
Mshambuliaji mmoja 9.
Wings 1.11.

WACHEZAJI wa ndani wafuatao waachwe au wapewe uongozi.
John Boko, Erasto nyoni., Jonas mkude, Gadiel mbaga, mwinuke, kapama watupishe.

5. MOHAMED DEWJI APUNGUZE UBAHILI.
AACHE KUSUSA SUSA.

KILA LAKHERI SIMBA KWENYE SUPER CUP.

NGUVU MOYA.
Gadiel Michael ana kazi maalumu pale
 
Mimi kwanza naona Kazi ya kuroga viwanja vya wapinzani Gadiel abadilishwe. Inakuwaje akamatwe.? Hii kazi ya ULOZI ama Kuchoma moto viwanjani apewe ZIMBWE.

Nawasilisha
 
Mi Nazani tuangalie aina nyingine ya kifo na tuachane na hii ya kufa kiume, tujaribu hata kifo cha mende labda ndio tutavuka kombe letu la robo fainali
 
3. KUNA HAJA YA KUFANYA MABORESHO KWA WACHEZAJI
I. Agustin Okrah.
II. Ismail Sawadogo.
III. Mohamed Qottara.
IV Pape Sackho.
V. Peter Banda.
VI. (Onyango)
VII. (Kanute)🤣.
Kanoute na Onyango wana tatizo gani? Wakati mwingine msiwe mnaenda na upepo wa utopolo. Kuna kipindi waliwalazimisha muamini kuwa Kibu Dennis ni mchezaji mbovu, kama sio Robertinho hata dirisha dogo angeachwa. Sasa hivi katika mechi 4, lazima mechi 3 atatubeba
 
Onyango speed nindogo akikutana na striker mwenye speed. Ningekua kocha ningemuacha Onyango Kwa msimu mmoja zaidi lakini ningeomba niongezewe center back mwingine mmoja wa level ya juu. Kisha OUTARA angeondoka.
 
Kwa upande wangu nadhani Iendele na Umoja.

1. SIMBA KUKIWA NA UMOJA NA FEDHA KUFIKA FAINALI NI DAKIKA TU.
kukitokea marumbano ndio tunafungwa hata Mechi na Raja kutokana na makundi ya uchaguzi.

2.Nadhani Benchi la Ufundi liendelee kuaminiwa na lipewe Muda wa MIAKA mi tatu Hadi mi nne kufika Fainali ya CAF CL.

3. KUNA HAJA YA KUFANYA MABORESHO KWA WACHEZAJI
I. Agustin Okrah.
II. Ismail Sawadogo.
III. Mohamed Qottara.
IV Pape Sackho.
V. Peter Banda.
VI. (Onyango)
VII. (Kanute)🤣.

Mahitaji ya Simba msimu ujao
Ni nafasi
Golikipa No 2
Beki wa kushoto mzawa no3
Beki wa kati Mmoja, 5
Viungo wa ukabaji 2 No 6,8.
Mshambuliaji mmoja 9.
Wings 1.11.

WACHEZAJI wa ndani wafuatao waachwe au wapewe uongozi.
John Boko, Erasto nyoni., Jonas mkude, Gadiel mbaga, mwinuke, kapama watupishe.

5. MOHAMED DEWJI APUNGUZE UBAHILI.
AACHE KUSUSA SUSA.

KILA LAKHERI SIMBA KWENYE SUPER CUP.

NGUVU MOYA.
Nani kakwambia utashiriki supercup kwa kigezo kipi
 
Back
Top Bottom