Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Uzi huu ni maalum kwaajili ya kuichambua team yetu ya Simba Sc kwa kuzungumzia mendeleo yaliyopo, changamoto zilizopo na nini kifanyike ili ipige hatua. Kelele na maneno yasiyo na mantiki havina nafasi, badala yake yanatakiwa mawazo chanya ya wana Simba Sc pamoja na wale wapenda mpira.
Tujadili yote yanayotakiwa kuzingatiwa na kufanyika ili kuhakikisha team yetu Simba Sc inafanya vizuri kwenye mashindano ya ligi ya ndani pamoja na yale ya kimataifa.
Maoni na mapendekezo juu ya uongozi, benchi la ufundi, swala la usajili wa wachezaji ambao wanaweza kutusaidia na mfumo mzuri wa kuwapata, miundo mbinu ya team, mfumo wa kuibua na kulea vipaji vya wachezaji wazawa, na mengine mengi ambayo yanaweza kusaidia.
Maoni na mapendekezo yangu yataambatana na comments za wadau mbalimbali hapo chini.