Tuijenge Tanzania yetu. Ajira za Mafundi Uashi

Tuijenge Tanzania yetu. Ajira za Mafundi Uashi

Abdul Ghafur

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2017
Posts
610
Reaction score
749
Asalaam Alaikum.

Ajira Ajira Ajira.

Mafundi Waashi (Masons) waume kwa wake wenye uzoefu wa kazi na wanaoweza kufanya kazi kwa kujituma bila kusimamiwa.Wawe na shauku na uwezo wa kujifunza na hatimae kufundisha ujenzi.

Malipo na marupurupu ni ya viwango vya juu kwa wazoefu wataokidhi vigezo.

Kwa maelezo zaidi Wasiliana na Abdul Ghafur, 0625249605

Mtumishi Madrassatul Abraar.

Tafadhali sambazia na wengine.
 
Wale wote qalionitumia pm.

Kazi zetu kwa sasa zipo Mkoa wa Pwani, Kibaha, Misugusugu, Mtaa wa Vitendo.

Wasiliana nasi kwa whatsapp au piga simu 0625249605 kwa maelezo zaidi.
 
Mafundi wazoefu watapata mafunzo ya kuunda vifaa vya ujenzi na teknolojia za ujenzi wa gharama nafuu.
 
Bado tunaandikisha mafundi wazoefu.

Mafunzo rasmi ya uashi yatatolewa. Jiandikishe sasa.

Tunachukua na saidia fundi wenye shauku ya kujifunza kazi kwa vitendo.
 
Bado tunaandikisha mafundi wazoefu.

Mafunzo rasmi ya uashi yatatolewa. Jiandikishe sasa.

Tunachukua na saidia fundi wenye shauku ya kujifunza kazi kwa vitendo.
Mshikaji, comment zote zako wewe mwenyewe. Haya ngoja niuchangamshe kidogo uzi wako
Asante.
 
Tuition fee kiasi gani? Mzee wa Madrasa kuwa muwazi na mkweli
Bure. Hakuna tuition fees na ataechukua mafunzo atakuwa analipwa posho ya kujikimu kwa siku kwa muda wote wa mafunzo ya wiki 4.

Hakuna cha kitu cha kuficha, Toa shaka na wasiwasi. Madrassatul Abraar hakuna longolongo.
 
Sasa tuna tarehe rasmi ya kuanza mafunzo, weka historia, wahi kujiandikisha uwe katika batch ya mwanzo.

Mafunzo ya ufundi uashi (masonry) Kwa vitendo (hands on training) yanatarajiwa In shaa Allah kuanza kutolewa kuanzia tarehe 1 February 2021 kwa wiki nne mfululizo.

Mafunzo hayo yatakuwa ya Vitendo zaidi na yatajumuisha...

1. Kufundishwa na kutambua majina ya bidhaa na vifaa mbali mbali vya kazi za uashi (masonry) na matumizi yake.

2. Mafunzo ya vitendo jinsi ya kuchanganya mchanga, saruji, kokoto, maji, na uwiano wake (ratios).

3. Utunzaji wa bidhaa wakati wa uzalishaji na baada ya uzalishaji.
4. Kuponya uzalishaji (curing) na uhifadhi wa vifaa na Bidhaa.

5. Matumizi ya bidhaa yaani kutengeneza muundo wa sampuli za ujenzi majengo kwa vitendo.

6. Matengenezo madogo na utunzaji mashine za kuundia bidhaa za ujenzi (repair and maintanance).

Na maswala mengine ya uashi na ya kiufundi yatayojitojeza.

Pia kutagusiwa
Uuzaji wa bidhaa utazojifunza kuzalisha na jinsi fundi mwashi anavyoweza kutambua fursa za soko ya kazi yake.

Nyote wenye ndugu jamaa na marafiki wenye kupenda kujifunza ufundi, walio na kazi na wasio na kazi , fursa hiyo.

Mafunzo ni kwa wote, wanawake na wanaume.

Mafunzo yatatolewa bure bila malipo na posho ya kujikimu wanaojifundisha itatolewa kwa kipindi chote cha mafunzo. Ma shaa Allah.

Kwa maelezo zaidi Wasiliana na Abdul Ghafur 0625249605.
 
Tuition fee kiasi gani? Mzee wa Madrasa kuwa muwazi na mkweli

Madrassatul Abraar inawaletea fursa za kipekee.
Sasa tumefanikiwa kuja na ubunifu wa kuunda ajira na tasnia ya ujenzi endelevu kwa kutoa elimu ya kutumia mashine na vifaa vya hali ya juu vya kuunda na kutengeneza vifaa vya ujenzi vya bei ya chini vinavyohitajika kujenga nyumba, shule, zahanati na majengo ya biashara popote Tanzania.

Usiiache fursa hiyo.
 
Asalaam Alaikum.

Mtaalaam wa ujenzi wa gharama nafuu kutokea Build Works ya UK amefika salama kutokea Nairobi.

Mafunzo ya utengenezaji wa vifaa vya ujenzi na ujenzi wa gharama nafuu yataanza tarehe 1/2/2021.

Mafunzo yatatolewa bure pamoja na posho ya chakula wakati wote wa mafunzo.

Wakati tunasubiri kuanza kwa mafunzo tarehe 1/2/2021 tuitumie fursa ya muda huu kwa kuonana mtaalaam ambae atatoa ushauri wa bure kwa wote wenye kutaka kufahamu namna ya kujenga nyumba za gharama nafuu.

Uwe fundi au unataka/unafikiria kujenga Nakushauri tuitumie fursa hii adimu.

Kwa maelezo zaidi Wasiliana na Abdul Ghafur 0625249605.
 
Mafunzo yanaanza rasmi tarehe 1/2/2021.

Pia ni fursa ya wale wanaota kujenga kwa gharama nafuu, mtaalamu wa nyumba za gharama nafuu sasa yupo Tanzania na atakuwa hapa mwezi wote wa Februari, wasiliana nasi kwa maelezo zaidi 0625249605
 
Nahitaji fursa hii. Naomba nkutumie majina na namb yangu ya simu PM ili unisajl
 
Back
Top Bottom