Tuijenge Tanzania yetu. Ajira za Mafundi Uashi

Tuijenge Tanzania yetu. Ajira za Mafundi Uashi

Mafundi waliojitokeza baada ya tangazo hili wapo baadhi yao wameshaanza mafunzo rasmi hapa Abraar Bricks. Wakiwemo wanaume kwa wanawake.

Darasa letu la kufundisha aina mpya za kuunda na kuvitumia vifaa vya ujenzi (precast) ni endelevu, unaweza kujiunga nasi.
Sisi ni Taasisi ya Kijamii ya Kiislam inayoundwa hivi sasa. Kitengo cha vifaa vya ujenzi kinaitwa Abraar Bricks. Tupo, Mkoa wa Pwani, Kibaha, Misugusugu, Mtaa wa Vitendo. Ukija na basi kituo ni Miyomboni shule.

Wasiliana na Mzee Abdul Ghafur 0625249605 kwa maelezo zaidi.

Fursa hizo vijana, wake kwa waume, mnangoja nini?

Baadhi ya vifaa utavofundishwa kuviunda na kuvitumia kwenye ujenzi....

Bidhaa za Abraar Bricks 9.jpg



Bidhaa za Abraar Bricks 4.jpg


colum blocks.jpg
 
Back
Top Bottom