Mnaitolea wapi?? Cuba au Marekani??🤣🤣😀😀🇹🇿🇹🇿Mama mitano tena, na tunatoa fomu Moja tu!!🤣😀🤣😀🤣🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Hakuna cha serikali ya mda au muda! Hapo mtu anayeitwa Makamu wa Rais anachukua uongozi.Apa nafikili lazima kuwepo serikali ya mda ,na kuitisha uchaguzi mpya ,ngoja wenye sheria zao waje tujifunze
Mkuu ni hivi;-Kuna ibara kwenye Katiba ya Tanzania kwamba endapo Rais aliyeko madarakani akakosa uwezo wa kuendelea kuongoza, basi Makamu wake ambaye amepigiwa kura na wananchi wakati wa uchaguzi mkuu atachukua nafasi yake!
Tuelimishane hapa! Vipi Kama Makamu wake alipatikana bila kupigiwa kura na wananchi yaaan hakuwa mgombea mwenza, alafu aliyekomadarakani akapoteza sifa za kuwa Rais, nani anaongoza nchi kwa mujibu wa Katiba?
Swali hili unaweza kuja kichwa kichwa kumbe kuna mambo mengi ndani ya kujifunza.
Naomba mods wasiondoe Uzi huu ni kwa ajili ya mafunzo kujua sheria za utawala na hapo baadae unaweza kufufuliwa miaka tata 40 ijayo kwakuwa maandishi uishi sana.
Britanicca
Ana maanisha aliepo anaweza akawa ana kashfa za kiutendaji Waka m by pass!!Kwani Katiba inatamka Makamu wa Rais aliyepigiwa kura au inatamka Makamu wa Rais tu? Hiyo haijalishi, akidanja ka Makamu kanachukua nchi!
Mleteni BitekoMkuu ni hivi;-
Ndipo wataitwa wazee wa kimedani wafanye kikao Cha siri ,ndipo watamtafuta FDR yaani Franklin Delano Roosevelt wa Tanzania kama ilivyotokea kule america,ndipo ataapishwa kuwa ndie na michakato ya kuahirisha chaguzi za serikali za mitaa utafanyika Hadi katiba mpya ipatikane kwanza ndio tutaingia kwenye uchaguzi mkuu!!
Hayo yote ni kwa mujibu wa maandishi ya Tumia akili humu jamvini!!
Kwa mujibu wake ni kwamba FDR alipaswa kuingia mwaka jana lakini operation iliahirishwa ili kumpa nafasi ya kutekeleza maagizo lakini maagizo hayakufuatwa ilibidi "original plan in and out " excuted kama tetesi zinavyovuma!!
Sasa tujiulize FDR atakua nani!!?
Mpina!!?Bashungwa!!?Dr. Biteko!!?au josephat Askofu au Dr mwinyi!!?au Majaliwa kasim majaliwa !!?
Nawaza tu mwenzenu!!
Uko vizuri.Kuna point unataka kuielezea ila umeificha sana anyway
Hapana, anaendelea vizuri tuHizi parables mbona zinachanganya ebu fungukeni
TanzanialeaksHapana, anaendelea vizuri tu
FDR atashika hatamu kwa kuwekwa na wazee wa kimedani!nadhani umenipata mkuu!NAMBA MOJA AJAYE NCHINI mkuu ,umeadimika sana
Maana yake "Hapa kazi tu"inarudi au!!?Alitusihi tusile mashangazi , bali tufanye kazi
Kiongozi katiba sio Siri weka kifungu na sisi tusomeKuna ibara kwenye Katiba ya Tanzania kwamba endapo Rais aliyeko madarakani akakosa uwezo wa kuendelea kuongoza, basi Makamu wake ambaye amepigiwa kura na wananchi wakati wa uchaguzi mkuu atachukua nafasi yake!
Tuelimishane hapa! Vipi Kama Makamu wake alipatikana bila kupigiwa kura na wananchi yaaan hakuwa mgombea mwenza, alafu aliyekomadarakani akapoteza sifa za kuwa Rais, nani anaongoza nchi kwa mujibu wa Katiba?
Swali hili unaweza kuja kichwa kichwa kumbe kuna mambo mengi ndani ya kujifunza.
Naomba mods wasiondoe Uzi huu ni kwa ajili ya mafunzo kujua sheria za utawala na hapo baadae unaweza kufufuliwa miaka tata 40 ijayo kwakuwa maandishi uishi sana.
Britanicca
@britaKuna ibara kwenye Katiba ya Tanzania kwamba endapo Rais aliyeko madarakani akakosa uwezo wa kuendelea kuongoza, basi Makamu wake ambaye amepigiwa kura na wananchi wakati wa uchaguzi mkuu atachukua nafasi yake!
Tuelimishane hapa! Vipi Kama Makamu wake alipatikana bila kupigiwa kura na wananchi yaaan hakuwa mgombea mwenza, alafu aliyekomadarakani akapoteza sifa za kuwa Rais, nani anaongoza nchi kwa mujibu wa Katiba?
Swali hili unaweza kuja kichwa kichwa kumbe kuna mambo mengi ndani ya kujifunza.
Naomba mods wasiondoe Uzi huu ni kwa ajili ya mafunzo kujua sheria za utawala na hapo baadae unaweza kufufuliwa miaka tata 40 ijayo kwakuwa maandishi uishi sana.
Britanicca
hahaha kama utani tu bosi ila katiba haitaji kura inataja cheo tu. Halafu mbona mnakuja na hizi hadithi?? Tusiwe kama mjinga Zitto Kabwe aliyekuwa anakesha anashangilia kifo cha Dkt Magufuli, yaani siku akifa Zitto nadhani mzoga wake utamwagiwa mawese jinga sanaTatizo la nchi ya Tanzania ni mifumo iliyokosewa tangu mwanzo.
Kinachotokea sasa na kitazidi kutokea ni watu kutafuta wa kumlaumu na kumbebesha lawama mtu mmoja. One person cannot be a sole cause for our problems.
Tatizo la hii nchi ni kila mwananchi kutokuona umuhimu wa kuungana kupigania haki zake.
Tumebakiza kupiga ramli tu na kuombea viongozi vifo. Pathetic
Uzi ungefutwa.Kuna point unataka kuielezea ila umeificha sana anyway
Kuna ibara kwenye Katiba ya Tanzania kwamba endapo Rais aliyeko madarakani akakosa uwezo wa kuendelea kuongoza, basi Makamu wake ambaye amepigiwa kura na wananchi wakati wa uchaguzi mkuu atachukua nafasi yake!
Tuelimishane hapa! Vipi Kama Makamu wake alipatikana bila kupigiwa kura na wananchi yaaan hakuwa mgombea mwenza, alafu aliyekomadarakani akapoteza sifa za kuwa Rais, nani anaongoza nchi kwa mujibu wa Katiba?
Swali hili unaweza kuja kichwa kichwa kumbe kuna mambo mengi ndani ya kujifunza.
Naomba mods wasiondoe Uzi huu ni kwa ajili ya mafunzo kujua sheria za utawala na hapo baadae unaweza kufufuliwa miaka tata 40 ijayo kwakuwa maandishi uishi sana.
Britanicca
Nasemaje.....
Siku zote tetesi huanza kwa minong'ono
Fore Shadowing Propaganda???Hizi nyuzi zimekuwa nyingi. Kuna Nini kinatengenezwa huko juu? Wajuvi watuambie