Mfumo wa kutumia lugha moja tu ya kiingereza kufundishia katika elimu yetu hauwezi kuwork katika shule zetu..
mweongo,
Mi nafikiri jitihada zizingawe kukikuza kiswahili zaidi siku moja kiswahili kitumike kufundishia pia. Tunakipa ukuu wa bure tu icho kiingereza, kuna nchi zna lugha zao wenyewe na zimeendelea pakubwa tu
Magu hafai ni mkabila.Tuikomboe au tuiuze kupitia Lissu?
Shida sio kuongea kinge, shida ni kuwa mwanafunzi hawaelew wanachofundishwa shuleni. Mtu anatakiwa also english waikati huo huo masomo mengine yanafundishwa kwa kiengereza!Kwa dunia ya leo lugha sio kigezo cha kumkwamisha mwekezaji kuwekeza na kupata matokeo chanya. Lissu mwenye amekaa Ubelgiji miaka 3, je alikuwa anaongea kifaransa, ki datchi au kijerumani? Kama unataka kuongea kiingereza au lugha yoyote ile ni juhudi zako mwenye zitakusaidia na utaongea tu.
Ndio maana nikasema ukiweka juhudi, unaweza kujifunza lugha yoyote unayotaka duniani. Darasa linakupa mwongozo tu, lakini ukitaka kujua kitu kiundani ni juhudi zako.
Hivi mna uhakika na hayo myasemayo?Mnyonge mnyogeni haki yake apewe, Lisu leo amenigusa kwenye swala la lugha ya kufundishia. Jambo hili limekuwa mwiba kenye elimu na maisha ya Watanzania miaka na miaka.. Ni ukweli usiofichika kwamba lugha ya kufundishia ni tatizo kubwa sana kwenye mfumo wetu wa elimu. Magufuli mwenyewe ni mhanga Mawaziri wetu ni wahanga, Wabunge ni wahanga. Tuunge mkono chadema vijana wetu wapone...
Wewe ni muongo. Kinacho kusukuma kwenye thread hii ni ushabiki wa party politics kuliko ukweli. Kwanza, siyo kweli kwamba hakuna nchi duniani yenye lugha tofauti za kufundishia. SIYO KWELI. Nitakuwa mifano michache...
Lugha ni bidhaa.Mnyonge mnyogeni haki yake apewe, Lisu leo amenigusa kwenye swala la lugha ya kufundishia. Jambo hili limekuwa mwiba kenye elimu na maisha ya Watanzania miaka na miaka.. Ni ukweli usiofichika kwamba lugha ya kufundishia ni tatizo kubwa sana kwenye mfumo wetu wa elimu. Magufuli mwenyewe ni mhanga Mawaziri wetu ni wahanga, Wabunge ni wahanga. Tuunge mkono chadema vijana wetu wapone....
Acha upumbav shenzyKwa dunia ya leo lugha sio kigezo cha kumkwamisha mwekezaji kuwekeza na kupata matokeo chanya. Lissu mwenye amekaa Ubelgiji miaka 3, je alikuwa anaongea kifaransa, ki datchi au kijerumani? Kama unataka kuongea kiingereza au lugha yoyote ile ni juhudi zako mwenye zitakusaidia na utaongea tu.
Uganda wanatumia lugha za kienyeji na kiingereza. Kama huijui dunia, nyamaza! Unashabikia u-maimuna wa Lissu!Mnyonge mnyogeni haki yake apewe, Lisu leo amenigusa kwenye swala la lugha ya kufundishia. Jambo hili limekuwa mwiba kenye elimu na maisha ya Watanzania miaka na miaka.. Ni ukweli usiofichika kwamba lugha ya kufundishia ni tatizo kubwa sana kwenye mfumo wetu wa elimu. Magufuli mwenyewe ni mhanga Mawaziri wetu ni wahanga, Wabunge ni wahanga. Tuunge mkono chadema vijana wetu wapone....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji11][emoji23]Lissu anayo kura yangu. Yuko vizuri mno kichwani, ni hazina kubwa, wajukuu zetu watatulaani tusipompeleka ikulu.
Watu kama wewe ni aibu kwa Taifa. Ni hasara na fedheha.rafudhi ya kinyatulu
Katika elimu yetu pia sasa hivi turudishe au tuweke mitaala ambayo itatuwezesha kuhifadhi culture yetu , iwe kucheza sindimba, aka nana na ngoma nyinginezo na hiyo isijalishe kabila la mtu bali huyo mtu awe anaishi eneo hilo kwenye ngoma hiyo, na hiyo elimu itolewe kwenye elimu ya msingi, akifika secondary ndio aanze huo utamaduni wawengineMnyonge mnyogeni haki yake apewe, Lissu leo amenigusa kwenye swala la lugha ya kufundishia. Jambo hili limekuwa mwiba kenye elimu na maisha ya Watanzania miaka na miaka.. Ni ukweli usiofichika kwamba lugha ya kufundishia ni tatizo kubwa sana kwenye mfumo wetu wa elimu. Magufuli mwenyewe ni mhanga Mawaziri wetu ni wahanga, Wabunge ni wahanga. Tuunge mkono chadema vijana wetu wapone.
Magufuli huongea kwa kiswahili na kuhubiri kukuza kiswahili si kwamba anakipenda sana. sababu kubwa ni kwamba hajui English vizuri, Ingawa alikua mwalimu na PHD aliandika kwa kizungu. Yeye mwenyewe ni mfano mzuri wa halihalisi na shida tuliyonayo kwenye elimu yetu. Lakini cha kushangaza hajachukua hatua kundoa shida hii inayoliamiza tafa. Tundu lisu ameona tatizo na yupo tayari kulitatua.Tumunge mkono Lisu tuiokoe Tanzani.
Kwenye hili la elimu tuambiane ukweli. Hatutaendelea kwa kuhimiza vijana wawe wamachinga, wajaze mitaa wakichuuza vitu vya mchina wakati maduka yapo. Leo Barabara, Reli nk ni wageni wanajenga. kwani nani alienda kujenga Reli China au Korea? Kijana akitoka na zero form 4 utampeleka wapi? CCM imetuangusha kwa tangu Uhuru. Tanzania tunahitaji mabadiliko.
Vijana wetu wengi wanashindwa kupata maarifa ya kutosha mashuleni na vyuoni kwa sababu tu hawaelewi lugha inayotumika kuwafunza. Mfano;mtihani wa kitato cha 4 si mgumu kiasi cha zaidi ya nusu ya wahitimu kupata alama (division) 4 na 0.
Wawekezaji wakija Tanzania wanashindwa kupata wafanyakazi wanaoweza kuwasilana nao vizuri na wenye weledi na marifaya ya kutosha kwenye lugha. Matokeo yake wanaamua kuajiri Wakenya kwenye nafasi za juu. Uliza Managers kwenye makampuni makubwa hapa kwetu ni akina nani. Tunge mkono Lisu Tupate Tanzania mpya.
Tanzania itaweza tu kusonga mbele endapo tutaamua kuborosha elimu yetu itowe wasomi wenye viwango vya kimataifa na sio kupelka watoto shule kwa mazoea tu lakini watoka watupu.
Hakuna nchi yoyote Duniani amboyo ina mifumo miwili ya lugha za kufundia kama ilivyo kwa Tanzania. Wanachi waliona tatizo hilo wakamua kuazisha shule zinazofundisha kwa Kingereza ili kuziba pengo, hivyo Tanzania hakuna watoto wanafunzwa kwa Englishi na Wale wa Kiswahili.
Tundu Lisu na Chadema ameamua kulivalia njuga swala hli tumuunge mkono.
Safi saana matusi kwenu ndo ilani ya uchaguzi mwaka huuu. Mkiongozwa na kile kiwanda chenu cha matusi kinachotafuta ikuluWatu kama wewe ni aibu kwa Taifa. Ni hasara na fedheha.
Mnafaa mfungiwe mawe mazito shingoni mtupwe kwenye kilindi cha bahari ili mliondolee taifa letu zuri laana ya ujinga.