Tuikumbuke 9.11.2001: Tarehe kama ya leo iliyobadilisha historia ya Dunia

Nakumbuka nilitembelea hili jengo kwa utalii tarehe 30/08/2001 na dada yangu kufika CA nasikia magaidi yamelipua na kuna mtu tulifahamiana sana sana alifariki kwenye kadhia ile....

Asiyejua machungu ya ugaidi atazame tukio lile...haki magaidi ni wakuchomwa moto.
 

Bnadari zetu zinahusiana nini na 9/11?

Au unaongelea bandari ya New York?
 
After the catastrophic event, was when US Government declared "War on terrorism"
 
Siku muhimu kwa watu wa marekani na maadai zake walioshambulia.
 
baada ya hilo tukio sheikh aliekitufundisha madrasa alituambia Osama anaupigania uislamu
 
Nilikuwa kila siku natazama CNN .. kabla ya Hilo tukio cnn walikuwa hawana mchezo wa kuleta habari Kwa maandishi chini ya screen...yalianza baada ya tukio Hilo...now kila TV imeiga kasoro wahindi wao walianza mapema..
 
Kukumbuka milipuko kwa mzungu bila kujali kwenu pia palilipuliwa.

Kasumba na ulimbukeni wa ukoloni mamboleo.
 
Kwamba hiyo tarehe uliyoandika ndio inayoitwa September 11?
 
SEPTEMBER 11
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…