Hatuwezi andika kwa mate na wino upo, yaani mko na potential ila kwa uzembe mnabakia tu nyuma, laana ya kiaina., utapia mlo mnaongoza, ufukara wa kiaina, yaani multidimentional poverty mnatajwa, idadi ya watu fukara wa kutupwa nyie mnaongoza ukanda huu 😂 😂 😂 nani aliwaroga, ama beberu hawapendi nyie, report iliyo chapishwa ni ya dunia yote, wewe kalilie kwa choo 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Mko hovyo na mko na ardhi, yaani ni ezembe, ujinga na upumbavu kuchanganywa kwa pamoja, unapata Tanzania kama jibu.., 😂 😂 😂 😂 😂
View attachment 2098222
Kenya
View attachment 2098223