Tuiombee Kenya: Kenya ranked 30th hungriest nation out of 116 countries

Sasa comoro hata million moja hawafiki hyo njaa wanaitolea wapi.
hawalimi mzee, kule wanategemea urojo tu kama hawa wenzetu ambao tumewasitiri tu hata hapa. wanajifanya waarabu kula vya nganongano. pesa ikiwa hamna mfukoni analala njaa.
 
Uzembe umemuumbua[emoji1787][emoji1787]
Uzembe tz ndio fashion
 
Dar watu wanakufa na njaa??..

You can't be serious.

Tz kiangazi huwa hakitokei??..hizo habari mbona tusizikie kama tunavyosikia za Kenya?
Hta leo tunavyosema dar kuna watu hawajui watakula nini mzee, acha kutetea ujinga hapa
 

Bro nitaendelea kukuambia ujifunze kiingereza mara ngapi na mpaka lini??
Hivi unaelewa maana ya hii. Umeelewa maana na hizi para kwenye ile article?


"Tanzania has topped world rankings for its improved food security over the last decade, defying the double impact of climate change and Covid-19 that continues to wreak havoc on global food systems.''

''The East African country grew its score by 13.3 points, the highest among the worldโ€™s 10 most-improved nations over the period, shows the Global Food Security Index, compiled by the Economist Intelligence Unit, on behalf of Corteva Agriscience."
 
umepoteza dira
 

Hawa hutia aibu sana, huifanya Afrika tuonwe kama sokwe, muwe na ardhi yote hiyo halafu bado mnatajwa kati ya maskini wa kutupwa.
 
Stupid and nonsense, we have extra food without which other countries including you lazy people would starve to death
 
endelea kutapatapa huku ukitaka kupindisha mada. bado tuko palepale kwa 23% vs 24.7%.


Mada haijabadilika, ni kuhusu njaa , chakula na utapiamlo.

Nyie Kenya kila mwaka 35% ya watu wenu (ya nyie) hukumbwa na njaa na utapiamlo, commonsense haikubali unaponukuu hizo habari potofu kuilinganisha Tz na Kenya kuhusu njaa wakati inajulikana siku zote kwamba Tz inauza Ziada ya chakula huko kwenu. Tz inayo ardhi nzuri na ya kutosha kwa ajili ya kilimo ninyi hamna ardhi ya kutosha kwa kilimo, ukame nk, vinawakumba kila mwaka, katika hali hiyo ni ujinga kuilinganisha TZ na Kenya kuhusu Chakula na njaa
nk, linganisha Kenya na Somalia.

Ninyi jifunzeni kukubali hali yenu na
Sisi tunakubali na kumshukuru Mungu kuhusu hali yetu. Hayo yote ni majaliwa ya Mungu.

Mbona nyie mnao world class athletes wanaokimbia kuliko Cheetah mbona hatulalamiki!!?-- hayo ni majaliwa yake Mungu kwenu.
 
We jamaa, mbona Kenya wanahali nzuri kuliko Tanzania? Its 23% vs 24.7% wanalala na njaa. Kenya is number 87 kawati TZ ni 92. Sijaelewa labda.

My source: Global Hunger Index Scores by 2021 GHI Rank
You expected your friends to read the whole article? Unajua mimi huambia watu hapa, media ya Kenya iko na freedom ya kuexpose uozo uliopo nchini wakati ya Tanzania haina, jambo hili hufanya Watanzania wengine waone wana nafuu kuliko Kenya. Media ya Tanzania ikiwa na freedom mnaweza jihurumia.๐Ÿคฃ
 

Hawa ni wakuonewa huruma, hebu waza sasa hivi TANESCO inajiandaa kuwapiga mgao nchi yote kwa siku 12, yaani like seriously 12 days, nchi nzima, hata sio baadhi ya mitaa, halafu hawa ndio hujitutumua waonekane wanashindana na Kenya.
Labda miaka ingine ishirini ndio wafikie hapa tulipo leo, na sisi tutakua tumeenda mbali.

 
I don't know what your intentions were.your Source ranks Tz at 92


 
Let's focus on the report the OP posted, not blogs.๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 
Stupid and nonsense, we have extra food without which other countries including you lazy people would starve to death
Mifukara jeuri๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ